Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Plo Lumumba Jr,
Sipendi utumie neno "adui."
Sipendi utumie neno "adui."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plo Lumumba Jr.
Usiseme adui.
Yapo matatizo ambayo viongozi wetu wanaogopa kuyakubali.
Mfano BAKWATA.
Hii taasisi haikuundwa na Waislam na Waislam hawaitaki lakini ipo kwa kuwa serikali inataka iwepo ifanye kazi ya upawa.
Upawa kazi yake ni kupakua vitu vya moto.
Wewe mzee ni Mzee Chuki. Umepandikiza chuki kubwa na maandiko yako yaliyojaa ubaguzi na sasa imeanza kumea vijana wako wameanza kupora silaha kujiandaa kutimiza yale uliyoyapanda. Wewe ni mbaguzi kuliko hata PW Botha. Nchi hii ni yetu sote, tumeishi kwa upendo na kuvumiliana. Wote ni ndugu wa asili moja. Lakini wewe umekuja na maandiko ya kutugawa unaona Dini nu muhimu kuliko utu,unaona dini ni muhimu kuliko upendo, unaona dini ni muhimu kuliko uhai.
Unalazimisha historia unayoitaka wewe iwe historia ya nchii hii. Historia yako imejaa ubaguzi na chuki tupu. Unadhani watu wa imani nyingine sio watu na hawastahili kuwepo. Imani sasa inatoweka, naona unafurahia na kuchochea moto na maandiko yako ya chuki
Hoshea,
Hakika miaka imekwenda.
Hakika tugange na tusonge mbele.
Lakini pia ni vizuri tukaelewa tulikotoka na kujiuliza hapa tulipo tulifikaje?
Ndahani,
Sikupoteza muda wala sikusudii kupoteza muda wa mtu yoyote.
Hii historia imekubalika kwenye vyuo vingi na imesaidia sana katika kuelewa
hali ya nchi yetu.
Lakini ikiwa wewe unahisi unapoteza muda wako unaweza ukaacha kunisoma
ukiona post yangu unapita wima.
Swali la kujiuliza ni iweje hii leo baada ya miaka 57 kupita Sheikh Suleiman Takadir anarejeshwa upya katika historia ya kupigani uhuru wa Tanganyika? Hiki ni kitendawili kinachongoja kuteguliwa.
Nani anamrejesha? hivi harakati za kudai uhuru,miaka hiyo zingefanyika mkoa wa kilimanjaro au mbeya,hilo baraza la wazee wa TANU,wajumbe wake wangekuwa wa imani ipi? wakati harakati za kudai uhuru zinaendelea DSM,je wakazi wa mikoa mingine walikuwa wamelala wakisubili wa islam wa DAR wawaletee uhuru?
Babu wa Loliondo,
Hivyo usemavyo si kweli.
Siwezi kulazimisha historia.
Mimi nimefanya masahihisho makubwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika kiasi niko katika orodha ya waandishi 500 walioandika Dictionary of Africa Biography (DAB), Oxford University Press, New York 2011.
Usinambie kuwa Oxford wanachapa maandishi ya chuki.
Nina vitabu vingine viwili na hao hao Oxford lakini Nairobi.
Yako mengi ya kuelezana.
Wewe mzee ni Mzee Chuki. Umepandikiza chuki kubwa na maandiko yako yaliyojaa ubaguzi na sasa imeanza kumea vijana wako wameanza kupora silaha kujiandaa kutimiza yale uliyoyapanda. Wewe ni mbaguzi kuliko hata PW Botha. Nchi hii ni yetu sote, tumeishi kwa upendo na kuvumiliana. Wote ni ndugu wa asili moja. Lakini wewe umekuja na maandiko ya kutugawa unaona Dini nu muhimu kuliko utu,unaona dini ni muhimu kuliko upendo, unaona dini ni muhimu kuliko uhai.
Unalazimisha historia unayoitaka wewe iwe historia ya nchii hii. Historia yako imejaa ubaguzi na chuki tupu. Unadhani watu wa imani nyingine sio watu na hawastahili kuwepo. Imani sasa inatoweka, naona unafurahia na kuchochea moto na maandiko yako ya chuki
Chaza,
Historia hii inaonekana imewagusa wengi sana.
Ahsante.
Ndahani,
Sikupoteza muda wala sikusudii kupoteza muda wa mtu yoyote.
Hii historia imekubalika kwenye vyuo vingi na imesaidia sana katika kuelewa
hali ya nchi yetu.
Lakini ikiwa wewe unahisi unapoteza muda wako unaweza ukaacha kunisoma
ukiona post yangu unapita wima.
Kweli kabisa...nisichoelewa ni kwanini unashabikia sana udini kwa kigezo cha Nyerere. Udini tuufanye sisi halafu matusi yaende kwa Nyerere. Inamsaidia nani? Jamii yetu inaumwa...inahitaji tiba ya kweli. Tusipofungua macho na kuona hilo tutaadhirika. Nyerere amekuja na kwenda. Leo tupo mimi na wewe na wengine waliopo. Changamoto zetu lazima tuzikabiri wenyewe kwa heshima na maridhiano. Tunao uwezo huo kama hatutasukumwa na egoes zetu.
Sishangai mambo mengi yanakwama sababu nyuma ya kila ajenda tumeficha unafiki wetu