Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

Hizi ajira zetu dah ukiikosa jua ndoa imeisha tayari ni mwendo wa vibweka tu
Ukitaka kuishi kwa amani na kwa mafanikio makubwa usiishi ili umfurahishe binadamu mwenzako. Ishi kulingana na uwezo wako
Tangu nimeanza kuishi kwa hii kanuni imenisaidia sana pakubwa. Mwanamke hata kama aseme hanitaki, huwa naachana naye.
 
Unamnyanyasa mmeo kisa kayumba kiuchumi, kesho nawe akirudi kwenye peak utaweka wapi aibu yako. Thus wengine wakirudi peak uamua kuoa mtu mwingine.
Shida ya wanawake wao saikolojia yao inagoma up and down, ukiyumba wao uamini utosimama tena, thus wengi waliwakataa wanaume waliowapenda kisa uchumi wakajajuta mbeleni baada ya kukutana na waliowakataa wakiwa juu mara tatu nyuma.
 
Sio wote ndugu Rasterman... vipi watanzania wenye asili za kiarabu au kihindi waliopo nchini?! Si ndo ndoa zao za kuoana mabikra?! Hawa wetu ni magumegume tu.. yaan waafrika bana yaan kila kitu hovyo 😅😅🙌🏾
Hapa nilipo naishi na Waarabu na wahindi kuliko Race nyingine. I know what iam talking. Pia kazi yangu ni yakukutana na jamii kwenye family level so naelewa sana mambo haya
 
Mimi naona mumuache bwana Denis na ndoa yake..vikimzidia ataachia mwenyewe na hamtakaa muamini..mapenzi hayo ..shauri zenu.
 
Ukitaka kuishi kwa amani na kwa mafanikio makubwa usiishi ili umfurahishe binadamu mwenzako. Ishi kulingana na uweze wako
Tangu nimeanza kuishi kwa hii kanuni imenisaidia sana pakubwa. Mwanamke hata kama aseme hanitaki, huwa naachana naye.

Kabisa yani kuna wakati mpka unajiona dunia mwenye furaha ya kweli ni wewe tu wala hakuna mwingi
 
Bora uoe ukiwa huna hela tu mwanamke ajue mmependana hivyo hivyo Mungu akijalia mtawini.

Ila kuokota haya ma slay queen anataka ahudumiwe kuanzia akiamka na mswaki hadi mda anakung'uta miguu kupanda kitandani ni kujitaftia presha ya moyo tu.
😂😂😂😂😂😂
Mkiwini mnatusahau ma kuanza manyanyaso. Hivyo mzitafute na muhakikishe hamuishiwi.
 
Hapa nilipo naishi na Waarabu na wahindi kuliko Race nyingine. I know what iam talking. Pia kazi yangu ni yakukutana na jamii kwenye family level so naelewa sana mambo haya
Sasa kwahiyo bwana Rasterman unataka kuniambia/kutuambia wale/hao jamaa wanaooana bikra wanakuwaga na quarrels za hovyo namna hii kwenye ndoa zao kama sisi?!
 
Zinaweza zisiwe kama hizi exactly lakini zinaendana.

Wasichana wa siku hizi akikupa Bikra na umemuoa utajuta.

Siku ya kwanza tu kumwingilia Familia yoote , ukweni na ujombani watajua. Na atahakikisha wanajua huku asijue anakudhalilisha.

Honeymoon inakuwa chungu. Nadhani ni zile akili za kitoto.

Wakati huo huo wanapofumuliwa na wahuni Mitaani na wanazichana chana hizo bikra wanakaa kimya. Ila ukimuoa kwanza atalazwa akijifanya anaumia sana. Utapoteza muda, pesa na mood kuuguza mtu uliyemchana bikra.
 
Kwakweli sijui unaongelea watu wa jamii gani exactly... hao wenzetu kuoana bikra ni jadi yao. Na sijawahi kusikia wakishatoana bikra shughuli huwa nzito namna hiyo... anyways hiyo ni siri yao na ku-expose kwa watu sijui na sidhani kama ni akili ya sawasawa au ni ethics bora za malezi yao au malezi sahihi kidini.

Wana quarells ila sio kama zetu za hovyo. Wenzetu hata wafulie hawafulii kama sisi na ni watu wa kuinuana sana!... vilevile pia hawafikii hatua za kuleteana visa namna hii kama sisi... wale ni watu wa ("Insha'Allah") Kinachotugharimu ni malezi na tamaduni zetu mbovu nafkiri
 
Kiasi fulani uko sahihi. Kwa upande wao mwanamke ni ni more than a slave.
Tuishie hapo
 
Najua mkuu! Nilikuwa na watu wa design hiyo, nimesoma nao... i mean nimesoma mashule ya watu wa race hiyo, baadhi yao walikuwa marafiki zangu na kuna watu tuko in-touch na mademu zangu walikuwa watu wa design hiyo na mpaka GF wangu sasa ni wa race hiyo na ananieleza mengi sana! Nawaelewa hao watu. Hata elimu kwa mtoto wa kike kwa baadhi ya familia ni mwiko! Lakini tukienda kwenye maswala ya ndoa migogoro ipo ila sisi waswahili tumezidi 😅🙌🏾

Nafkiri swala la udini huwafanya vijana wao na binti zao kutulia na ku-focus zaidi kwenye ndoa pia kuwa na uvumilivu uliokithiri!👌🏾
 
Back
Top Bottom