SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Tuzichakate tu wazae kila mtu akae mbali Kama Putin. Au drakeKumbe kuoa kijijini nako tabu tupu. Nitatoa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzichakate tu wazae kila mtu akae mbali Kama Putin. Au drakeKumbe kuoa kijijini nako tabu tupu. Nitatoa kweli?
Alafu mbaya zaidi na mwili anapungua, rafiki wameshajua kuwa jamaa yuko kwenye stresses nzito naye anakiri kabisa kuwa ni Mambo ya kifamilia alafu hachukui hatua. Binafsi rafiki wa design hiyo itafikia kipindi ataona kama namtenga maana hafuati ushauri utakaompa AHUENI katika maswahibu yake zaidi yakunipa stresses na mimi kuona rafiki yangu anateseka alafu no kichwa maji.Vitu vingine vinatia sana hasira. Haiwezekani mtu ukubali kustressika kwa jambo lenye suluhu. Ukipenda usipopendwa waachie wanaopendwa mkuu.
Oh sikuliona hilo swali mkuu, nakiri nimekurupuka kwakufikiria vingine.Elewa swali bro
Sawa. Ila hapa tunaongelea wanaume.Lakin kuna wanawake pia wanashinda kuondoka kisa watoto, ana pigwa kila siku matukio mengi ila anakwambia nikiondoka wanangu itakuaje?
🤣🤣🤣Hizi ajira zetu dah ukiikosa jua ndoa imeisha tayari ni mwendo wa vibweka tu
Swadakta,Huyo jamaa yako itakua bado mgeni humu duniani, mwache anyooshwe kwanza.
Fulia ujue tabia za mkeo.Au alikuwa anamnyanyasa huyo mke wakati akiwa na hela? Ni ngumu from nowhere tu mke amtelekeze na kuondoka na watoto
Bora uoe ukiwa huna hela tu mwanamke ajue mmependana hivyo hivyo Mungu akijalia mtawini.🤣🤣🤣
Kwahiyo nini kifanyike?
Nakazia🤣Nnachojua mimi mapenzi ni ya wawili tu, wawili yani....wapendane wagombane wavurugane hata waachane ila hayo yote ni ya wawili tena usijichanganye kutoa ushauri wa kuachana usithubutu. Wakichokana wataachana wenyewe Denis asishauriwe chochote
Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo oysterbay, miaka mitano iliyopita alikua mkoani iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound then akaileta mjini. Vijijini huko mahari elf 50 hakuna send off hakuna baby shower.
Kama Zubeda wa profesa jay, akiona mtu kwenye tv ana muamkia. sasa wakawa blessed na one issue, a girl child. sasa siku zote hizo Denis hakuwai kujua kama Zubeda hakua akimpenda kiviilee au labda mahusiano yao nayo yalikuta kimradi mradi na wamekaa siku mbili za uchumba alaf siku ya tatu ndoa then dar, but wanawake wanajifunza kupenda tu sio? Okei, sekeseke likaanza mwaka jana hapo baada ya denis kusimamishwa kazi ubalozini.
tukaanza kukomaa na ndugu yetu kwenye maswala ya kisheria kuakikisha ubalozi unatema kibunda cha kutosha maana walizingua mbaya kumsimamisha kazi kinyume na, lakin jamaa wale miezi miwili baadae wakamtimua jumla jumla, then sie na ndugu yetu tukaamua kwenda kwenye vyombo vya haki.
Sasa kila tukikutana ndugu yetu anazidi kua mwembamba kama nondo, inabidi tuulizane ebhana braza shida nini? au madusko yamekata? tunajua kufukuzwa kazi sio mwisho wa maisha lakin pia utapata kazi nyingine na bado vyombo vya haki vitakupa compasation nzuri tu relax kamanda, yeye ana sema shida sio hio ila matatizo ya kifamilia tu.
Basi ikabidi atuweke wazi kwamba, amegundua jambo moja linalomtesa sana roho, kwamba wakati huu ambao hana kitu mkewe ameonesha kucha zake zote, na mke amemtamkia wazi kwamba "yeye mke hajawai kumpenda kabisa kabisa, na alikua anamvumilia tu na kwakua alikua hajayajua bado maisha, so haoni akiwa na furaha naye, na siku zote alijilazimisha kumpenda ila alijiona kabisa hafit."
bwana Denis anasema wakati yupo ubalozin alimfungulia mke wake kibiashara, then ndicho icho kinacho wasapoti leo kula na kulipa lipa kodi, lakin mke anadai kwamba hana mzuka wowote kukaa na mwanaume aina yake na miezi miwili sasa imepita mke hataki kuguswa ata tako tu na bwana dennis, na alishasema hatokuja kuliwa tena na dennis na kwa sasa anatafta zake chumba ahame zake yeye na mwanae.
ndugu yetu anasema, mke kanoga mno, alaf kajichubua ni mweupe kuanzia kichwa hadi tako, na mara nyingi ana kua uchi mbele yale kujivalisha kwenda kazini, ndugu yetu anakula kwa macho tu na kwakua sasa mke ndo provider basi yeye ndio amiri jeshi mkuu wa familia. Ndugu yetu anasema usiku mke akiwa kalala anaanza kulalamika kwenye ndoto kwamba "baby sio hukoo usiende hukoo ni hapa hapa tu, mie sijawai kufanyiwa huko", anasema hio siku alistuka sana akawaza ina maana kuna wahuni washampigia mke wake kwenye ule mtandao mwingine au vp? anaomba ardhi kupasuka sasa, cha ajab anajiona upendo ukizidi yaan ni kila siku anampenda upya mke wake ambae sasa sio muaminifu na tayari ana ma bwana wengine.
Ndugu zake sie bila hiyana tukampa ushauri ampige chini uyo mwanamke aanze moja, yeye anasema ilo jambo haliwezekani kwa sababu mtoto wake ata teseka sana, ni anatumia excuse ya mtoto ku justify, na anasema mtoto wake ndio anaembakiza hapo yuko radhi kufanya lolote ila abakie yeye na mkewe na uyo mtoto wake, anasema mke wangu ata kama anani cheat ila kuna siku ataujua ukweli na atatulia tu kwenye ndoa so yeye yuko tayari kuvumilia kwa lolote lile ila sio kuachana na baby mama wake ili mtoto wao asiteseke.
So you can call him whatsoever and all things you can name it but hawezi kuachana na mke wake ili kesho mtoto wake ateseke. So poleni sana vijana mnao vumilia kisa watoto, ama kwa hakika mtakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere, na matoto yakishakua ma mtu mazima wala hayata wakumbuka yatakua bize yakilewa na wapenzi wao.
NAKAZIA HAPA...Bora uoe ukiwa huna hela tu mwanamke ajue mmependana hivyo hivyo Mungu akijalia mtawini.
Ila kuokota haya ma slay queen anataka ahudumiwe kuanzia akiamka na mswaki hadi mda anakung'uta miguu kupanda kitandani ni kujitaftia presha ya moyo tu.
Siku zikikata ndio utajua hujui🤣NAKAZIA HAPA...