Kuna wanawake wengine wanaolewa, wanazaa. Lakini wanazaa watoto wa kike tu.Dada donatila eee, hapo kwenye enibiiii ndio jibu la changamoto zoteπππ.
Hili la kukosa watoto kwenye ndoa kama limeegemea upande mmoja kwa nilivyoona mm,maana shida zingine chanzo n Mwanaume.
Nani kasema wamelazimishwa ???Putin kutawala Urusi ina uhusiano gani na wanawake kulazimishwa kuolewa na kuzaa?
Hakika .Ni umbwaa.
Wamependa nini? Na kama wamependa wenyewe tatizo lako nini?Nani kasema wamelazimishwa ???
wamependa bro
Ndio maana nikakwambia kwa mtu ambaye hajui birth rate na death rate huwezi kumwambia mambo ya hesabu mjombaAcha kutumia maneno bila kuyafahamu. Fertility Rate!!! si kuangalia ni mahesabu bwashee
ngoja tumalizie vuna embe tutarudi full time kama zamani mnywaniMiss you too mnywanii!
Umepotea sana hadi Lamama kapewa ban dah!
Nimemmiso hadi naumwaa
YaaImagine unalala unaota unafanya mapenzi na dada yako anaekufuata. Asubuhi ukiamka kweli umechafua shuka
Cha kushangaza tangu hapo mashine haisimami hata ile nature yenu wanaume kuwa asubuhi ni lazima mashine isimame wewe holaaaa . ile ukiona maungo fulani ya mwanamke ule msisimko ishtuke wewe holaaaa
πππππππππ!
Wachawi wasennge sana
Kutoa matumiz siyo?Kujielewa hakuhusiani na Hela!
'Mwanaume' anaetambua kuwa yeye ni mwanaume na anajua nafasi yake na wajibu wake!
Kuna wanaume Wana Hela ila ni useless!
Nani kakudsnganyaaa!!Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?
Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Ulishuhudia kitu gani , kuna kipndi nilikua natafuta nyumba ya kukaa kwa mda fulani eneo fulani kama miezi 6 iv , nilipata nyumba nzuri ila nikapewa story za kitaa hiyo nyumba ina majini , watu wanapigwa usiku , niliichukua nione hayo majini , nakupunguziwa bei kabisa kwa sababu haikua na wateja.Uchawi Upo binafsi nilishuhudia kabisa πππππ!
Wachawi Sio watuu
π€£π€£π€£π€· NashangaaMtu anakupangia uzae , as if kama ana project na hao watoto wako[emoji1787][emoji1787]
Asante Kwa kututukana boss.Mama mchungaji kazini!
Wachawi wasennge sana
Walikufanyeje dr?Uchawi Upo binafsi nilishuhudia kabisa πππππ!
Wachawi Sio watuu
Shida hujui mwanamke kutaka mtoto ni kupenda au kulazimishwa.Wamependa nini? Na kama wamependa wenyewe tatizo lako nini?
ExactlyKabisa unachokitafuta ni kigumu.pia hata uchumi wa vijana n mgumu mtu ataoaje.
Noma snπ€£π€£Kuna mitaa ya Manzese, Kigogo na Mburahati aisee kuna watoto wengi mpaka Kero πππ
Tena dr n sabb kubwa sana.Exactly
Mtu ni jobless,anaoaje?
Hii sbb mojawapo.
Bora leo umejibu vzr. Maana hukawii kuanza kuleta hoja zko za kitoto.... Kwamba uchaw hakuna mizimu hakuna sjui thibitisha km uchaw upo leleleee sjui nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mwamba huwa unazngua snKwani kuolewa na kuzaa ni lazima?
Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?