machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Inaendelea tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, hapo ndo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaendelea tena?
fuentte yani wewe utasababish watu watake picha ya iryn kwa dau zito na ukizingatia hasira zinakuja mkijua anaye mla ana familia tena yupo mbali🤣🤣🤣Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.
Dada una umbo zuri sana.Acha ujinga fanya kazi muda wa story Ni week end tu
Daaaaaaamn............ Mkuu INSIDER yaani hapo nimekosa maneno......!EPISODE 32
“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”
Baada ya kuingia ndani ya room nilishangazwa sana na uzuri wa chumba, aisee nadhani mnajua 5 star hotels room zinavyokuwa, room ilikuwa inavutia sana. Na hii siku ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala hotel yenye hadhi ya nyota 5.
Kwa upande mwingine niliwaza imekuaje Muajemi na Iryn kulala vyumba tofauti maana nilitegemea Muajemi angemaliza mchezo huku Zanzibar, nilijikuta nikianza kucheka tu. Maana sikuona haja ya Iryn kuja Zanzibar kama hali yenyewe ndo hii.
Na muda huu niliweza kufanya mazungumzo na Mama J nilimpa taarifa kuwa nimefika salama Zanzibar. Niliamua kumpa taarifa mapema ili kuepuka usumbufu badae wa kunipigia simu hovyo.
Nilikwenda bafuni kuoga na baada ya hapo nililala kupunguza uchovu.
Saa 12 jioni simu ya Iryn iliyoniamsha na baada ya kupokea simu yake alinambia nianze kujiandaa kwaajili ya kwenda kuzurura maeneo ya hotelini, ikiwezekana nitembee na nguo kwaajili ya swimming.
Baada ya dakika 30 kila mtu alitoka na tulikwenda moja kwa moja mpaka swimming. Pembeni kulikuwa na viti na meza na tukaagiza wine ila Muajemi aliagiza Jagermeister.
Iryn alisimama akavua nguo akabaki na brass, bikini ([emoji160]) na akaingia kwenye swimming pool. Na wakati akivua nguo wote tulikuwa tunashuhudia uzuri wa Iryn live bila chenga. Maana ulioneoana ule urembo wake wa asili mapaja yalikuwa meupe afu hayana doa, shepu yake ilionekana vema kifuani alikuwa na matiti yaliyosimama afu yale ya mviringo. Tuliishia kumtamani kwa macho na watu waliokuwa around pale waliishia kumtizama tu na kumtamani. Nilimkonyeza Muajemi aliunge akawe karibu na Iryn lakini alikuwa analeta pigo za kitajiri kwamba hawezi ingia swimming.
MIMI: “Bro nenda kaliunge na wewe pale.”
MUAJEMI: “Kaka mimi haya mambo siwezi kwakweli.”
Iryn hakuonyesha kujali kabisa muda huu ni kama alifurahia sana kuwepo pale, na alianza kuswim.
Mimi sikutaka kupoteza ile chance kabisa na palepale nilivua pensi yangu nikabaki na boxer nikaliunga. Iryn alivyoona nimeingia kwa swimming pool alifurahi na akaswim mpka usawa wangu.
MIMI: “Kumbe unajua kuswim?”
IRYN: “Eeh Insider niko vizuri kabisa.”
MIMI: “Nifundishe bhasi”
IRYN: “Hujui kabisa hata idea?”
MIMI: “Atleast na ujuzi.”
Na muda huu alikuwa ananivuta kwenye kina kirefu kidogo. Kwa upande wangu najua kuswim ila sio kihivyo na nilijifunzaga ziwa Tanganyika kipindi niko Bulombora JKT- Kigoma.
Tuliendelea kuswim na Iryn alionekana kuwa mtaalam kwelikweli hata mimi nilibaki nashangaa ule ujuzi aliokuwa anauonyesha pale. Tulianza mchezo wa kumwagiana maji, Inshort ile swimming ilikuwa kama yetu muda ule na watu walikuwa wakitutizama sana.
