Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo oysterbay, miaka mitano iliyopita alikua mkoani iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound then akaileta mjini. Vijijini huko mahari elf 50 hakuna send off hakuna baby shower.

Kama Zubeda wa profesa jay, akiona mtu kwenye tv ana muamkia. sasa wakawa blessed na one issue, a girl child. sasa siku zote hizo Denis hakuwai kujua kama Zubeda hakua akimpenda kiviilee au labda mahusiano yao nayo yalikuta kimradi mradi na wamekaa siku mbili za uchumba alaf siku ya tatu ndoa then dar, but wanawake wanajifunza kupenda tu sio? Okei, sekeseke likaanza mwaka jana hapo baada ya denis kusimamishwa kazi ubalozini.

tukaanza kukomaa na ndugu yetu kwenye maswala ya kisheria kuakikisha ubalozi unatema kibunda cha kutosha maana walizingua mbaya kumsimamisha kazi kinyume na, lakin jamaa wale miezi miwili baadae wakamtimua jumla jumla, then sie na ndugu yetu tukaamua kwenda kwenye vyombo vya haki.

Sasa kila tukikutana ndugu yetu anazidi kua mwembamba kama nondo, inabidi tuulizane ebhana braza shida nini? au madusko yamekata? tunajua kufukuzwa kazi sio mwisho wa maisha lakin pia utapata kazi nyingine na bado vyombo vya haki vitakupa compasation nzuri tu relax kamanda, yeye ana sema shida sio hio ila matatizo ya kifamilia tu.

Basi ikabidi atuweke wazi kwamba, amegundua jambo moja linalomtesa sana roho, kwamba wakati huu ambao hana kitu mkewe ameonesha kucha zake zote, na mke amemtamkia wazi kwamba "yeye mke hajawai kumpenda kabisa kabisa, na alikua anamvumilia tu na kwakua alikua hajayajua bado maisha, so haoni akiwa na furaha naye, na siku zote alijilazimisha kumpenda ila alijiona kabisa hafit."

bwana Denis anasema wakati yupo ubalozin alimfungulia mke wake kibiashara, then ndicho icho kinacho wasapoti leo kula na kulipa lipa kodi, lakin mke anadai kwamba hana mzuka wowote kukaa na mwanaume aina yake na miezi miwili sasa imepita mke hataki kuguswa ata tako tu na bwana dennis, na alishasema hatokuja kuliwa tena na dennis na kwa sasa anatafta zake chumba ahame zake yeye na mwanae.

ndugu yetu anasema, mke kanoga mno, alaf kajichubua ni mweupe kuanzia kichwa hadi tako, na mara nyingi ana kua uchi mbele yale kujivalisha kwenda kazini, ndugu yetu anakula kwa macho tu na kwakua sasa mke ndo provider basi yeye ndio amiri jeshi mkuu wa familia. Ndugu yetu anasema usiku mke akiwa kalala anaanza kulalamika kwenye ndoto kwamba "baby sio hukoo usiende hukoo ni hapa hapa tu, mie sijawai kufanyiwa huko", anasema hio siku alistuka sana akawaza ina maana kuna wahuni washampigia mke wake kwenye ule mtandao mwingine au vp? anaomba ardhi kupasuka sasa, cha ajab anajiona upendo ukizidi yaan ni kila siku anampenda upya mke wake ambae sasa sio muaminifu na tayari ana ma bwana wengine.

Ndugu zake sie bila hiyana tukampa ushauri ampige chini uyo mwanamke aanze moja, yeye anasema ilo jambo haliwezekani kwa sababu mtoto wake ata teseka sana, ni anatumia excuse ya mtoto ku justify, na anasema mtoto wake ndio anaembakiza hapo yuko radhi kufanya lolote ila abakie yeye na mkewe na uyo mtoto wake, anasema mke wangu ata kama anani cheat ila kuna siku ataujua ukweli na atatulia tu kwenye ndoa so yeye yuko tayari kuvumilia kwa lolote lile ila sio kuachana na baby mama wake ili mtoto wao asiteseke.

So you can call him whatsoever and all things you can name it but hawezi kuachana na mke wake ili kesho mtoto wake ateseke. So poleni sana vijana mnao vumilia kisa watoto, ama kwa hakika mtakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere, na matoto yakishakua ma mtu mazima wala hayata wakumbuka yatakua bize yakilewa na wapenzi wao.
Ww Ni illuminati au freemason 666 chat tueleze
 
Maelezo ni mengi, kama kuna spelling errors shauri yenu, sisi hatuna cha part one au part two soma sijui peji ya ngapi? Hapana, ni tuna shusha uzi wote soma usisome shauri yako.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana kuna watu wanajikuta wajuaji sana humu,eti "uandishi mbovu" unanilipa?, Kama huwez kusoma thread acha
 
Mtu mwenye nuksi me/ke ukioana nae tu kipimo utakiona kwenye kuvurugika kwa mambo yako. Kipato lazima kipungue, mwenye baraka au kibali mkioana masikini utashangaa mambo yako KILA ufanyalo linatiki tu.
Hakika
 
Shida na raha hii slogan ni ya kwenye harusi pekee na sio applicable in real life. Shida ni ya mwanaume raha ni ya wote.
Anaeweza kukupenda nyakati za shida ni mama YAKO mzazi na Jesus pekee, waliobaki kama awafaidiki nawe sahau.
Shida ni ya mwanaume raha ni ya wote. Daaaaah
 
Shida na raha hii slogan ni ya kwenye harusi pekee na sio applicable in real life. Shida ni ya mwanaume raha ni ya wote.
Anaeweza kukupenda nyakati za shida ni mama YAKO mzazi na Jesus pekee, waliobaki kama awafaidiki nawe sahau.
Hakika na ndo tujifunze sasa
 
Jamaa yangu kibarua kiliota anaumwa figo kasusiwa nyumba hata wa kumchotea maji hana ndani jumba kubwa anaishi mwenyewe na njaa mke kabeba watoto kakimbia.
Shida ni ya kwako raha kwa wote.
Aisee ni kweli raha ya wote
 
Fa
Familia mpya bila pesa itawezekana.
Anauza nyumba yake arudi kijijini asubirie kifo hana wa kumuuguza mama yake alishafariki, mke angekuwa faraja lakini ndio hivyo shida na raha uishia ukumbini.
Au alikuwa anamnyanyasa huyo mke wakati akiwa na hela? Ni ngumu from nowhere tu mke amtelekeze na kuondoka na watoto
 
Nimemuuliza mtoa mada si ww
Kwajinsi alivyohadithia sidhani Kama anaweza kuwa ni yeye coz in some of his own words naye ameonesha kukasirishwa I mean kutoafikiana na msimamo wa jamaa Denis, Ila ndo hivyo Denis ameshaamua kuwa hamuachi mwanamke wake for the sake of his son.
 
Kwajinsi alivyohadithia sidhani Kama anaweza kuwa ni yeye coz in some of his own words naye ameonesha kukasirishwa I mean kutoafikiana na msimamo wa jamaa Denis, Ila ndo hivyo Denis ameshaamua kuwa hamuachi mwanamke wake for the sake of his son.
Elewa swali bro
Ww Ni illuminati au freemason 666 chat tueleze
 
Back
Top Bottom