Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

sijaelewa ap umebisha nn? ushawahi kuchukua mkopo kama mtumishi? mwajiri wako anakuepo kama ushaidi tu ila nssf yako ndio mdhamana wako wa kiasi utakachokopa incase umeacha kazi au umefukuzwa ile ndio inakua refunded
Na ni watumishi wengi tu siku hizi huchukua mkopo na kutokomea hukooo.

#YNWA
 
Huyu mwamba.

#YNWA
 
Hizi case zipo nyingi tu. Mimi mwenye mwaka Jana ilibaki kidogo tu ila ipo siku nayo yaja sijakata tamaa.
Mi niko halmashauri fulani yaani Nina bachelor na masters ila bado nasotea diploma yangu.

Yaani soon nachukua milioni kadhaa benki na kusepa private.

Yaani soon.

#YNWA
 
Hadithi za wauza kahawa
Wapo kibao waliokopa na kukimbia serikali WAPO WENGIIIII.

Hata leo ukienda ofisini kumpelekea utumishi barua ya mkopo utasikia "Na wewe usikimbie kama wenzako..!!"

Yupo mmoja alikimbia kutoka mkoani yupo Dar kafungua duka.

#YNWA


Kama unafanya kazi halmashauri Jambo hili la watumishi kukopa na kuacha kazi LISINGEWEZA KUA GENI KWAKO.

#YNWA

Hizi case zipo nyingi tu. Mimi mwenye mwaka Jana ilibaki kidogo tu ila ipo siku nayo yaja sijakata tamaa.

Umeniwahi..kwa maelezo yake huyo Mtumishi alikuwa ngazi ya uofisa..ambao mfuko wao wa mafao ya jamii sio NSSF..hapo tu..ndio chai ilipoanzia kunywewa.

Chai tangawizi


Na ni watumishi wengi tu siku hizi huchukua mkopo na kutokomea hukooo.

#YNWA

Mi niko halmashauri fulani yaani Nina bachelor na masters ila bado nasotea diploma yangu.

Yaani soon nachukua milioni kadhaa benki na kusepa private.

Yaani soon.

#YNWA
Kama hujaelewa post zotee hizi Basi chakukusaidia sina....

Chukua mkopo sepa KAFANYE MTAJI.

Wakija kushtuka wapige STOP PAY upo mbaliii....

Ikibuma biashara pia ni maisha.

Take risk.

#YNWA
 
Chai tangawizi
Sijajua mnachobisha hapa ni nini?
Mimi nafahamu case 5 tofauti za aina hii.
1. Jamaa alikuwa mwalimu wilaya moja Mbeya. Aliomba kusoma masters ya kitu kingine wakamgomea. Alienda kopa 9mill akapiga masters bila ruhusa. Sasa hivi yuko kwenye shirika moja la afya anakula dola 3500 per month.
2. Jamaa zangu wawili wa karibu maafisa Jwtz miaka ya 2000-2002 walienda kusoma nje mambo ya IT, na huku waliacha madeni ya benki hadi Leo hakuna aliyekanyaga bongo
 
Jamaa ametunga tu stori.
Jamaa nilipomuona ni muongo ni pale aliposema eti ilibaki siku moja ili asafiri kwenda nje halafu ndani ya siku moja akaprocess mkopo na kufanikiwa,hivi anajua process za kupata mkopo benki kweli au anafikiri mkopo wa benki ni kama tigo nivushe
 
Bro punguza ushamba...

Sijasema kesho yake bro..
Hebu soma tena na ndege sio kama daladala kwamba unakata tiketi leo kesho safari.

Na unapopata scholarship means tayari unatiketi.

Unajibiwa leo, then unaanza kujipanga.

Unaweza ukajibiwa leo ila safari ikawa mwakani.

#YNWA
 
kwa hyo na ticket nayo huwa inatumwa mwaka mmoja kabla?hujui unachokiongea wewe inaonekana hata hujawahi kusafiri
 
Kubabake
 
kwa hyo na ticket nayo huwa inatumwa mwaka mmoja kabla?hujui unachokiongea wewe inaonekana hata hujawahi kusafiri
We mbu tulia...

Point ilikua ni ile "Kesho yake" nadhani sasa umeelewa na uwe unafatilia mambo.

Fatilia watumishi wa halmashauri wapo kibaoo hukopa na kusepa mazima.

Na sio halmashauri tu sehemu kibao serikalini.

Kama upo serikalini nakushauri kopa sepa, maana Mafao mpaka ifike miaka 60 na hakuna tajiri wa Kazi za kuajiriwa.

AMKA MBU.

#YNWA
 
Hata mimi kuna washikaji zangu wa A level watatu wote wako US, waliondoka kwa kwenda kupiga Masters, hadi leo hawajarudi wote wanafanya kazi huko huko na waliunga (they never came back to Tz)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…