Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Kwa nini Sheik Suleimani Takadir aliingiza uislam(Udini) wakati ilikuwa kinyume na taratibu walizokuwa wamejiwekea wao wenyewe kama wana TANU ,JE aliyekuwa anapewa UHURU 1961 ni nyerere au WATANGANYIKA WOTE, au ni waislamu,JE UISLAMU au UKRISTU ndio huduma za jamii ambazo watu wanazihitaji?je watanzania wote kwa ujumla wao wanahudumiwa maisha yao na mahitaji yote ya maisha na hizo dini zao.Historia ni mwl. mzuri.Je mtu akifanya kinyume na taratibu aachwe asichukuliwe hatua zozote kama alivyofanya Takadir.HIVI ni kwa nini Nyerere alaumiwe utadhani nyerere ndiye aliyetoa AMRI KUWA wakoloni wa kiarabu wasijenge mahospitali,mazahanati,vyuo wakati historia inatuambia kuwa waarabu walioleta uislamu walikuja katika nchi yetu miaka mingi sana kabla ya wazungu lakini hawakufanya chochote zaidi ya kuwatesa,kuwafunga minyororo,na kuwauwa babu zetu na kuwahasi wengine wale waliopelekwa uarabuni kufanya kazi ili mbegu ya kiafrika isizaliane UARABUNI.lEO hii shule za hao wamisionari zimesomesha wote hata maraisi tulionano kwa sababu baba zao waliona umuhimu wa Elimu dunia hivyo wakapeleka watoto wao mashuleni.Ndugu zangu hizi dini zilikoangukia ndiko huko watu hao walizifuata yawezekana hata mimi leo hii kama ningeishi pwani labda ningekuwa muislamu kwa sababu ndio wangekuwa watu wa kwanza kukutana nao.Je tunachogombania ni nini,SIJAJUA NI LINI MTU MWEUSI ATAKAUWA NA AKILI ZA KUJITAMBUA NA KUTAFAKARI.Taifa linakuwa na watu ambao hawawezi kufanya tafakuri,kila wakati ni kuleta visingizio tu Uislamu uislamu,kazi ni ubaguzi tu sisi wote tumeumbwa na MUNGU na mtu yeyote asijione kwamba dini yake ndio muhimu muda wote.Ni ujinga na upumbavu.
 
safi kabisa special message kwa wapenda udini wote.
 
NYERERE na tumpongeze wakati wote kwa sababu hakutaka kufanya upendeleo kwa kisingizio cha DINI NA KUHARIBU UMOJA WA KIFAIFA,sijaona utabiri wowote wa Takadir wenye tija kwa Taifa letu zaidi ya uchochezi uliozoeleka kwa dini ya uislamu kujiona ni dini special wakati wote katika Taifa,Tujiulize kwa nini tulikuwa na tumekuwa wamoja kwa muda mrefu kama hatujiulizi maswali hayo sasa ni dalili tosha kwamba akili zetu tumeziweka mfukoni na hatutaki kufikiri tena au TUMEKARIBISHA MASHETANI KTK NCHI YETU AMBAO Wanaionea Tanzania wivu wa umoja tulionao na wanakerwa sana na umoja huu, SASA WAMEONA ndugu zetu WAISLAMU WANAINGILIKA KIRAHISI kwa sababu WANAZOZIJUA WENYEWE,na kama tunavyojua mtu anapokuambia jambo anakuwa tayari amesha jua akili yako ilivyo.TUDUMISHE UMOJA WETU NA TUSICHANGANYE DINI NA SIASA HATA KIDOGO.NA TUWACHUNGUZE WATU WENYE KULETA CHOKOCHOCHOKO NA KUWACHUKULIA HATUA KALI NA AMBAO WAMEOMBA URAIA WA TANZANIA NA WANAFANYA UCHOCHEZI NI VIZURI TUKAWANYANG'ANYA URAIA WAO NA KUWAFUKUZA HAPA NCHINI.SHEIK SULEIMAN TAKADIR alijisahau kuwa nchi hii ina waislamu,wakristu,wabudha,wapagani na hivyo akafanya UBAGUZI kwa kutetea kundi moja tu la waislamu wakati wote tulikuwa tunapigania uhuru ulio sawa.
 
