Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

mapenzi na kazi haviendani ni bora alivyofanya huko mbele angekujatengeneza bomu la nyuklia
 
Akili za kibongo hiz.
 
Mkuu INSIDER MAN kama ikikupendeza siku za mapumziko kama hizi uwe unazichukulia kama wikends fulani unatupia walau ka episode kamoja karefu ili tusindikize sikukuu ya wakulima maana baada ya Jf hatuna sehemu nyingine ya kwenda wala shughuli za kufanya. Ukiwa na muda wa ziada kwenye ratiba zako tuangalie na sie huku.

Au wadau wenzangu mnasemaje kuhusu holidays zitambuliwe kama wikends kwenye huu uzi?
 
Yes true

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kinakata kama kuwa huru kumpa mtu siri zako then yeye afiche zake, nadhani hicho ndo kilimkata sana Irene!
 
Nawaza pia huenda Irene alimkuta Mama J na ile simu aliyompa Insider. Unajisikiaje kumpa mtu zawadi then ukute kapewa mwingine?
 
La Muajemi hata Mimi sijalipenda , INSIDER MAN umemkutanisha Irine na Muajemi kisa umeahidiwa pesa ,, hujajali Kama Irn atadhurika au la muhim kwako pesa
 
INSIDER MAN chukua mauwa yako mdogo wangu Familia kwanza aise...wakina Iryn wapo wengi sana hata wakina Junior hawatawamaliza...na wanazaliwa Kila siku.
Hawatawamaliza, Ila watafika nao mbali...


Hata wewe, pambana kula japo hautamaliza ila utafika nao mbali [emoji1787]
 
Insiderman alipitia msoto wa jobless! Sasa kila fursa ya hela ikijitokea hakai kizembezembe! Hata kumuuza Iryn iliapate hela naona poa tu! Iryn ni mwanamke kama mwanamke yeyote kuliwa ataliwa tu! Sasa kwanini nisimuuze akaliwe na mtu aliyekatika nafasi ya mimi kutengeneza hela?? Hebo!! Kwani ni ndugu yangu au mwanangu!! Ebu tuwe serious!
 
Iryn n muhimu sana kwa mwamba ktk mtonyo. Na angetulia hata miradi ya iryn msimamizi n insider.
 
Inawezekana pia alijua alivyouzwa kwa Muajemi, kwa hiyo alikuwa anamtafutia sababu ya kuachana naye
 
ngoja niweke kituo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…