Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

Sasa kama ulilijua hilo usingehangaika kuquote pumba kijana. Halafu nikupe faida moja elimu ya ulimwengu na dunia nzima kila mtu aliyonayo ni sawa na kuchovya kidole kwenye bahari ya maji tone linalodondoka ni sawa na elimu yako mtu mmoja sasa kabla hujaanza kujadili usiyoyajua tafakari ulimwengu una bahari ngapi na wewe elimu yako ni tone tu mangapi usio yajua?
Ni bora yule mwenye kusema sijui kuliko anaejifanya anajua hali ya kuwa hana ajualo. Tafuta hekima kwanza kisha uje kuanza kuquote hoja kwa hekima kwa faida ya wengine na sio kusupport upuuzi.

Hapo kwa akili zako finyu kipengele gani kimeonyesha kumtoa unatumika ushirikina?

Rakims
Ana diploma ya finance and marketing atayajua wapi haya.
 
majini ukiwatumia vizuri yana faida sana amini nakuambia kuna matajiri wengi wanawatumia kupata pesa viongozi wa dini wanawatumia sana hasa hawa manbii wakikristo wanawatumia ipasvyo waganga ndio usiseme jiini kama Lusifa Rocofogal ukimuita anakuja na anakuitikia na kila utakalomuambia anafnya shida kubwa masharti yao ni magumu
Kuna siku moja mama mmoja alikuwa ana mapepo nikaenda kumtoa mapepo kwa msaada wa Belzebul nikamuita akajia ila kuna sharti moja alniambia nifanye ili anisaidie kuondoa mapepo nikagoma aliniambia niende kuchukwa maji yale ya choo yanayodondoka nijipake kabla sijamtoa yule mama pepe nikakataa nikamuambia tutafute njia nyingne wee choo chenyewe cha uswahilini hapo nikajua masharti yao magumu
 
Rakims kuna kijana anataka kazi anahisi kafungwa kichawi vipi unaweza kumsaidia apate kazi mkuu
 
majini ukiwatumia vizuri yana faida sana amini nakuambia kuna matajiri wengi wanawatumia kupata pesa viongozi wa dini wanawatumia sana hasa hawa manbii wakikristo wanawatumia ipasvyo waganga ndio usiseme jiini kama Lusifa Rocofogal ukimuita anakuja na anakuitikia na kila utakalomuambia anafnya shida kubwa masharti yao ni magumu
Kuna siku moja mama mmoja alikuwa ana mapepo nikaenda kumtoa mapepo kwa msaada wa Belzebul nikamuita akajia ila kuna sharti moja alniambia nifanye ili anisaidie kuondoa mapepo nikagoma aliniambia niende kuchukwa maji yale ya choo yanayodondoka nijipake kabla sijamtoa yule mama pepe nikakataa nikamuambia tutafute njia nyingne wee choo chenyewe cha uswahilini hapo nikajua masharti yao magumu
Ok, japo siku nyingine jitahidi kukumbuka mahitaji yao hutegemea na muonekano wako baada ya kumuita akikutokea usipoonyesha uoga wa jambo hilo unaweza kutoa offer moja ya kawaida nae akakubali na akikataa fukuza maana wapo wengi na wengine huomba wenyewe kupewa kazi lakini kama elimu yako imeishia kwa mashetani hutafahamu mfano hawa uliowataja ni goetias upande wa mashetani

Rakims
 
Back
Top Bottom