Tanzania hii, inamchango wa watu wengi katika kuleta uhuru. Wakati ule isingelikuwa rahisi kwa namna yoyote ile wazee wa mji fulani kuleta uhuru wa nchi hii peke yao. Maandiko mengi ya Mzee wetu M. Saidi nimeyasoma. Na hitimisho langu ni kuwa ukiayaangalia kwa jicho la kutokuelemea upande ni kuwa historia inayodaiwa kufichwa haipo, bali kinachoelezwa ni jinsi ya kuwatia hamasa watu wa imani nyingine kujiona kuwa walishiriki kikamilifu, ila sasa wamesahauliwa. Hili si la kweli hata kidogo na halikubaliki.

Tatizo lingine la historia nayoidai mwandishi ni historia ya kuvizia. Akishafariki mtu, basi ndipo maandiko yake huibuka. Kwa kuwa marehemu hana lake hivyo basi inakuwa ni wakati wake wa kujenga hoja za chuki. Wakiwa hai hana muda wa kuwahoji, ila wakifa huwatia maneno vichwani mwao na midomoni mwao.

Utetezi wake ni kuwa maandishi yake yamechapishwa na vyuo na majarida maarufu. Lakini kuchapishwa kwake sio hoja ya kusema ni sahihi.

Kama kweli Mzee. M. Saidi unaipenda sana nchi yetu, basi usingechagua watu katika historia yako kwa misingi ya dini zao. Mfano unaaandika wazee wa dar wa dini fulani, baadae unaenda mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa, kule unaandika wazee wa imani hiyo hiyo, kisha unaenda mikoa ya kaskazini unafanya hivyo.

Kisha unamalizia kwa kumlaumu nyerere. Nia yako ni ipi hasa kama sio chuki.

hii nchi ni heri tukagawana vipande vipande kama ilivyokuwa kwa wahindi 1949......kila imani ipewe staha zake haiwezekani tukawa tunasikia vurugu za imani moja tu imani zingine zikiheshimu amani na moja wa kitaifa .....makabila kama ya wasukuma, wamaasai, na wabarbaig yenye idadi kubwa ya waumini wa dini za kijadi yapewe stahiki sawa za uongozi na maamuzi ktk mustakabali wa nchi hii.
 
Hakika wenye mioyo safi yenye kuelewa mambo kwa kina isiyo na ujuha wa kujitoa ufahamu watakuwa wamekuelewa vizuri sana.Tunashukuru sana kwa jitihada zako za kuuweka ukweli uliofichwa kwa mioongo kadhaa.Mungu akulinde mzee wetu Mohamed SaidI
 
Last edited by a moderator:

hakika wenye ukame wa maono , kiangazi cha fikra, mawazo mgando, poor thinking, slow and heavy learner, na wale wote wasiolitakia mema taifa hili watakuwa nyuma ya Mzee Said katika kupalilia mgogoro wa kuligawa taifa hili.
 
Last edited by a moderator:
Wakatoliki wampe tu JKN Utakatifu maana chuki mliyo nayo juu yake ni kubwa mno.

Wakatoliki ndo wanaroho mbaya bora ya waislamu. wanaona kumpa utakatifu Nyerere utakatifu Tanzania itapanda chati kweli. Ukatoliki ni ugaidi kama alivyo jamaa yetu Janjaweed
 
