Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna comment hapo juu ina sema
"INSIDER MAN na chino wana man ni ndugu"
Tumuombee japo anakimbia huu mfupa kuula naiman wazee wa kimasihara mnajilaumu sana poleni.
fuentte yani wewe utasababish watu watake picha ya iryn kwa dau zito na ukizingatia hasira zinakuja mkijua anaye mla ana familia tena yupo mbali🤣🤣🤣
 
IRYN: “Moja ya masharti niliyompa ni hili na aliridhia mwenyewe ndomana unaona nimekuja na angekataa tungekuja mimi na wewe.”

Hahaha! matajiri km muajemi kweli wana mioyo ya uvumulivu , ingekua mwenzangu na mm hpo demu nmepanga nkutoe out alafu uniletee masharti km dada yng aisee safar yenyewe ingekufa chaaap...

Let's choose Patience over Greediness vitombile [emoji4]
 
Daaaaaaamn............ Mkuu INSIDER yaani hapo nimekosa maneno......!


Wewe ni 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Na swala la muajemi kuto ingia kwa pool asinge mlaumu sana mana yeye sio mwafrika mana sisi tukikupa chance au tukiona upo kindezi tunakupa jicho moja tu bila kuongea hilo jicho ww mwenyewe unajua kbsa hili linasema "ww ms*ng$# hebu njoo huku acha ubwege" lazima uende tu.
 
Eti

IRYN: “Insider naogopa kulala peke yangu nimekuja tulale wote.”

Ilibidi nishangae toka lini Iryn anaogopa kulala peke yake wakati anakaa peke yake pale kwake.

MIMI: “Leo ndo umeanza kuogopa kulala alone?”

IRYN: “Hamna nimejisikia tu kuja kwako au kama hutaki mimi nitaondoka.”


[emoji39][emoji39] kwa Hali hii dada Iryn kwa insider analika kiulanini kbs tumpe muda tu
 
Me ningejipapasa niagize na kikali kbsa ili akili ziruke mana shetani ntamwambia acha nikuungishe kwa leo bwana mapembe🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…