Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !!

Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters.

Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao yake.

Shida yake ilikua ni kuondoka na pesa yake akale bata ulaya.

Jamaa huyu alivyoona tiketi ya ndege tayari anayo na hata iweje hawezi kupata hela zake kwa muda huo uliobaki na hata akiondoka hana mpango wa kurudi bongo, aliamua kufanya jambo gumu balaa.

Alimfata mdada mmoja hivi NSSF "Dada hivi ukiacha yotee, kama leo ningekua mnanipa Mafao yangu mngenipa kiasi gani?"

Dada akajibu "Mil 11..!!"

Jamaa akajibu "asante"

Kumbe mwamba alikua na mpango wake.

Jamaa aliingia benki akachukua mkopo na kusepa ulaya.

Huku nyuma ofisini aliacha barua ya kuacha Kazi masaa 24..!!

Na alituma barua kueleza kuwa Mafao yake wapewe benki.

Yaani mwamba baada ya kuona hapati hela zake NSSSF, aliamua kuingia benki, kuchukua form na kupeleka kwa utumishi na mengine yotee yakafata na pesa ya mkopo ikaingia.

Mwamba aliandika barua na kuacha mezani na kesho yake akapanda ndege ulayaaaa.

Masela Kufatilia vizuri ili wampongeze, kumbe mwamba huko ulaya alipata mpaka connections za dili.

Maana huku bongo alikua na kiwanja mjini alijenga msingi aliuza, alikua na kibanda cha biashara stendi akauza na gheto lotee kauza.

Aliuza mali zake zotee za TZ.

Mpaka Gheto aliuza, maana siku ile iliyofuata baada ya ile barua watumishi wenzake walimfatilia gheto wakakuta lipo empty.

Inaonyesha hata siku ile aliyosepa hakulala gheto..!!!

Mpaka navyoandika hapa yupo huko na kaunga PhD.

Ye anapost tu FB jinsi anavyokula bata na wadhungu..!!

JASHO LA MTU HALILIWI.

TAKE CARE.

#YNWA
Umesha wahi kusikia wapi mtumishi wa Halmashauri analipwa na Shirika ulilotaja?
 
Huyo Ni fala sababu mkopo wa Benki una bima incase akifa au akiacha kazi Benki hairuhusiwi kuchukua kiinua mgongo chake sababu wanalipwa na bima.

Kwa hiyo Benki hawatachukua hela Yale huko NSSF kamwe.

Akirudi akachukue hela yake. Mimi nilikaa miaka 8 ndo nikaenda nikakuta pesa yangu ipo tu.
 
Hahahahahah ni kucheza na System tu kwa sasa. Unakopa unaingia mitini ukiingia uzee unaenda kuchukua chako mapema.
 
Maandishi hayafutiki yeye akae hata miaka 100
 
Visa ya kusoma anataka na kuzamia?? Ni ngumu, muulize tena.

Pia kwa watumishi wanaoenda kusoma masters huko ,hawawezi kukubaliwa kuunganisha PhD bila muajiri wake kujua.

Kumbuka kuwa barua za udhamini na vigezo vyote muajiri ndio mtu wa kwanza.

Tuseme hiyo phD kajilipia, napo kuna ugumu kwa kuwa inabidi aongeze muda wa kukaa/kusoma huko, na hapo ni lazima muajiri ahusishwe.

Labda useme, kashirikiana na muajiri wake (kitu ambacho SIDHANI)
Mwisho wa uongo wako upo hapa
Huwezi wapelekea barua NSSF eti mafao yako wawape bank, Hapa UMEONGOPA.
Kinachotokeaga ni: bank wanaweza kukupa masharti/form/mkataba ujaze endapo utashindwa kulipa mkopo wao kwa sababu za kushindwa kuendelea na ajira yako, basi inakupasa pesa utayopata ya mafao NSSF wachukue wao.
Lakini sio wewe uwapelekee barua NSSF, kinachotokeaga ni kuna mambo mawili;
  • wakati wa kujaziwa taarifa zako za kuchukua hayo mafao na muajiri wako(HR), HR hataweza kukujazia mpaka umalizane na bank kwa kuwa bank ni lazima wawasiliane na HR kuhusu mkopo wako
  • NSSF wana utaratibu wa kuhakiki taarifa zako za kibank, na kuna form ya NSSF unaenda nayo bank ili wakujazie taarifa na kuthibitisha taarifa zako. Na hapo bank ni lazima watakubana
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa
 
Sijajua mnachobisha hapa ni nini?
Mimi nafahamu case 5 tofauti za aina hii.
1. Jamaa alikuwa mwalimu wilaya moja Mbeya. Aliomba kusoma masters ya kitu kingine wakamgomea. Alienda kopa 9mill akapiga masters bila ruhusa. Sasa hivi yuko kwenye shirika moja la afya anakula dola 3500 per month.
2. Jamaa zangu wawili wa karibu maafisa Jwtz miaka ya 2000-2002 walienda kusoma nje mambo ya IT, na huku waliacha madeni ya benki hadi Leo hakuna aliyekanyaga bongo
Mimi mwenyewe namjua mwamba mmoja hivi yeye alikuwa mwalimu kafanya kazi Miaka 2 kalamba zake mkopo kaishia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Visa ya kusoma anataka na kuzamia?? Ni ngumu, muulize tena.

Pia kwa watumishi wanaoenda kusoma masters huko ,hawawezi kukubaliwa kuunganisha PhD bila muajiri wake kujua.