Last edited by a moderator:
Wewe mzee ni Mzee Chuki. Umepandikiza chuki kubwa na maandiko yako yaliyojaa ubaguzi na sasa imeanza kumea vijana wako wameanza kupora silaha kujiandaa kutimiza yale uliyoyapanda. Wewe ni mbaguzi kuliko hata PW Botha. Nchi hii ni yetu sote, tumeishi kwa upendo na kuvumiliana. Wote ni ndugu wa asili moja. Lakini wewe umekuja na maandiko ya kutugawa unaona Dini nu muhimu kuliko utu,unaona dini ni muhimu kuliko upendo, unaona dini ni muhimu kuliko uhai.
Unalazimisha historia unayoitaka wewe iwe historia ya nchii hii. Historia yako imejaa ubaguzi na chuki tupu. Unadhani watu wa imani nyingine sio watu na hawastahili kuwepo. Imani sasa inatoweka, naona unafurahia na kuchochea moto na maandiko yako ya chuki

Pumba tupu.
 
Mzee Mohamed Saidi acha upotoshaji. Haya maandiko yako ni yaleyale ya malalamiko yale yale kwa nia ile ile ya kujenga chuki. Hujawahi kuja na hoja mbadala. Unakaa baada ya muda unarudi na maandiko yale yale. Nia hasa ni kuyazungumza kwa muda mrefu ili ionekane ni kweli. Hizi hoja zako zimeshajadiliwa sana huku, baadae unapotea unarudi na thread mpya ya jina lingine. Kwa kuwa hajafa mtu wa kumtupia lawama kwa muda mrefu basi huwa unaishiwa hoja na kuzurudia. Na kama nilivyosema Nyerere ndio mlengwa wako sishangai kusikia kuwa mvua isiponyesha utasema ni nyerere.
 
Babuwaloliondo,
Kama nimekuelewa ni kuwa kitu kikiandikwa mara moja basi huo ndiyo
mwisho wake.

Ulimwengu hauendi hivyo ndugu yangu.

Ingelikuwa ulimwengu ni wa mara moja haturudii yale tuliyoyapitia basi
katika historiaya TANU tungebaki na ile ya Chuo Cha Kivukoni.

Kuna watu hapa JF ndiyo kwanza mwaka huu wananisoma.
Hawa hawakupatapo kunisikia hata siku moja.

Hawa mimi huwatambua kwa jinsi wanavyouliza maswali yao na namna
ya uchangiaji wao.

Katika historia ya TANU ni vigumu kumwepuka Abdul Sykes na mdogo
wake Ally na ukimpenda baba yao Kleist Sykes.

Katika historia ya TANU huwezi kuacha kumtaja Julius Nyerere.
Walionitangulia walijaribu kumfuta Abdul Sykes katika historia ya TANU.

Nadhani sote tumeshuhudia kishindo chake nilipoandika habari zake na
kumrejesha katika historia.

Mpaka sasa tuko hapa tunajadili.
Hawezi kufa mtu kwa kusoma ''critique.''

Unakiogopa kivuli chako mwenyewe.
 
hakika wenye ukame wa maono , kiangazi cha fikra, mawazo mgando, poor thinking, slow and heavy learner, na wale wote wasiolitakia mema taifa hili watakuwa nyuma ya Mzee Said katika kupalilia mgogoro wa kuligawa taifa hili.

Yoso,
Soma taarifa hii.

Utagundua nani halitakii mema taifa hili.
Utagundua nani anapalilia mgogoro wa kuligawa taifa.

MK/HB. VOL.5/07/101 06/06/2012

MAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: HUJUMA ZA BARAZA LA MITIHANI DHIDI YA WAISLAM

Kila sifa njema anastahiki Allah, ambaye rehema zake zimeenea katika kila kitu katika ulimwengu bila ya kujali utii ama uasi wa kitu hicho katika amri na sharia zake.

Rehema na amani zimuendee kipenzi chetu mtume Muhammad (S.A.W) kwa kuwa kiigizo chema na rehema kwa walimwengu wote.

Ndugu waandishi kwa muda mrefu waislam wamekuwa wakiilalamikia suala zima la utendaji wa serikali kuwa umekuwa wakibaguzi kwa kuwapendelea wakirsto kwa kuwapa nafasi mbalimbali muhimu serikalini na katika taasisi zake.

