much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Watakuwa waishi kwenye Dunia yaoWalioko field wanaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa waishi kwenye Dunia yaoWalioko field wanaelewa
Ila wanawake na uzazi mnachangamoto sana...😂😂😂😁😁!
Sema hio ilikua ni nguvu ya Mungu inafanya kazi yake Kutokana na vitu vya kichawi walivoweka Chini ya kitanda vingine mtoto kulishwa kichawi!
Muda huohuo mamamtu anaombewa kanisani hapohapo chumbani ndio hali hio inatokea ilikua ni nguvu ya Mungu kazini!
much knowFather or husband is responsibilities and not to feed ur children or to take care of ur wife , because everybody can feed ur children and can care of ur wife.
Responsibilities , is where a husband can impart knowledge and wisdom to his children and wife.
To provide emotional support to his children and wife.
To prepare the decent future to his family
Etc.
Yanii ningekusikiliza saii ningekua naongea mengine..Ila yale mambo na Ile hali ulijitakia mwenyewe Kwa ubishi wako...
Anyways Cha muhimu umeponyeka...
Basi husomi mkuuDk haya ni mwanamke? Mimi nataka kusikia kutoka kwenu wanawake
kama walikuwa umri sahihi wa kuzaa. mimba zinakuja tu.Cha ajabu nawafahamu kibao niliosoma nao,walitoa sn tu sio 1 wala 2 na wamezaa vzr mpk wanazuia!
Ila wanawake na uzazi mnachangamoto sana...
Mnapitia mengi sana...
Kinachonifurahisha ulijiona mjanja sana, unajua Kila kitu... 😅😅Yanii ningekusikiliza saii ningekua naongea mengine..
But I Thank God 😛🤗
Ukisema hakuna mtu ambaye anapenda kuwa hivyo, kauli hiyo ni kama kunyanyapaa hali hiyo. Ni kufanya kutoolewa na kutokuwa na mtoto kuwe kama bahati mbaya kubwa sana, au kama kilema fulani hivi.Kweli kabisa, maana hakuna mtu ambaye anampenda kuwa hivyo...
Yanii ileee siku nikwambie nipo uwanjani nacheki boli ileee ndio source 🙌🙌🙌🙌!Kinachonifurahisha ulijiona mjanja sana, unajua Kila kitu... 😅😅
Yaishe achana nayo....Yanii ileee siku nikwambie nipo uwanjani nacheki boli ileee ndio source 🙌🙌🙌🙌!
Unisamehe bure akili za ujana jamani!
Hayo madada masomi ya huko kwenu ndiyo yanachelewe kuzaa ama kupata ugumba kabisa. Manzese mtoto wa kike anamaliza la saba anaingia kwenye ndoa akiwa na miaka 16 ama 17. Akimwagiwa tu shahawa za kiume ama hata mkojo wa asubuhi wa mwanaume anapata mimba. Kwasabb kizazi bado kisafi hakijachafuliwa.Kuna mitaa ya Manzese, Kigogo na Mburahati aisee kuna watoto wengi mpaka Kero 😂😂😂
Haya mambo waache wasubiri wakati waoSasa visipokula dawa mkavipitia, mkaviachia watoto na kusepa, napo mtavilaumu vi single mother.
Vyovyote vile mtavilaumu tu.
Asikwambie mtu aiseeNoma sn🤣🤣
🙏🙏🙏 😘Yaishe achana nayo....
Wasubiri wakati wao wakati nyie wenyewe ndo mnavitafuna?Haya mambo waache wasubiri wakati wao
Kiranga African mentality na umasikini Wa mawazo na fikra Ndo hufanya watu waamini bila kuoa au kuolewa baasi me au ke ana shida na jamii zetu kuchukulia hao watu ndivyo sivyoKwani kuolewa na kuzaa ni lazima?
Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
🤣🤣Jux aweza kuwa mgumba ,manake kabla ya vanesa,alikuwa na yule jack alokamatwa China na sembe,kama girlfriend wake kwa miaka kadhaa,bila mimbaSwala ugumba bahati mbaya limekuwa likiangaliwa kwa wanawake tu, ila wanaume pia wanasumbuliwa na hili na linaongezeka sana.
Kama mwanaume na mwanamke mko kwenye mauhuisiano kwa muda usiopungua miezi 12 hamtumii condom wala vijiti na hakuna mimba, ujue mmoja wenu ana tatatizo la ugumba.
Mfano yule msanii anaitwa Jux, nimekuja kujua kupitia humu ndani kuwa alikaa na vanesa mdee miaka 7, ila alipoachana nae Vanesa amepata ujauzito na ana watoto 2 na sasa Jux yuko na mwanamke mwingine kwa muda sasa ila bado hajafanikiwa kutia mimba, akija kuachana na Huyu mwanamke naye atashikishwa mimba
Mizimu ni wafu yaani watu waliokufa...
Roho zao zinakuwa zinaishi Bado zinatumikishwa kufanya matukio mabaya.
Matukio hayo ni kama kuua, kuharibu mimba, kufunga uzao, pesa nk..
Mizimu ni uchawi uliotukuka yaani mizimu ni zaidi ya uchawi ..
Wazee wa zamani waliitumia kwa kuiomba kama Mungu, pia walitoa sadaka..