Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Acha makasiriko,anajionesha wapi sasa na mtu anahadithia stori yakw?? Umasikini mbaya sana,kila mtu anachofanya unahisi anakulingishia[emoji13]
Halafu mtu ukiwa masikini unaweza kuwa na masiriko Sana wakati hata kuku wanaweza kufanya mapenzi mbele yako na usiwafanye chochote.
Msamehe bure tu mkuu.
 
Yaani Iryn kaamua kwa busara kiasi. Maana ningekuwa mimi ningevunja mkataba hapo hapo maana unaonekana mi mtu dangerous.

Imagine unapewa siri nzito, na pesa juu na ukaombwa akufahamu ati unamunyesha dada yako ila familia yako hapana... kwanini unaficha nini?

Nakudelete mara moja. ... kama outing muajemi yupo
 

Hataree nitaendelea kesho nilale, ila na huyu usipomla nakata rufaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengi kwa asili hatuweki mambo yetu wazi kwa haraka haraka, especially mbele ya wanawake. Labda kwa mshikaji wako unaweza mshirikisha baadhi, ila hawa viumbe hapana aisee!

Tutaendelea kukaa kimya watakuwa wanakutana tu na surprises mwanzo mwisho.
 
Mkuu umesahau kuwa haya matukio yalishapita kitambo?
 
Nampngeza sana mwamba kwa kutokua kitombi.
Ukiwa kitombi wakati ndo unasaka pesa basi wateja wa kike wasahau, na hao ndo wanatoa sana pesa sio sisi wazee wa kubageini hata jero.

Kwa biashara inayokukutanisha sana na ke jitahidi sana usiwe na makoloni, yatakupotezea muda, wateja, pesa na kukudidimiza mno.

Maendeleo yoyote ni kafara, hapo jamaa katoa kafara ngono zembe.
 
My take; Iryn alikasirika kwa kuwa jamaa hakumuweka wazi kuhusu familia yake huenda hisia zake jamaa ana mambo mengi anaficha. Mnakumbuka alisafiri kwenda Dodoma kwa ndege na hakumwambia kama mtu wa karibu na mwajiriwa wake? Huenda Wasiwasi ilikuwa jamaa yuko kwa ajili ya kumchunguza na hofu ni kwamba alikuwa ameshaanza kumwamini na kumwambia mambo yake mengi. Sidhani kama hasira ni kutomla maana hilo linaweza tokea wakati wowote kwa makubaliano.

Kumbuka imani ya Iryn kwake ilitokana na kutomla akiwa hajiwezi hivyo haiwezi kuwa sababu hiyohiyo ya kuachana. Hapa itakuwa ilikuwa issue za kiusalama
 
Very true hii inatokea sana ila kuna wakati wengine wakiona unazingua wanakata mawasiliano au kukutamkia shombo.
 
Very true hii inatokea sana ila kuna wakati wengine wakiona unazingua wanakata mawasiliano au kukutamkia shombo.
Ndiyo maana nikasema kwa mwanamke anayejielewa.

Wanaoongea shombo mara nyingi ni hawa vinuka mkojo wasiojitambua na kujua thamani ya Utu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…