Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika falme za majini pesa ni kitu kidogo ni sawa na wewe kumiliki mchanga. Kwa kiasi ambacho hadi utakaposhindwa kadri unavyotaka ndivyo unavyopewa.Mkuu vipi huyo Jini pesa anayokuletea huwa anatoa wapi? Na huo utajiri unaweza kufikia kiasi gani cha pesa?
Je ni kweli matajiri wengi ni walinzi?
Pia
Inasemekana kadili siku unavyozidi kupanda kwenye huo utajiri unaongezewa masharti hivi lengo huwa ni nn ushindwe akunyonye damu au?
Kumbe wewe jamaa ni mganga?Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa,
Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya uponyaji hapa nitakujuza mafanikio yake yanavyokuja na jinsi mganga au mchawi anavyomuandaa na kukuitia kisha akakukabidhi pamoja na masharti yake;
MTAMBUE
View attachment 2184009
Kwanza kabisa, unachotakiwa kufahamu ni jina lake maarufu anaitwa ALMLIYAH ALNAFEDHA
Huyu ni moja kati ya majini 72 waliowahi kuletwa mbele ya macho ya Nabii Suleiman (King solomon) kwa kupitia JINI MFALME FIQITUSH (Faktushi) ambaye nae Fiqitush alikamatwa na malaika wawili JIBRIL & MIKAIL (GABRIEL & MICHAEL) kwa amri ya mwenyezi Mungu baada ya kumletea pete ya utume kisha wakamkamatia jini huyu FIQITUSH ambaye nae akawa mtiifu kwa King Suleiman nae FIQITUSH ndio alikuwa mganga mkuu katika mataifa ya majini na akamuahidi kuwa atamletea majini wakuu kabisa kwa elimu yake na atawaambia wanapokaa uharibifu wao na nguvu zao na jinsi ya kuwatibu watu ambao watakuwa wamedhurika nao na jinsi ya kuwafunga pia na kuondoa maagano mbali mbali waliokuwa wameweka nao.
Kufupisha maelekezo;
Huyu Mfalme wa majini FIQITUSH katika majini 72 aliowaleta mbele ya mfalme Suleiman jini wa 60 ndio alikuwa huyu ALMLIYAH ALNAFEDHA maarufu kwa watu flani flani hapa Tanzania kama Jabar jini au nyamihela au jini pesa (yote majina ya tungo tu kuvutia wateja) wenye kuwataka, lakini koo zake pia huyu ni koo za kina MAIMUN au MAIMUNA katika utawala wa Aba Nukh Maimun mfalme mtawala wa siku ya Jumamosi na sayari ya zohari mwenye asili ya nyoka mweusi.
ENEO ANALOKAA
Makazi ya kiumbe hiki ni popote pale panapokuwa na kundi la kondoo ndio makazi jini huyu hupendelea kukaa nae hukaa karibu na viumbe hao pembeni ya miji na kwa wanaemmiliki humlisha kondoo unless akikosea masharti yake ndio huanza kudai fidia kubwa *********.
UKIKOSEA MASHARTI YAKE:
Asilimia 80 ya watu hukosea masharti yake ambapo huperekea kuanza kumletea madhara makubwa kama ***** watu, kuleta maradhi ya ukichaa na kumfanya mtu kuwa na kipanda uso cha uchizi,maumivu makali ya taya zote yasioponyeka na mapigo ya moyo kwenda mbio na kuanza kumfanya muhusika au yule aliyetolewa kafara kuanza kuwa kichaa ama taahira na kukosa tiba yake.
UKITAKA KUMFUKUZA:
Ikiwa unataka kumfukuza kwa usalama na bila kuleta matatizo ya ***** mtu au ndugu kwanza kabisa unatakiwa ukubali kupoteza mali aliyokuletea au kile alichokufanyia kwa makubaliano yenu. kisha upate majani ya croton na Majani ya Mpopoo kisha ule kwa siku 21 chakula kisicho na acid utakuwa unajifukiza na kunusa popoo na kila ukiwa unajifukiza na kunusa unachukua muhuri uliotumia kumuitia unaubinya na kumuamuru aondoke na asirudi tena na achukue vitu vyake kisha kila siku alichokupa yeye kitayayuka na kila siku atakuwa anakupa kitisho cha kuwa akiondoka unakufa ukibinya muhuri wake ambao umeandika kinyume anakuwa anapotea hakikisha pia unakuwa shingoni umevaa Muhuri wa Suleiman ule mkubwa kabisa kwenye pete kama kinga kisha wakati unatumia mpopoo na croton unakuwa unatumia na kombe ya majina ya siri ya Mungu kwa mbingu ya SITA.
