Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaopenda kuoa vitoto vidogo kisa vina Bikra 90% wamekula msoto sana.Basi ikabidi atuweke wazi kwamba, amegundua jambo moja linalomtesa sana roho, kwamba wakati huu ambao hana kitu mkewe ameonesha kucha zake zote, na mke amemtamkia wazi kwamba "yeye mke hajawai kumpenda kabisa kabisa, na alikua anamvumilia tu na kwakua alikua hajayajua bado maisha, so haoni akiwa na furaha naye, na siku zote alijilazimisha kumpenda ila alijiona kabisa hafit."
Inasikitisha sanaAiseee kila nikiona visa vya namna hii.. mzuka wa kuoa unakata.. yaaaani hata ule wa mahusiano unaisha..
inasikitisha sana.
Wanawake wa vijijini ni wahuni na wwchepukaji wazuri. Watu wanajidanganya eti vijijini Kuna wanawake wenye tabia njema! Kule wanafumuana wenyewe kwa wenyewe wakiwa shule ya msingi darasa la tano, bodaboda nao wanapita! Wazee wenye vipesa wanapita. Nyumbani wazazi nao wanachepuka! Starehe ya Vijijini Ni ngono! Ukijumlisha umaskini,malezi yasiyo tight,...... ulimbukeni nao upo!Kumbe kuoa kijijini nako tabu tupu. Nitatoa kweli?
We kweli pilipili "KICHAA" 😅👍🏾Si amuue tu wakose wote?
Marafiki wa aina hiyo wanakwaza sana kaka. Huwezi amini jamaa mwishoni sana ndio atakuja kuamua kumuacha huyo mwanamke. Na hapo atakuwa ameshateseka sana. Moja kati ya sababu nilizogundua ni kuwa watu ni waoga kufanya baadhi ya maamuzi (huku wakitumia visingizio kadhaa ikiwemo watoto) kama njia ya kuhalalisha makosa na hofu zao. Mtu anaejipenda haswa lazima ajue kipimo cha furaha na huzuni yake. Kama unajipenda ipasavyo huwezi kujiumiza.Alafu mbaya zaidi na mwili anapungua, rafiki wameshajua kuwa jamaa yuko kwenye stresses nzito naye anakiri kabisa kuwa ni Mambo ya kifamilia alafu hachukui hatua. Binafsi rafiki wa design hiyo itafikia kipindi ataona kama namtenga maana hafuati ushauri utakaompa AHUENI katika maswahibu yake zaidi yakunipa stresses na mimi kuona rafiki yangu anateseka alafu no kichwa maji.
Marafiki wa aina hiyo wanakwaza sana ndugu. Huwezi amini jamaa mwishoni sana ndio atakuja kuamua kumuacha huyo mwanamke. Na hapo atakuwa ameshateseka sana. Moja kati ya sababu nilizogundua ni kuwa watu ni waoga kufanya baadhi ya maamuzi (huku wakitumia visingizio kadhaa ikiwemo watoto) kama njia ya kuhalalisha makosa na hofu zao. Mtu anaejipenda haswa lazima ajue kipimo cha furaha na huzuni yake. Kama unajipenda ipasavyo huwezi kujiumiza.
Mungu akubariki kamanda! 👊🏾Bora uoe ukiwa huna hela tu mwanamke ajue mmependana hivyo hivyo Mungu akijalia mtawini.
Ila kuokota haya ma slay queen anataka ahudumiwe kuanzia akiamka na mswaki hadi mda anakung'uta miguu kupanda kitandani ni kujitaftia presha ya moyo tu.
Yapi hayo ndugu Showmax?! 😃Haya mambo utokea kwa yeyeto tu hayana cha kukosea kuoa au kupatia kuoa. Maisha ya ndoa hayana formula jinsi ya kuishi ila mwanzilishi wa taasisi ya ndoa aliweka misingi mitatu Ili ndoa idumu
Sio wote ndugu Rasterman... vipi watanzania wenye asili za kiarabu au kihindi waliopo nchini?! Si ndo ndoa zao za kuoana mabikra?! Hawa wetu ni magumegume tu.. yaan waafrika bana yaan kila kitu hovyo 😅😅🙌🏾Wanaopenda kuoa vitoto vidogo kisa vina Bikra 90% wamekula msoto sana.
Maana unamuoa mtu then unageuka kuwa baba yake. Akipata mimba tu mpaka azae utakoma.
Yaani wanawake wanajua akikupa Bikra yake basi utaisotea maisha yako yoote
We kama una-promote biashara yako ya uganga usiende kuwatapeli hao mabwana ukamzidishia matatizo ndugu yetu Denis akajifia na sonona... 😂👍🏾Mwanamume unatakiwa kuwa na Roho ya jiwe .Ni pm tumsolvie tatizo lake,mwanamke mwenyewe Ana jini mahaba na hapo ndipo matatizo ya jamaa yanaanzia,Kama akimfukuza huyo mwanamke mbo yake yananyooka
Sifanyi uganga Mimi tuheshimianeWe kama una-promote biashara yako ya uganga usiende kuwatapeli hao mabwana ukamzidishia matatizo ndugu yetu Denis akajifia na sonona... 😂👍🏾
Vipi ramli?! 🤔Sifanyi uganga Mimi tuheshimiane