Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa unachokitafuta ni kigumu.pia hata uchumi wa vijana n mgumu mtu ataoaje.ππππ
Tutafute namna ya kukabiliana na haya majinamizi kwa kifupi mambo ni magumu mno na dunia sasa ilivyo lile unalolitaka imekuwa ni ngumu kulipata na kuwa lako.
Wacha kushirikisha uchawi na vitu vya ajabu.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa kuolewa limekuwa tatizo kwa baadhi ya wanawake na mpaka basi.
Wengine wanafikia hatua ya kutafuta wanaume hata wa kuishi nao ili tu wafiche hiyo aibu ya kuchelewa kuolewa.
Hii ya kutafuta wanaume wa kuishi nao inaitwa sogea tukae au uchumba sugu.
Kuna wanaotafuta vijana na kuwaoa ili tu kuondoka na jinamizi la kuchelewa kuolewa na wanaume.
Achana na hilo jinamizi linalowachelewesha wanawake kuolewa, twende kwa wale ambao wanaolewa ila wanachelewa kuzaa yaani kupata watoto.
Jinamizi hili limekuwa gumzo huko duniani yaani wanawake wanavizazi ila hawashiki mimba, wanakipima hawana tatizo.
Pia kuna wale wanawake ambao wanamatatizo ambayo ni ya kujitakia wao wenyewe wanajua walivyokula ujana wao.
Yaani wanawake hao walikaanga mayai yao na kwa bahati mbaya wakayaunguza kwa kutoa mimba, hivyo hawakuweza kuyala yaani kuzaa watoto.
Kuna wanawake wengine matatizo yanatoka na uchawi/ Mizimu na uganga.
Wanawake hawa wanakuwa wanao uzazi ila uzazi wao umefungwa kwa vifungo vya nguvu za giza hivyo hawawezi kuzaa.
Vifungo hivi vya wanawake vimekuwa vinatofautiana maana wengine ni uchawi wa ndugu au wazazi au jirani hata rafiki.
Kuna wanawake ambao mizimu ya upande wa mama au baba inakuwa inawazuia wanawake kupata watoto kutokana na agano waliloingia ukoo wao.
Kuna wanawake ambao ambao wengine wamefungwa na uganga, inaweza kuwa ni chuki ya ndugu marafiki hata jirani.
Hayo ni baadhi ya majinamizi yanaoyowakumba wanawake kuchelewa kuzaa na kufikia kuteseka sana.
NB: Kuna wanachelewa kuzaa au kuolewa kwakuwa wakati wa Mungu bado.
Kwa Yesu yote yanawezekana...
Donatila
Hivi hua wanawaambia wenza wao kwamba waliwahi kutoa?Cha ajabu nawafahamu kibao niliosoma nao,walitoa sn tu sio 1 wala 2 na wamezaa vzr mpk wanazuia!
Km umevuka kwenye hayo maeneo, mshukuru Mungu , ombea uzao wako!Jinamizi la kutozaa au kuchelewa limekumba wanawake wanakipatapata..
Mambo ya chuoni si unayajuaHivi hua wanawaambia wenza wao kwamba waliwahi kutoa?
Wamezidi kuchagua chagua kama karangaHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa kuolewa limekuwa tatizo kwa baadhi ya wanawake na mpaka basi.
Wengine wanafikia hatua ya kutafuta wanaume hata wa kuishi nao ili tu wafiche hiyo aibu ya kuchelewa kuolewa.
Hii ya kutafuta wanaume wa kuishi nao inaitwa sogea tukae au uchumba sugu.
Kuna wanaotafuta vijana na kuwaoa ili tu kuondoka na jinamizi la kuchelewa kuolewa na wanaume.
Achana na hilo jinamizi linalowachelewesha wanawake kuolewa, twende kwa wale ambao wanaolewa ila wanachelewa kuzaa yaani kupata watoto.
Jinamizi hili limekuwa gumzo huko duniani yaani wanawake wanavizazi ila hawashiki mimba, wanakipima hawana tatizo.
Pia kuna wale wanawake ambao wanamatatizo ambayo ni ya kujitakia wao wenyewe wanajua walivyokula ujana wao.
Yaani wanawake hao walikaanga mayai yao na kwa bahati mbaya wakayaunguza kwa kutoa mimba, hivyo hawakuweza kuyala yaani kuzaa watoto.
Kuna wanawake wengine matatizo yanatoka na uchawi/ Mizimu na uganga.
Wanawake hawa wanakuwa wanao uzazi ila uzazi wao umefungwa kwa vifungo vya nguvu za giza hivyo hawawezi kuzaa.
Vifungo hivi vya wanawake vimekuwa vinatofautiana maana wengine ni uchawi wa ndugu au wazazi au jirani hata rafiki.
Kuna wanawake ambao mizimu ya upande wa mama au baba inakuwa inawazuia wanawake kupata watoto kutokana na agano waliloingia ukoo wao.
Kuna wanawake ambao ambao wengine wamefungwa na uganga, inaweza kuwa ni chuki ya ndugu marafiki hata jirani.
Hayo ni baadhi ya majinamizi yanaoyowakumba wanawake kuchelewa kuzaa na kufikia kuteseka sana.
NB: Kuna wanachelewa kuzaa au kuolewa kwakuwa wakati wa Mungu bado.
Kwa Yesu yote yanawezekana...
Donatila
Kanisani ndo unaambiwa hivi?Mama mchungaji Hivi hii mizimu inakuaje kuaje???
Nakumbuka niliambiwaga mizimu yetu Ina nguvu sana hakuna mchawi ataeweza kunidhuru na hata waliojaribu kunidhuru walishindwa..
Hapo nilikua kanisani!
Donatila
Huwa ndio maneno yenu nyie walokole.Kaka nini tena...
Yeah Kuna scenario ilitokea nikapelekwa kanisani kuombewa!Kanisani ndo unaambiwa hivi?
KIvyao, ni maisha yao.Hyo Kwenda vacation ni kupunguza stress za kukoswa kuolewa na kupata mtoto, Kuendeleza uzao ni ASILI YA MWANADAMU, kusema Mimi Wala hata sjari kutokuolewa au kupata mtoto hyo ni kujidanganya
Pointi yako sasa hapa ni nini Mama Mchungaji? π³π³π³Cha ajabu nawafahamu kibao niliosoma nao,walitoa sn tu sio 1 wala 2 na wamezaa vzr mpk wanazuia!
Huko Afrika watu wanakupangia maisha yako wewe mwenyewe uishi vipi.π€π€π€
Mkuu huku Afrika ni issue ndo maana naona Bora nikaishi mbele huko ambako mtu anaishi anavyotakaπ
Watu wamekariri maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama mchungaji kazini!
Wachawi wasennge sana
Sasa mtoto wa uzeeni wa nini au ndo wasemavyo wazungu better late than never [emoji3]Wanasema wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi.
Maandiko ya Biblia yanasema Sarah mke wa Ibrahimu alichelewa kupata mtoto hadi kumwambie mumewe azae na Dada wa Kazi.
Lakini Mungu alivyo mwema, akaja kumpa Sarah mtoto akiwa kwenye umri wa Uzee
Hivyo ukiona jambo lako halijafanikiwa ujue, wakati sahihi bado haujafika [emoji120][emoji120]
Detailed ππΎHabari wakuu,