Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

Elimi kama hizi wanazo waganga pekee yaani unajuaje namna ya kumfuga ? Hata njia uliyoionesha ya kumtoa ni ya kishirikina .

Ila all in all kila mtu anachagua atakavyoishi kula bata mkuu na wakina maimuna hao .
Sasa kama ulilijua hilo usingehangaika kuquote pumba kijana. Halafu nikupe faida moja elimu ya ulimwengu na dunia nzima kila mtu aliyonayo ni sawa na kuchovya kidole kwenye bahari ya maji tone linalodondoka ni sawa na elimu yako mtu mmoja sasa kabla hujaanza kujadili usiyoyajua tafakari ulimwengu una bahari ngapi na wewe elimu yako ni tone tu mangapi usio yajua?
Ni bora yule mwenye kusema sijui kuliko anaejifanya anajua hali ya kuwa hana ajualo. Tafuta hekima kwanza kisha uje kuanza kuquote hoja kwa hekima kwa faida ya wengine na sio kusupport upuuzi.

Hapo kwa akili zako finyu kipengele gani kimeonyesha kumtoa unatumika ushirikina?

Rakims
 
Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa,
Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya uponyaji hapa nitakujuza mafanikio yake yanavyokuja na jinsi mganga au mchawi anavyomuandaa na kukuitia kisha akakukabidhi pamoja na masharti yake;

MTAMBUE

View attachment 2184009

Kwanza kabisa, unachotakiwa kufahamu ni jina lake maarufu anaitwa ALMLIYAH ALNAFEDHA

Huyu ni moja kati ya majini 72 waliowahi kuletwa mbele ya macho ya Nabii Suleiman (King solomon) kwa kupitia JINI MFALME FIQITUSH (Faktushi) ambaye nae Fiqitush alikamatwa na malaika wawili JIBRIL & MIKAIL (GABRIEL & MICHAEL) kwa amri ya mwenyezi Mungu baada ya kumletea pete ya utume kisha wakamkamatia jini huyu FIQITUSH ambaye nae akawa mtiifu kwa King Suleiman nae FIQITUSH ndio alikuwa mganga mkuu katika mataifa ya majini na akamuahidi kuwa atamletea majini wakuu kabisa kwa elimu yake na atawaambia wanapokaa uharibifu wao na nguvu zao na jinsi ya kuwatibu watu ambao watakuwa wamedhurika nao na jinsi ya kuwafunga pia na kuondoa maagano mbali mbali waliokuwa wameweka nao.

Kufupisha maelekezo;

Huyu Mfalme wa majini FIQITUSH katika majini 72 aliowaleta mbele ya mfalme Suleiman jini wa 60 ndio alikuwa huyu ALMLIYAH ALNAFEDHA maarufu kwa watu flani flani hapa Tanzania kama Jabar jini au nyamihela au jini pesa (yote majina ya tungo tu kuvutia wateja) wenye kuwataka, lakini koo zake pia huyu ni koo za kina MAIMUN au MAIMUNA katika utawala wa Aba Nukh Maimun mfalme mtawala wa siku ya Jumamosi na sayari ya zohari mwenye asili ya nyoka mweusi.

ENEO ANALOKAA
Makazi ya kiumbe hiki ni popote pale panapokuwa na kundi la kondoo ndio makazi jini huyu hupendelea kukaa nae hukaa karibu na viumbe hao pembeni ya miji na kwa wanaemmiliki humlisha kondoo unless akikosea masharti yake ndio huanza kudai fidia kubwa *********.

UKIKOSEA MASHARTI YAKE:
Asilimia 80 ya watu hukosea masharti yake ambapo huperekea kuanza kumletea madhara makubwa kama ***** watu, kuleta maradhi ya ukichaa na kumfanya mtu kuwa na kipanda uso cha uchizi,maumivu makali ya taya zote yasioponyeka na mapigo ya moyo kwenda mbio na kuanza kumfanya muhusika au yule aliyetolewa kafara kuanza kuwa kichaa ama taahira na kukosa tiba yake.

UKITAKA KUMFUKUZA:
Ikiwa unataka kumfukuza kwa usalama na bila kuleta matatizo ya ***** mtu au ndugu kwanza kabisa unatakiwa ukubali kupoteza mali aliyokuletea au kile alichokufanyia kwa makubaliano yenu. kisha upate majani ya croton na Majani ya Mpopoo kisha ule kwa siku 21 chakula kisicho na acid utakuwa unajifukiza na kunusa popoo na kila ukiwa unajifukiza na kunusa unachukua muhuri uliotumia kumuitia unaubinya na kumuamuru aondoke na asirudi tena na achukue vitu vyake kisha kila siku alichokupa yeye kitayayuka na kila siku atakuwa anakupa kitisho cha kuwa akiondoka unakufa ukibinya muhuri wake ambao umeandika kinyume anakuwa anapotea hakikisha pia unakuwa shingoni umevaa Muhuri wa Suleiman ule mkubwa kabisa kwenye pete kama kinga kisha wakati unatumia mpopoo na croton unakuwa unatumia na kombe ya majina ya siri ya Mungu kwa mbingu ya SITA.

