Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

Mkuu vipi huyo Jini pesa anayokuletea huwa anatoa wapi? Na huo utajiri unaweza kufikia kiasi gani cha pesa?
Je ni kweli matajiri wengi ni walinzi?
Pia
Inasemekana kadili siku unavyozidi kupanda kwenye huo utajiri unaongezewa masharti hivi lengo huwa ni nn ushindwe akunyonye damu au?
 
Katika falme za majini pesa ni kitu kidogo ni sawa na wewe kumiliki mchanga. Kwa kiasi ambacho hadi utakaposhindwa kadri unavyotaka ndivyo unavyopewa.
Sijaelewa unaposema matajiri wengi walinzi unamaanisha nini?

Ndio kadri inavyopanda ndivyo masharti yanazidi kukuwa hadi utakaposhindwa hivyo zipo katika form ya ushindani.
 
Rakims please sana mkuu. Ukipenda tupe elimu juu ya nyoka fulani aitwae tia. Ktk matumizi ya kuvutia pesa na mazao. Na uhusiano wake na vile vitu vinapita juu na kumulika vikipita kwa kasi na kupotea.
 
Kumbe wewe jamaa ni mganga?
 
Kumbe wewe jamaa ni mganga?
Sio mganga sema mchawi kama alivyojieleza ulipo mnukuu.

Kamwe hakuna Jini anaye weza kukusaidia bila kukutia katika mtego mzito wa mauti.

Majini ni Malaika wa Ibirisi Shetani Rusifer. Lengo lao ni kumwangamiza Binadamu kwa namna yoyote ile sababu tu wao wametengwa na kulaaniwa na Mungu, na Binadamu ameruhusiwa kuchota baraka za Mungu na mwisho kuishi Mbinguni.

Hizo pesa Kichele atakazo kutamanisha ni kwaa ajiri moja tu, akutie katika mauti au kifo na amiliki Roho yako.

Huyo Mtoa mada na Agent wa Ibirisi Shetani Rusifa na Malaika zake Majini.

Hapa yupo kumuwakilisha Shetani, na Ufalme wa Giza.

Ona anavyo watamanisha masikini wa fikra hizo pesa za malipo ya damu na Kafara. Na kamwe hataji maagano hatari mtakayo ingia wala madhara yake.

Mpuuzeni huyo Mchawi.
 
Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yake
 
Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yake
Hizo mali ni sawa na Chambo ya kumvua Samaki.

Jini hana mipango mizuri kwa Binadamu hata siku moja.

La sivyo mngewaona Majini wakisaidia Yatima bila masharti au kujenga huduma za jamii Binadamu kama Shule, Hospitari, barabara nk.

Jini yeyote ni Adui wa Binadamu. Hata huyu Mshirikina anae yatumikia ni kwamba yanamtesa kila kukicha na mwisho yatamtoa Roho yake na kumpeleka Kuzimu na baadae Motoni.
 
Hivi umesoma thread nzima na kujua nazungumzia nini au umequote kulingana na kichwa cha habari. em acha kuquote upuuzi kabla hujasoma mada husika na kuielewa watakupuuza wewe usiyejua ulichoquote em mtu mwenye akili timamu asome thread na kumuelewesha huyu mtoto kaiba simu ya mama yake na kusoma kichwa cha habari kisha kuquote. umesoma mwanzo hadi mwisho?
Em tikisa kwanza kichwa chako kina nini mchanga au?
 
Kweli mkuu ninachoshangaa ni vile watu wanashupalia mali kama hizo ambazo hazina hata baraka ndania yake
Nilijua ni mmoja kumbe mpo wawili? au ni mtu mmoja ana username mbili?
This is Jamii intelligence watoto wazuri mmekosea njia get back on chit chat there are babies there you can help them to change their dippers
 
Nilijua ni mmoja kumbe mpo wawili? au ni mtu mmoja ana username mbili?
This is Jamii intelligence watoto wazuri mmekosea njia get back on chit chat there are babies there you can help them to change their dippers
Elimi kama hizi wanazo waganga pekee yaani unajuaje namna ya kumfuga ? Hata njia uliyoionesha ya kumtoa ni ya kishirikina .

Ila all in all kila mtu anachagua atakavyoishi kula bata mkuu na wakina maimuna hao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…