Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hamna namna inginešNi kukopa na kupata mtaji na kusepa.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna namna inginešNi kukopa na kupata mtaji na kusepa.
#YNWA
Hili la kuongeza muda wa visa au kuunganisha masomo bila kumshirikisha mwajiri linawezekana kabisa. Wako wengi wamefanya hilo. Ukishafika majuu utakumbana na njia nyingi za kuweza kuongeza viza au kuunganisha masomo kivyako-vyako.Visa ya kusoma anataka na kuzamia?? Ni ngumu, muulize tena.
Pia kwa watumishi wanaoenda kusoma masters huko ,hawawezi kukubaliwa kuunganisha PhD bila muajiri wake kujua.
Kumbuka kuwa barua za udhamini na vigezo vyote muajiri ndio mtu wa kwanza.
Tuseme hiyo phD kajilipia, napo kuna ugumu kwa kuwa inabidi aongeze muda wa kukaa/kusoma huko, na hapo ni lazima muajiri ahusishwe.
Labda useme, kashirikiana na muajiri wake (kitu ambacho SIDHANI)
Mwisho wa uongo wako upo hapa
Huwezi wapelekea barua NSSF eti mafao yako wawape bank, Hapa UMEONGOPA.
Kinachotokeaga ni: bank wanaweza kukupa masharti/form/mkataba ujaze endapo utashindwa kulipa mkopo wao kwa sababu za kushindwa kuendelea na ajira yako, basi inakupasa pesa utayopata ya mafao NSSF wachukue wao.
Lakini sio wewe uwapelekee barua NSSF, kinachotokeaga ni kuna mambo mawili;
- wakati wa kujaziwa taarifa zako za kuchukua hayo mafao na muajiri wako(HR), HR hataweza kukujazia mpaka umalizane na bank kwa kuwa bank ni lazima wawasiliane na HR kuhusu mkopo wako
- NSSF wana utaratibu wa kuhakiki taarifa zako za kibank, na kuna form ya NSSF unaenda nayo bank ili wakujazie taarifa na kuthibitisha taarifa zako. Na hapo bank ni lazima watakubana
Benki zote Zina bima ya mikopo mkuu . Incase mfanyakazi akifariki au akifukuzwa kazi ila akiacha mwenyewe ndo halipwi ila akiondoka bila kuandika barua anakuwa kafukuzwa kwa hiyo analipwa.Duh
Nashukuru kwa hii taarifa. Umesaidia wengi. Kumbe hata ukikimbia mzigo bado upo.
#YNWA