UKITAKA KUMUITA NA MASHARTI YAKE:
Unaweza kuangalia kwenye video hii;
Rakims
Sio mganga sema mchawi kama alivyojieleza ulipo mnukuu.Kumbe wewe jamaa ni mganga?
Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yakeSio mganga sema mchawi kama alivyojieleza ulipo mnukuu.
Kamwe hakuna Jini anaye weza kukusaidia bila kukutia katika mtego mzito wa mauti.
Majini ni Malaika wa Ibirisi Shetani Rusifer. Lengo lao ni kumwangamiza Binadamu kwa namna yoyote ile sababu tu wao wametengwa na kulaaniwa na Mungu, na Binadamu ameruhusiwa kuchota baraka za Mungu na mwisho kuishi Mbinguni.
Hizo pesa Kichele atakazo kutamanisha ni kwaa ajiri moja tu, akutie katika mauti au kifo na amiliki Roho yako.
Huyo Mtoa mada na Agent wa Ibirisi Shetani Rusifa na Malaika zake Majini.
Hapa yupo kumuwakilisha Shetani, na Ufalme wa Giza.
Ona anavyo watamanisha masikini wa fikra hizo pesa za malipo ya damu na Kafara. Na kamwe hataji maagano hatari mtakayo ingia wala madhara yake.
Mpuuzeni huyo Mchawi.
Hizo mali ni sawa na Chambo ya kumvua Samaki.Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yake
Ninamfahamu kwa jina lingine lakini usihofu nitamletaRakims please sana mkuu. Ukipenda tupe elimu juu ya nyoka fulani aitwae tia. Ktk matumizi ya kuvutia pesa na mazao. Na uhusiano wake na vile vitu vinapita juu na kumulika vikipita kwa kasi na kupotea.
Hivi umesoma thread nzima na kujua nazungumzia nini au umequote kulingana na kichwa cha habari. em acha kuquote upuuzi kabla hujasoma mada husika na kuielewa watakupuuza wewe usiyejua ulichoquote em mtu mwenye akili timamu asome thread na kumuelewesha huyu mtoto kaiba simu ya mama yake na kusoma kichwa cha habari kisha kuquote. umesoma mwanzo hadi mwisho?Sio mganga sema mchawi kama alivyojieleza ulipo mnukuu.
Kamwe hakuna Jini anaye weza kukusaidia bila kukutia katika mtego mzito wa mauti.
Majini ni Malaika wa Ibirisi Shetani Rusifer. Lengo lao ni kumwangamiza Binadamu kwa namna yoyote ile sababu tu wao wametengwa na kulaaniwa na Mungu, na Binadamu ameruhusiwa kuchota baraka za Mungu na mwisho kuishi Mbinguni.
Hizo pesa Kichele atakazo kutamanisha ni kwaa ajiri moja tu, akutie katika mauti au kifo na amiliki Roho yako.
Huyo Mtoa mada na Agent wa Ibirisi Shetani Rusifa na Malaika zake Majini.
Hapa yupo kumuwakilisha Shetani, na Ufalme wa Giza.
Ona anavyo watamanisha masikini wa fikra hizo pesa za malipo ya damu na Kafara. Na kamwe hataji maagano hatari mtakayo ingia wala madhara yake.
Mpuuzeni huyo Mchawi.
Nilijua ni mmoja kumbe mpo wawili? au ni mtu mmoja ana username mbili?Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yake
Elimi kama hizi wanazo waganga pekee yaani unajuaje namna ya kumfuga ? Hata njia uliyoionesha ya kumtoa ni ya kishirikina .Nilijua ni mmoja kumbe mpo wawili? au ni mtu mmoja ana username mbili?
This is Jamii intelligence watoto wazuri mmekosea njia get back on chit chat there are babies there you can help them to change their dippers