Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi


si wanacondomising
 
alishatoka na mr. nice muda mrefu tu baada ya chuz. kipindi.hicho anaishi makongo juu.....

Kuna dada mmoja alitoka na mr nice na nnakumbuka kama alizaa nae kabisa, huyo dada aliugua ugonjwa ambao magazeti ya udaku hayakusema ingawa walikuwa wanamwandika kuwa ni mgonjwa, yule dada alikufa akiwa amekonda sana, sina hakika nae kama alikuwa kwenye gridi ya taifa.
 

anaitwa diana, alikuwa mcheza shoo wa diamond sound kipindi hicho.. ni kweli alizaa na mr.nice.
 

diana aston vila..
 
duuh...!
 

Attachments

  • 1396780623416.jpg
    57.1 KB · Views: 2,827
Sasa na ck mnataka kusema yupo kwenye mlolongo, na kajala na Naima
 
Muda si mrefu na yeye atatoa ushuhuda kuwa anakula vidonge. Huu ujasiri kautoa wapi?Au ndo anatafuta promo katika media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…