UKITAKA KUMUITA NA MASHARTI YAKE:

Unaweza kuangalia kwenye video hii;

Rakims
Wacha niendelee kula kauzu kuliko mambo haya
 
Namuhitaji huyo kiumbe kam hutojali naomb mawasilian yako nje ya hapa
Rakims
 
TUKIWAAMBIA WATU KUWA WAISLAMU WANAPENDA SANA SHIRKI NA ULOZI TUNAONEKANA HATUPENDI UISLAM
Hizo ni fikra kama fikra nyingine,wilaya niliopo wakazi wake zaidi ya 96% sio waislam lakini shirk na ulonzi ni zaidi ya 98%,hii Dunia ina mengi tembea uone
 
dah
 
Mkuu vipi huyo Jini pesa anayokuletea huwa anatoa wapi? Na huo utajiri unaweza kufikia kiasi gani cha pesa?
Je ni kweli matajiri wengi ni walinzi?
Pia
Inasemekana kadili siku unavyozidi kupanda kwenye huo utajiri unaongezewa masharti hivi lengo huwa ni nn ushindwe akunyonye damu au?
Hakuna urafiki Kati ya mwanadamu na jini,ni kama ilivyo Hakuna urafiki Kati ya mwanadamu na mfugo,hata kama mfugo utapendwa vipi ikiwemo kulishwa vizuri mwisho ni kisu na kuliwa.
Kazi ya jini ni kuchinja na kuharibu,hata ukitoa kafara watu wako wote mwisho ni lazima akuue na achukue mali zake.

Fuga jini mwisho lazima utakuwa chakula cha jini
 
Sasa kama ulilijua hilo usingehangaika kuquote pumba kijana. Halafu nikupe faida moja elimu ya ulimwengu na dunia nzima kila mtu aliyonayo ni sawa na kuchovya kidole kwenye bahari ya maji tone linalodondoka ni sawa na elimu yako mtu mmoja sasa kabla hujaanza kujadili usiyoyajua tafakari ulimwengu una bahari ngapi na wewe elimu yako ni tone tu mangapi usio yajua?
Ni bora yule mwenye kusema sijui kuliko anaejifanya anajua hali ya kuwa hana ajualo. Tafuta hekima kwanza kisha uje kuanza kuquote hoja kwa hekima kwa faida ya wengine na sio kusupport upuuzi.

Hapo kwa akili zako finyu kipengele gani kimeonyesha kumtoa unatumika ushirikina?

Rakims
Mkuu mbona mkali hivyo? Hutaki watu wakuchllenge? Sawa, naomba nijifunze kitu kutoka kwako. Yesu unamjua kama nani? Je mamlaka yake kwenye ulimwengu wa Roho yapoje?
 
Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa,
Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya uponyaji hapa nitakujuza mafanikio yake yanavyokuja na jinsi mganga au mchawi anavyomuandaa na kukuitia kisha akakukabidhi pamoja na masharti yake;

MTAMBUE

View attachment 2184009

Kwanza kabisa, unachotakiwa kufahamu ni jina lake maarufu anaitwa ALMLIYAH ALNAFEDHA

Huyu ni moja kati ya majini 72 waliowahi kuletwa mbele ya macho ya Nabii Suleiman (King solomon) kwa kupitia JINI MFALME FIQITUSH (Faktushi) ambaye nae Fiqitush alikamatwa na malaika wawili JIBRIL & MIKAIL (GABRIEL & MICHAEL) kwa amri ya mwenyezi Mungu baada ya kumletea pete ya utume kisha wakamkamatia jini huyu FIQITUSH ambaye nae akawa mtiifu kwa King Suleiman nae FIQITUSH ndio alikuwa mganga mkuu katika mataifa ya majini na akamuahidi kuwa atamletea majini wakuu kabisa kwa elimu yake na atawaambia wanapokaa uharibifu wao na nguvu zao na jinsi ya kuwatibu watu ambao watakuwa wamedhurika nao na jinsi ya kuwafunga pia na kuondoa maagano mbali mbali waliokuwa wameweka nao.

