Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

Umesha wahi kusikia wapi mtumishi wa Halmashauri analipwa na Shirika ulilotaja?
 
Huyo Ni fala sababu mkopo wa Benki una bima incase akifa au akiacha kazi Benki hairuhusiwi kuchukua kiinua mgongo chake sababu wanalipwa na bima.

Kwa hiyo Benki hawatachukua hela Yale huko NSSF kamwe.

Akirudi akachukue hela yake. Mimi nilikaa miaka 8 ndo nikaenda nikakuta pesa yangu ipo tu.
 
Hahahahahah ni kucheza na System tu kwa sasa. Unakopa unaingia mitini ukiingia uzee unaenda kuchukua chako mapema.
 
Maandishi hayafutiki yeye akae hata miaka 100
 
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa
 
Mimi mwenyewe namjua mwamba mmoja hivi yeye alikuwa mwalimu kafanya kazi Miaka 2 kalamba zake mkopo kaishia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mwajiri yupi na alishaacha kazi?
 
Kuna jamaa wa pccb alikula mkopo nae akaishia
Naona ndo kautaratibu kwa sasa
 
Mzee baba nijuavyo mimi watumishi wa H/W wanachangia aidha LAPF ana PSPF kabla mifuko haijaunganishwa na kuwa PSSSF na watumishi wa mashirika ya Umma wanachangia PPF kabla mifuko kuunganishwa,
watuishi wa SEKTA binafsi ndio wanachangia NSSF

I stand to be corrected.

kuhusu recategorisation, lazima bajeti itengwe na kibali kitoke Utumishi Usimlaumu HR
 
Ukisubiri Recategorization utazeekea halmashauri.

Kopa na SEPA.

#YNWA
 
Umesha wahi kusikia wapi mtumishi wa Halmashauri analipwa na Shirika ulilotaja?
Bro unataka niseme kila kitu wazi ili raia wa connect dot.

Kifupi mada ni Mafao na mkopo.
Mbona hujauliza kuhusu benki gani?

Halafu inaonyesha we ni mtumishi.

Kopa sepa, serikali ya ccm imegoma kuongeza mishahara na kupandisha madaraja.

Utazeekea serikalini huko.

Be a risk taker.

Kopa sepa ikibuma ni kawaida.

Fail is LEARNING.

Ukubali huko utaisujudia CCM mpaka wajukuu zako waje kukutukana.

#YNWA
 
Duh
Nashukuru kwa hii taarifa. Umesaidia wengi. Kumbe hata ukikimbia mzigo bado upo.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…