Ndugu waandishi na Waislam mnamo tarehe 01/ 05/2012 Baraza la mitihani la Tanzania lilitangaza matokeo ya kidato cha Sita, matokeo hayo yaliwashtua sana wanafunzi waislam waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya kiislam (Islamic Knowledge). Takriban asilimia 70 walifeli kwa kupata daraja F, na asilimia 30 ndio waliofaulu tu.

Katika hao waliofaulu walipata alama za juu kabisa nchi nzima ni wanafunzi saba tu ambao wamepata daraja D, kwa matokeo haya somo hili likawa somo la mwisho kwa ufaulu nchi nzima (rejea kitabu cha takwimu cha Baraza la mitihani Tanzania April 2012.

Matokeo haya yaliwashtua wazazi na walimu wa somo hili, baadhi ya wanafunzi waliamua kukata rufaa ya kutokubaliana na matokeo hayo.

Waislam kupitia Taasisi mbali mbali za kiislam walimuandikia katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kumuomba aunde tume huru kuchunguza matokeo ya somo husika.

Kufuatia malalamiko hayo ya baadhi ya taasisi za dini, baraza la mitihani liliyatazama matokeo hayo na kugundua pia walikosea na hivyo Baraza la mitihani likaidhinisha kutolewa matokeo mapya kwa somo hilo.

Mabadiliko hayo ya matokeo ufaulu kwa wanafunzi wale wale ambao awali walifeli kwa asilimia 70, sasa yakabadilika na ufaulu ukaongezeka kwa zaidi ya asilimia 70.

Kwa namna yoyote ile itakavyokuwa dosari kubwa kama hii ni kashfa kubwa kwa Baraza la mitihani Tanzania na Serikali kwa ujumla.

Na kwa kutilia maanani muundo na historia ya utendaji wa wa baraza la mitihani la Tanzania kama nilivyoanza kuelezea, Waisla wanayokila sababu ya kuamini kwamba matokeo haya ni uthibitisho tosha wa hujuma ambazo wanafunzi wa kiislam walikuwa wakifanyiwa kwa muda mrefu.

Na hii inatupa picha kwamba dosari hizi zilizotokea kwenye somo la maarifa ya kiislam, haziishii kwenye somo hili, bali uchunguzi ukifanyika kwa masomo yote waliofanya wanafunzi wa kiislam itadhihirika kwamba hila na dhulma kama hizi zinafanyika katika masomo mengine.

Kimsingi kwa dhulma hii waliyoifanya baraza la mitihani dhini ya wanafunzi wa kiislam, Bakwata na waislam wote kwa ujumla wamepoteza imani na baraza la mitihani la Tanzania na hasa katibu mtendaji wake .

Bakwata, linawapongeza na kuwaunga mkono Taasisi zote za kiislam nchini kwa jitihada ya kuligundua hili na hatua walizozichukuwa dhidi ya baraza la mitihani na kuhufahamisha umma wa kiislam juu ya kadhia hii.

Tunarudia baraza tunawapongeza taasisi zote za kiislam na tunasema katika hili Bakwata tuko nyuma yao kwani kauli yao ndio kauli yetu.

Bakwata, inamshangaa Katibu mtendaji wa Baraza la mitihani (Necta) Dk. Joyce Ndalichako, kwa kauli yake aliyoitoa kupitia vyombo mbali mbali vya habari vya jana tarehe 5/06/2012, akisema hakuna hujuma na mitihani inasahihishwa na walimu wenye sifa,wanachaguliwa na na wakuu wa shule zao, walimu wenye uzoofu na kuna mfumo wa usahihishaji aliohuita "Conveyor Belt".

Bakwata inasema hapa tatizo la msingi sio mitihani kusahihishwa na walimu wenye sifa,na nani anawachagua walimu hao wenye sifa au huo mfumo wa usahihishaji, tatizo la msingi hapa ni kufelishwa kwa makusudi kwa wanafunzi wetu wa kiislam katika somo husika, wakati nakala za mitihani yao (Scripts) zinaonyesha wamefaulu.