Kufupisha maelekezo;

Huyu Mfalme wa majini FIQITUSH katika majini 72 aliowaleta mbele ya mfalme Suleiman jini wa 60 ndio alikuwa huyu ALMLIYAH ALNAFEDHA maarufu kwa watu flani flani hapa Tanzania kama Jabar jini au nyamihela au jini pesa (yote majina ya tungo tu kuvutia wateja) wenye kuwataka, lakini koo zake pia huyu ni koo za kina MAIMUN au MAIMUNA katika utawala wa Aba Nukh Maimun mfalme mtawala wa siku ya Jumamosi na sayari ya zohari mwenye asili ya nyoka mweusi.

ENEO ANALOKAA
Makazi ya kiumbe hiki ni popote pale panapokuwa na kundi la kondoo ndio makazi jini huyu hupendelea kukaa nae hukaa karibu na viumbe hao pembeni ya miji na kwa wanaemmiliki humlisha kondoo unless akikosea masharti yake ndio huanza kudai fidia kubwa *********.

UKIKOSEA MASHARTI YAKE:
Asilimia 80 ya watu hukosea masharti yake ambapo huperekea kuanza kumletea madhara makubwa kama ***** watu, kuleta maradhi ya ukichaa na kumfanya mtu kuwa na kipanda uso cha uchizi,maumivu makali ya taya zote yasioponyeka na mapigo ya moyo kwenda mbio na kuanza kumfanya muhusika au yule aliyetolewa kafara kuanza kuwa kichaa ama taahira na kukosa tiba yake.

UKITAKA KUMFUKUZA:
Ikiwa unataka kumfukuza kwa usalama na bila kuleta matatizo ya ***** mtu au ndugu kwanza kabisa unatakiwa ukubali kupoteza mali aliyokuletea au kile alichokufanyia kwa makubaliano yenu. kisha upate majani ya croton na Majani ya Mpopoo kisha ule kwa siku 21 chakula kisicho na acid utakuwa unajifukiza na kunusa popoo na kila ukiwa unajifukiza na kunusa unachukua muhuri uliotumia kumuitia unaubinya na kumuamuru aondoke na asirudi tena na achukue vitu vyake kisha kila siku alichokupa yeye kitayayuka na kila siku atakuwa anakupa kitisho cha kuwa akiondoka unakufa ukibinya muhuri wake ambao umeandika kinyume anakuwa anapotea hakikisha pia unakuwa shingoni umevaa Muhuri wa Suleiman ule mkubwa kabisa kwenye pete kama kinga kisha wakati unatumia mpopoo na croton unakuwa unatumia na kombe ya majina ya siri ya Mungu kwa mbingu ya SITA.

UKITAKA KUMUITA NA MASHARTI YAKE:

Unaweza kuangalia kwenye video hii;
Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
je ukumfukuza huyo shetani( jini) na nyumba au mashamba uliyojenga yanaenda wapi.
 
Hakuna urafiki Kati ya mwanadamu na jini,ni kama ilivyo Hakuna urafiki Kati ya mwanadamu na mfugo,hata kama mfugo utapendwa vipi ikiwemo kulishwa vizuri mwisho ni kisu na kuliwa.
Kazi ya jini ni kuchinja na kuharibu,hata ukitoa kafara watu wako wote mwisho ni lazima akuue na achukue mali zake.

Fuga jini mwisho lazima utakuwa chakula cha jini
🤣🤣🤣kweli
 
Sasa kama ulilijua hilo usingehangaika kuquote pumba kijana. Halafu nikupe faida moja elimu ya ulimwengu na dunia nzima kila mtu aliyonayo ni sawa na kuchovya kidole kwenye bahari ya maji tone linalodondoka ni sawa na elimu yako mtu mmoja sasa kabla hujaanza kujadili usiyoyajua tafakari ulimwengu una bahari ngapi na wewe elimu yako ni tone tu mangapi usio yajua?
Ni bora yule mwenye kusema sijui kuliko anaejifanya anajua hali ya kuwa hana ajualo. Tafuta hekima kwanza kisha uje kuanza kuquote hoja kwa hekima kwa faida ya wengine na sio kusupport upuuzi.

Hapo kwa akili zako finyu kipengele gani kimeonyesha kumtoa unatumika ushirikina?