Sikutaka kumshika Iryn maana niliogopa kumchoma moyo Muajemi wakati huu. Tulipiga sana picha hii siku pale kwenye swimming na nyingi zilionekana kuwa za kimahaba sana.
Muda huu Muajemi alikuwa akitutizama tu ni kama mtu aliyekuwa anapenda kuingia swimming ila hajiamini. Tuliendelea kushindana mle ndani na tukapumzika pembeni ya ukuta wa swimming tukaendelea kupiga story.
MIMI: “Iryn you’re so beautiful leo macho yangu yameona waziwazi.”
IRYN: “Insider mbona mimi najiona wa kawaida tu.”
MIMI: “Embu angalia macho yote yanakuangalia wewe, hapa kila mtu anakutamani ujue.”
IRYN: “Kama wanashindwa kufanya yao wananishangaa mimi shauri zao.”
Baada ya kutoka Swimming tulikwenda kupata dinna na baada ya hapo tulikwenda kwenye bar ya hapohapo hotelini. Bar ilikuwa na watu japo hawakuwa wengi kihivyo na baada ya kupiga macho pande zote nilimwona dem mmoja wa kizungu alikuwa amekaa pembeni ukutani.
Nilimwambia Muajemi nakwenda kukaa sehemu nyingine na akamwambia dada anihudumie bill ziko juu yake. Nilitaka kumpa nafasi Muajemi ya kuongea na Iryn, niliwaaga na mimi nilikwenda moja kwa moja kwa yule mzungu.
Nilimsalimia yule Mzungu nikamwuliza kama ana mtu akasema yuko alone hivyo naweza jumuika naye. Tuliendelea kupiga story pale na alinambia anatokea Poland na yuko Zanzibar kwaajili ya mapumziko na kutalii.
Nilimwambia kama atahitaji kampani yangu niko tayari kumpa kwa Zanzibar na alionesha kufurahia na yeye alikubali. Lakini kadri story zilivyozidi na bia zilivyozidi kukolea nilihisi yule Mzungu anatoka Ukraine maana alisema anaishi Lyiv. Huu mji upo Ukraine niliwaza huenda mzungu kakimbia vita kule kaamua kuja Zanzibar. Kitu kingine hakuwa na tarehe rasmi ya kuondoka Zanzibar hiki ndo kilifanya nihisi yule mzungu amekimbia vita.
Tuliendelea kupiga story sana na alinambia ana mtoto mmoja wa miaka 4 ambaye yuko kwa baba yake Romania, ila alisema hana mume.
Na muda huu Muajemi na Iryn walionekana kuwa karibu sana wakizungumza na mimi niliendelea story na Mzungu wangu.
Kwa upande mwingine mawazo yangu yalikuwa yananiambia kwamba yule mzungu kama ni anajiuza hivi. Maana macho yake yalikuwa juujuu sana kwa makonki mtakuwa mnajua, asilimia kubwa kwa madem wanaojiuza wana hii tabia.
Muda huu humu ndani walionekana warembo wa mataifa tofauti tofauti na walikuwa wazuri haswa, wakiwa na matajiri.
Nilikaa pale mpaka saa4 nikaamua kwenda kulala maana sikuona sababu ya kuendelea kubaki pale. Nilimwaga Mzungu nikachukua namba zake namimi nikaondoka na niliwaacha Muajemi na Iryn pale bar.
Baada ya kurudi kwa room yangu nilimpigia video call Mama J na ndani ya muda mfupi alipokea,
WIFE: “Baba Junior msalimie mwanao anasema Baba Baba…”
MIMI: “Mnaendeleaje lakini?”
WIFE: “Tuko salama, vipi mbona umefikia sehemu nzuri sana.”
MIMI: “Kampuni inalipa lazima nilale sehemu nzuri.”
WIFE: “Usijaribu kunicheat tu huko.”
MIMI: “Siwezi ndo nalala hapa kwanza.”
