Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Kiranga African mentality na umasikini Wa mawazo na fikra Ndo hufanya watu waamini bila kuoa au kuolewa baasi me au ke ana shida na jamii zetu kuchukulia hao watu ndivyo sivyo
Kifupi Afrika hatuna heshima na individual. Yani kila kitu unapangiwa na jamii.

Yani mtu unaweza kujijua mimi nina matatizo ya afya ya akili, na matatizo haya ni ya genetic, nikizaa watoto wangu nitawarithisha kichaa changu.

Ukaamua usiolewe wala kuzaa. Kwa sababu za kimaadili hutaki watoto wazaliwe na ugonjwa wa akili.

Atakuja mtu hata hakujui anakushangaa kwa nini huzai. Maswali kibao. Assumptions kibao.

Ndiyo maana hatuendelei.
 
jibu zuri sana hili. umeongea kwa maturity ya hali ya juu sana
 
Umenena vyema..
Hakika Ni elimu pana sana mama pasta
 
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?

Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Shida sio kuolewa, ni kutaka kuolewa.
Jombii usiombe ukutane na mwanamke anahitaji kati ya hizo mbili bablai. Unaweza ukagandwa akihisi wewe ndo jasiri muokozi.
Anaweza toa sadaka ya shukurani kabisa kanisani.
Mi nikimsoma kama ana baby fever au shaukunya ndoa nakimbia mita mia nane ndo nageuka nyuma.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sasa kwa nini tunawanyanyapaa kama kutaka kuolewa na kuwa na mtoto ni kitu kibaya?

Halafu wakikosa au wasipotaka kuolewa na kuwa na mtoto, napo tunawanyanyapaa kama kuwa hivyo ni kitu kibaya?
 
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?

Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Hawa watakuwa ni "Wagonjwa". Usiwasifie. Elewa neno "Ugonjwa"
 
Kila kitu kina kiasi ukiona anatumia nguvu kubwa kuinjoi ujue anaficha maumivu yasiyo onekana.....
 
Hawa watakuwa ni "Wagonjwa". Usiwasifie. Elewa neno "Ugonjwa"
Hata wakiwa wagonjwa ni haki yao kuamua waishi vipi.

Usiwanyanyapae kwa ugonjwa.

Pengine kuna wengine wanaamua kuwa hivyo kwa kujua wana magonjwa ya kurithisha na hawataki kuzaa watoto watakaorithi magonjwa hayo, for ethical reasons.

Sasa hapo tatizo lako liko wapi mtu akijiamulia hivyo?
 
Kila kitu kina kiasi ukiona anatumia nguvu kubwa kuinjoi ujue anaficha maumivu yasiyo onekana.....
Hata akitumia nguvu kubwa kuficha maumivu yasiyo onekana kweli.

Ni maisha yaje, muache aishi anavyotaka.

Tatizo lako ni nini?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
Weee noumaaa! Ulitishaa๐Ÿค !

Kuna watu damu/ nyota zao kali sana haziwezi dhuriwa nahayo madude kivovote vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