Rakims
Waganga nyie mnakuwaga na mikwara sana🤣🤣
 
Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa,
Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya uponyaji hapa nitakujuza mafanikio yake yanavyokuja na jinsi mganga au mchawi anavyomuandaa na kukuitia kisha akakukabidhi pamoja na masharti yake;

MTAMBUE

View attachment 2184009

Kwanza kabisa, unachotakiwa kufahamu ni jina lake maarufu anaitwa ALMLIYAH ALNAFEDHA

Huyu ni moja kati ya majini 72 waliowahi kuletwa mbele ya macho ya Nabii Suleiman (King solomon) kwa kupitia JINI MFALME FIQITUSH (Faktushi) ambaye nae Fiqitush alikamatwa na malaika wawili JIBRIL & MIKAIL (GABRIEL & MICHAEL) kwa amri ya mwenyezi Mungu baada ya kumletea pete ya utume kisha wakamkamatia jini huyu FIQITUSH ambaye nae akawa mtiifu kwa King Suleiman nae FIQITUSH ndio alikuwa mganga mkuu katika mataifa ya majini na akamuahidi kuwa atamletea majini wakuu kabisa kwa elimu yake na atawaambia wanapokaa uharibifu wao na nguvu zao na jinsi ya kuwatibu watu ambao watakuwa wamedhurika nao na jinsi ya kuwafunga pia na kuondoa maagano mbali mbali waliokuwa wameweka nao.

Kufupisha maelekezo;

Huyu Mfalme wa majini FIQITUSH katika majini 72 aliowaleta mbele ya mfalme Suleiman jini wa 60 ndio alikuwa huyu ALMLIYAH ALNAFEDHA maarufu kwa watu flani flani hapa Tanzania kama Jabar jini au nyamihela au jini pesa (yote majina ya tungo tu kuvutia wateja) wenye kuwataka, lakini koo zake pia huyu ni koo za kina MAIMUN au MAIMUNA katika utawala wa Aba Nukh Maimun mfalme mtawala wa siku ya Jumamosi na sayari ya zohari mwenye asili ya nyoka mweusi.

ENEO ANALOKAA
Makazi ya kiumbe hiki ni popote pale panapokuwa na kundi la kondoo ndio makazi jini huyu hupendelea kukaa nae hukaa karibu na viumbe hao pembeni ya miji na kwa wanaemmiliki humlisha kondoo unless akikosea masharti yake ndio huanza kudai fidia kubwa *********.

UKIKOSEA MASHARTI YAKE:
Asilimia 80 ya watu hukosea masharti yake ambapo huperekea kuanza kumletea madhara makubwa kama ***** watu, kuleta maradhi ya ukichaa na kumfanya mtu kuwa na kipanda uso cha uchizi,maumivu makali ya taya zote yasioponyeka na mapigo ya moyo kwenda mbio na kuanza kumfanya muhusika au yule aliyetolewa kafara kuanza kuwa kichaa ama taahira na kukosa tiba yake.

UKITAKA KUMFUKUZA:
Ikiwa unataka kumfukuza kwa usalama na bila kuleta matatizo ya ***** mtu au ndugu kwanza kabisa unatakiwa ukubali kupoteza mali aliyokuletea au kile alichokufanyia kwa makubaliano yenu. kisha upate majani ya croton na Majani ya Mpopoo kisha ule kwa siku 21 chakula kisicho na acid utakuwa unajifukiza na kunusa popoo na kila ukiwa unajifukiza na kunusa unachukua muhuri uliotumia kumuitia unaubinya na kumuamuru aondoke na asirudi tena na achukue vitu vyake kisha kila siku alichokupa yeye kitayayuka na kila siku atakuwa anakupa kitisho cha kuwa akiondoka unakufa ukibinya muhuri wake ambao umeandika kinyume anakuwa anapotea hakikisha pia unakuwa shingoni umevaa Muhuri wa Suleiman ule mkubwa kabisa kwenye pete kama kinga kisha wakati unatumia mpopoo na croton unakuwa unatumia na kombe ya majina ya siri ya Mungu kwa mbingu ya SITA.

UKITAKA KUMUITA NA MASHARTI YAKE:

Unaweza kuangalia kwenye video hii;
Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims

Hekaya za Abunuwas.
 
Hakuna hela ya namna hii duniani , cha kushangaza ni wewe mwenywe baada kupeleka hela zako kwa mganga unaanza kujituma kwa bidii na kuona mabadiliko lakini kwa ulozi ulivyokujaa kichwani unadhani unaendelea kwa hirizi na majini

Masharti yenyewe ya mganga atakwambia uanze biashara au shughuli zako saa 11 asubuhi, uache ulevi na uzinzi na uongeze bidii na kujituma, sasa haya ni masharti au ndio ukweli wenyewe ungeufuta mwenyewe bila kuliwa hela na hao waganga
 
Back
Top Bottom