Kumbuka kuwa barua za udhamini na vigezo vyote muajiri ndio mtu wa kwanza.

Tuseme hiyo phD kajilipia, napo kuna ugumu kwa kuwa inabidi aongeze muda wa kukaa/kusoma huko, na hapo ni lazima muajiri ahusishwe.

Labda useme, kashirikiana na muajiri wake (kitu ambacho SIDHANI)
Mwisho wa uongo wako upo hapa
Huwezi wapelekea barua NSSF eti mafao yako wawape bank, Hapa UMEONGOPA.
Kinachotokeaga ni: bank wanaweza kukupa masharti/form/mkataba ujaze endapo utashindwa kulipa mkopo wao kwa sababu za kushindwa kuendelea na ajira yako, basi inakupasa pesa utayopata ya mafao NSSF wachukue wao.
Lakini sio wewe uwapelekee barua NSSF, kinachotokeaga ni kuna mambo mawili;
  • wakati wa kujaziwa taarifa zako za kuchukua hayo mafao na muajiri wako(HR), HR hataweza kukujazia mpaka umalizane na bank kwa kuwa bank ni lazima wawasiliane na HR kuhusu mkopo wako
  • NSSF wana utaratibu wa kuhakiki taarifa zako za kibank, na kuna form ya NSSF unaenda nayo bank ili wakujazie taarifa na kuthibitisha taarifa zako. Na hapo bank ni lazima watakubana
Mwajiri yupi na alishaacha kazi?
 
Inaonyesha wewe ni wale watumishi makada ambao akili zao huku halmashauri zimeganda kutwa kuisifia CCM...

Sikia basi..

Alikua tu ni afisa kilimo (AFO) (Sio DAICO nimekwambia AFO) katika halmashauri fulani..

Ofisi za mifugo na kilimo huwa wanapendekeza mtu/mtumishi mmoja abaki ofisi kama katibu wa ofisi.

Na mwamba aliajiriwa kama AFO II akaenda kusoma SUA (EXTENSION) akarudi na Bachelor of Extension.

Ila afisa utumishi aligoma kumfanyia categorization, aliendelea kuitumikia diploma yake akiwa na bachelor miaka kibaoo.

Kwahiyo mi huwa namsapoti kwa haya maamuzi kila siku.

Haiwezekani nisome SUA miaka mi3 halafu nirudi bomani, nikae miaka 5 afisa utumishi agome kuitambua bachelor yangu.

Hata Mimi navyoandika hapa Nina masters na huu ni mwaka wa 3 naona wapo kimya.

Mwakani (mwaka wa 4) nataka kufanya maamuzi magumu sanaaaaa yaaani saaana.

Ni kuchukua tu mkopo na kusepa.

Maana nilichukuaga kimkopo fulani afisa utumishi nilivyompelekea form alisisitiza "na wewe usikimbie tu" huku hajui akili yangu inavyowaza.

Kuna mwengine nae, kafanya kazi kaona take home ya TGS B hailipi, akatafuta mchongo private.

Akaomba ruhusa na akachukua mkopo.

Kwahiyo kwa miaka miwili aliyosoma Diploma alikua tu anakula mshahara wa bure, maana hakua Shule na mshahara ulikua unaingia.

DAICO kuona muda umefika wa kuisha kwa likizo na jamaa hatokei/harudi akapigwa stop pay.

Kumbe mwamba hakuwahi hata kufika chuo.

Na walichojitusi "hawakuwahi kuomba progressive report"

Wengi tu mbona huwa wanajilipa Mafao na kusepa.

Kama mifano hii hujaielewa basi subiri wangu.

#YNWA
Mzee baba nijuavyo mimi watumishi wa H/W wanachangia aidha LAPF ana PSPF kabla mifuko haijaunganishwa na kuwa PSSSF na watumishi wa mashirika ya Umma wanachangia PPF kabla mifuko kuunganishwa,
watuishi wa SEKTA binafsi ndio wanachangia NSSF

I stand to be corrected.

kuhusu recategorisation, lazima bajeti itengwe na kibali kitoke Utumishi Usimlaumu HR
 
Ukisubiri Recategorization utazeekea halmashauri.

Kopa na SEPA.

#YNWA
 
Umesha wahi kusikia wapi mtumishi wa Halmashauri analipwa na Shirika ulilotaja?
Bro unataka niseme kila kitu wazi ili raia wa connect dot.

Kifupi mada ni Mafao na mkopo.
Mbona hujauliza kuhusu benki gani?

Halafu inaonyesha we ni mtumishi.

Kopa sepa, serikali ya ccm imegoma kuongeza mishahara na kupandisha madaraja.

Utazeekea serikalini huko.

Be a risk taker.

Kopa sepa ikibuma ni kawaida.

Fail is LEARNING.

Ukubali huko utaisujudia CCM mpaka wajukuu zako waje kukutukana.

#YNWA
 
Huyo Ni fala sababu mkopo wa Benki una bima incase akifa au akiacha kazi Benki hairuhusiwi kuchukua kiinua mgongo chake sababu wanalipwa na bima.

Kwa hiyo Benki hawatachukua hela Yale huko NSSF kamwe.

Akirudi akachukue hela yake. Mimi nilikaa miaka 8 ndo nikaenda nikakuta pesa yangu ipo tu.
Duh
Nashukuru kwa hii taarifa. Umesaidia wengi. Kumbe hata ukikimbia mzigo bado upo.

#YNWA
 
Back
Top Bottom