Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

Hili la kuongeza muda wa visa au kuunganisha masomo bila kumshirikisha mwajiri linawezekana kabisa. Wako wengi wamefanya hilo. Ukishafika majuu utakumbana na njia nyingi za kuweza kuongeza viza au kuunganisha masomo kivyako-vyako.
 
Duh
Nashukuru kwa hii taarifa. Umesaidia wengi. Kumbe hata ukikimbia mzigo bado upo.

#YNWA
Benki zote Zina bima ya mikopo mkuu . Incase mfanyakazi akifariki au akifukuzwa kazi ila akiacha mwenyewe ndo halipwi ila akiondoka bila kuandika barua anakuwa kafukuzwa kwa hiyo analipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…