Bakwata, tunahoji kwanini tatizo hili la huo mfumo (Conveyor Belt) litokee mwaka huu, mbona matokeo ya mwaka jana waislam hawakulalamika na kulikuwa hakuna dosari kama za mwaka huu iweje itokee mwaka huu, wakati mfumo ni ule ule?

Bakwata, tunaamini waislam katika hili tumehujumiwa na waislam hawajaridhishwa na majibu ya Dk. Ndalichako, aliyoyatoa kupitia vyombo vya habari vya hapa nchini.

Hiyo mifumo ya usahihishaji sio maneno matakatifu kwamba haiwezi kuchezewa kutokana hila za binadamu ni mifumo iliyowekwa na binadamu, na binadamu huyohuyo anaweza kuibadilishabadilisha vyovyote anavyotaka.

Sisi kama Bakwata,tunaamini ili kurudisha imani ya waislam dhidi ya Baraza la mitihani tunataka mambo yafuatayo yafanyike,

· Tume huru iundwe la kuchunguza Baraza la mitihani la Tanzania na utendaji wake wa kazi kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.
· Katibu mkuu wa baraza la mitihani (Necta) ajiuzulu mara moja ili kulinda heshima ya serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Baraza la Mitihani.
· Watendaji wakuu wa kitengo cha mitihani na wanaohusika na mfumo wa kompyuta ya Baraza la mitihani nao wawajibishwe mara moja.
· Hatua za kisheria na kinidhamu zichukuliwe dhidi ya watumishi wa baraza la mitihani watakaothibitika kuhusika na kashfa hii.
· Muundo wa baraza la mitihani uzingatie uwiano wa kidini, kitendo cha chombo nyeti kama hiki kujazana watu wa dini moja kunaliondolea baraza la mitihani sura ya kitaifa, kwani takwimu zinaonyesha makatibu wakuu watendaji na manaibu katibu wakuu wamekuwa wakristo na wenyevyiti wa baraza hilo ni wakristo tangu lilipoanzishwa mwaka 1973, mpaka hii leo na takwimu tunazo.
· Pia tunaiyomba Serikali iwape nafasi wanafunzi wote ambao baada ya matokeo yao kubadilishwa wamekuwa na sifa za kujiunga na vyuo vikuu waruhusiwe kuomba mikopo bodi ya mikopo, tunalisema hili kutokana na muda wa kuomba mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu kwisha.

Suala la Sensa ya watu na makazi.

Kama tunavyojua kwa mwaka huu wa 2012, kuna zoezi la sense ya watu na makazi ambayo inatarajiwa kufanyika kuanzia mwezi wa nane, 2012, na kutoka na upotoshaji ulioenea kwenye vyombo vya habari hapa nchini, kalenda iliyochapichwa na ofisi ya waziri mkuu, imetoa takwimu zinazoonyesha idadi ya watanzania ni milioni 43 ambapo kwa mujibu wa dini zao wakristo ni asilimia 52, waislam asilimia 32 na dini zingine ni asilimia 16.

Bakwata tunalaani kitendo hiki na tunasema takwimu hizi sio sahihi na zinapotosha wananchi, hii ni kwa sababu katika sense zilizofanyika hivi karibuni ikiwemo sense ya mwaka 2002 kipengele kinachobainisha dini za watanzania kiliondolewa.

Kwakuwa taarifa hizi zinaonekana kwenye kalenda zinazoonyesha zimetayarishwa na ofisi ya waziri mkuu, tunaitaka serikali kurudisha kipengele kinachobainisha dini za watanzania katika sense ya mwaka huu ili ukweli ujulikane na kuondoa kabisa sintofahamu hii.

