Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kweli issue ya kuweka picha si nzur labda angeweka half picture isiyoonyesha sura labda kamwa alivyofanyags yake kuonyesha nguo alizonunuliwa na mbostwana labda, pia izo location ajitahid kuzificha watu wasifahamu anaishi wap n.k
Hakuna cha kupost picha wala nini hapa story tu ukitaka picha kampige demu wako
 
kama vipi nipigieni kura niendelee na story mbona naiweza tu.
inshu si iryn aliwe?
 
INSIDER MAN tupo tayari kupokea episode nyingine
Insider Man anaangalia team yake pendwa Simba.Hapa baada ya game kuisha ndio tutamuona. Simba ikipigwa naona anaweza asitupie mzigo
 
Usiniambie yule demu umemkosa mkuu, wahuni sio wati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…