Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !!
Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters.
Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao yake.
Shida yake ilikua ni kuondoka na pesa yake akale bata ulaya.
Jamaa huyu alivyoona tiketi ya ndege tayari anayo na hata iweje hawezi kupata hela zake kwa muda huo uliobaki na hata akiondoka hana mpango wa kurudi bongo, aliamua kufanya jambo gumu balaa.
Alimfata mdada mmoja hivi NSSF "Dada hivi ukiacha yotee, kama leo ningekua mnanipa Mafao yangu mngenipa kiasi gani?"
Dada akajibu "Mil 11..!!"
Jamaa akajibu "asante"
Kumbe mwamba alikua na mpango wake.
Jamaa aliingia benki akachukua mkopo na kusepa ulaya.
Huku nyuma ofisini aliacha barua ya kuacha Kazi masaa 24..!!
Na alituma barua kueleza kuwa Mafao yake wapewe benki.
Yaani mwamba baada ya kuona hapati hela zake NSSSF, aliamua kuingia benki, kuchukua form na kupeleka kwa utumishi na mengine yotee yakafata na pesa ya mkopo ikaingia.
Mwamba aliandika barua na kuacha mezani na kesho yake akapanda ndege ulayaaaa.
Masela Kufatilia vizuri ili wampongeze, kumbe mwamba huko ulaya alipata mpaka connections za dili.
Maana huku bongo alikua na kiwanja mjini alijenga msingi aliuza, alikua na kibanda cha biashara stendi akauza na gheto lotee kauza.
Aliuza mali zake zotee za TZ.
Mpaka Gheto aliuza, maana siku ile iliyofuata baada ya ile barua watumishi wenzake walimfatilia gheto wakakuta lipo empty.
Inaonyesha hata siku ile aliyosepa hakulala gheto..!!!
Mpaka navyoandika hapa yupo huko na kaunga PhD.
Ye anapost tu FB jinsi anavyokula bata na wadhungu..!!
JASHO LA MTU HALILIWI.
TAKE CARE.
#YNWA