SUALA LA MGOGORO WA HIVI KARIBUNI ZANZIBAR

Ndugu waandishi wa habri naamini nyinyi nyote kama waandishi wa habari mnajua au mmesikia vurugu zilizohusisha imani za dini zilizotokea visiwani humo na kutokana na taarifa nyingi za vyombao vya habari zilizokuwa zikitolewa tangu mgogogro huu uanze kuna kila dalili za kuchukuliwa hatua za haraka haraka na katika mazingira haya wale wote waliohusika na vurugu hizi wasijulikane tena na watu wasio na hatia wakahusishwa na hali ikawa mbaya zaidi kwa hivy o kutokana na kadhia yote hiyo na yote yaliyosemwa na makundi mbalimbali ya waisla na wasiokuwa waislam Sisi kama Bakwata tunasema yafuatayo:

Kwanza tunalaani kitendo cha uvunjifu wa amani uliotokea Zanzibar na tunaamini waliofanya vurugu zote zile sio waislam bali ni wahuni tu.
Pili tunasema Wazanzibar, wasikilizwe kwa yale ambayo wanayapigia kelele kama malalamiko yao yapo katika muungano Serikali haina budi kuyasikiliza yale yote yanayolalamikiwa na kuyarekebisha, kwani Muungano sio qur- an useme kilichomo humo hakiwezi kurekebishika.

Tatu iundwe tume huru yenye wajumbe kutoka pande zote, makanisa, Serikali na UAMSHO ili zichunguzwe tuhuma hizi kwa undani zaidi maana kwa kweli athari zinaweza zikawa za muda mrefu kwani zinapandikiza kutoaminiana baina ya Wazanzibar hasa wakristo na waislam jambo ambalo halikuwepo hapo kabla na yoyote takae bainika kuwa na hatia sheria ichukue mkondo wake bila ya kujali wadhifa alionao katika chama, dini ama Serikali.

Mwisho tunamuomba Allah atupe Imani ya kweli katika nchi yetu na kama kuna fisadi na adui Allah amdhalilishe hapahapa Duniani, amen.

Wabillah Tawfiq.
clip_image002.gif

Sheikh Issah Bin Shaabani Simba.

Sheikh Mkuu na Muft wa Tanzania
 
Wakatoliki ndo wanaroho mbaya bora ya waislamu. wanaona kumpa utakatifu Nyerere utakatifu Tanzania itapanda chati kweli. Ukatoliki ni ugaidi kama alivyo jamaa yetu Janjaweed

Nakunyima usingizi sio??

I can live with that coz i know you are far too weak kwangu kwa chochote kile
 
Sasa Mzee Mbona Maandiko yako hayana hitimisho, tuwafanyie nini hawa waislaam ili kuwalipa fadhira za kupigania uhuru. Tuwafanyie nini ili wao waridhike maana mchango wao ni mkubwa

Sojosojo,
Hili la tuwafanyie nini ni lako.

Mimi nimeandika historia kuwaenzi wazee wangu ambao historia iliwasahau.
 
tatizo lako lipo kwenye umimi ktk kuwaelezea wazee wako.. then udini
. Bhaaasi nje ya hapo maandishi yako yangekuwa na maana sana.

Remote,
Maandishi yangu katika vitabu na "papers," zimekuwa katika katalogi ya:
Islam/History/Politics katika maktaba nyingi na zinaonyesha hivyo kwenye
Library of Congress.

Hiyo katalogi ya "Udini," bado sijaona ila hapa.
 
Mohamed Said ni janga kubwa kuliko hata huyo Takadir. Hakika Nyerere aliisaidia hii nchi. Maana ingekufa mikononi mwa waislamu
 
Tunaokuomba mzee KINGUNGE Na wewe andika historia ya WAPAGANI Waliopigania UHURU.Tumechoka na HEKAYA HIZI za huyu mzee.

Abu Jahal,
Ikiwa unachoshwa na hekaya yangu moja itakuwaje nikikuwekea zote?
Hebu chungulia hapo chini:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book).

3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press, New York 2011.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.

17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.

18. Tanzania: A Nation without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

19. Visiting Scholar: (2011)
• University of Iowa, Iowa City, USA
• Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
• Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
 
Back
Top Bottom