WIFE: “Na unarudi lini?”
MIMI: “Jumapili mapema, kesho ndo nakwenda bandarini kufuatilia mzigo.”
WIFE: “Urudi na zawadi byee I love you.”
MIMI: “I love you too mke wangu.” Na mimi niliamua kulala muda huu.
Nilishtuka kusikia mtu akigonga na kucheki mudaa ilikuwa Saa 6 kasoro na baada kwenda kufungua alikuwa ni Iryn.
IRYN: “Insider hupokei simu are you ok?”
MIMI: “Niko Ok nimeamua tu kurudi kulala mapema.”
IRYN: “Nikajua umeondoka na yule Mzungu maana tulishangaa hatuwaoni pale.”
MIMI: “Hahahaa hamna bhana, Muajemi yuko wapi?”
IRYN: “Nimemuacha kule bado anakunywa mimi nimechoka nina usingizi. Kesho kuna sehemu tutakwenda kutalii sawa?”
MIMI: “Sawa, kesho bhasi byeeh”.
IRYN: “Byeeeh” akanikiss shavuni akakimbia.
********
Asubuhi mapema niliamka na nikajiandaa vizuri kabisa, tulipata breakfast na gari ilikuja kutuchukua tukaondoka kwenda kutembea. Hatukuwa na Muajemi hii siku, na tulikwenda kutembelea sehemu mbalimbali za makumbusho kama stone town na pia tulikwenda forodhani.
Wakati tuko Forodhani Kuna sehemu tulikuwa tumetulia tukipata lunch na tulikuwa tukipiga story muda ule,
MIMI: “Iryn unajua mimi nilijua utalala na Muajemi room moja, nini kimetokea?”
IRYN: “Insider are you serious? Sikutegemea kuniuliza swali la kipumbavu kama hili.”
Ukweli hata kwa upande wangu niliona nimezingua kwakweli maana niliuliza swali la kijinga sana.
MIMI: “Iryn I am sorry nimezingua kwakweli.”
IRYN: “Insider nalalaje na mtu ambaye sio Mpenzi wangu? na simwamini bado can you?”
MIMI: “Hapana kwakweli siwezi.”
IRYN: “Moja ya masharti niliyompa ni hili na aliridhia mwenyewe ndomana unaona nimekuja na angekataa tungekuja mimi na wewe.”
MIMI: “Hata mimi nisingeweza Iryn.”
IRYN: “Yes he has to, because he chose it”
MIMI: “You’re right.”
Tulitoka pale na tulianza safari ya kurudi Hotelini na baada ya kufika hotelini tulikwenda beach moja kwa moja na tulikaa mpaja jioni.
Saa 12 jioni tulirudi hotelini tukaingia kuoga na baada ya hapo tulikwenda kupata dinna na tukaelekea bar kupata vinywaji. Leo kulikuwa na vibe sana na walionekana wazungu na watu mbalimbali wakila starehe, na sisi tulitafuta sehemu nzuri tukakaa.
Muajemi aliagiza Moet kwaajili yetu na yeye aliagiza Hennessy tukaendelea kupiga pombe taratibu huku story zikitawala.
Saa 4 Iryn aliaga anakwenda kulala na Muajemi alimwitia mlinzi wa kumpeleka mpaka room, nikabaki mimi na Muajemi pale Bar na baada ya Iryn kuondoka tulibadilisha mada,
MIMI: “Bro ni nini kimetokea mpaka mkalala vyumba tofauti?”
MUAJEMI: “Bro alitaka hivyo na mimi sikutaka kumlazimisha kumbuka bado natafuta njia ya kupenya na kumpata. Remember you told me to play smart.”
MIMI: “Yeah umefanya vizuri, vipi lakini mmefikia wapi maana jana niliwaacha pale.”
MUAJEMI: “Tunakwenda vizuri taratibu, nimegundua Iryn hana shida na Pesa inatakiwa kumwonesha kweli nampenda.”
MIMI: “Sure you have to be smart.”
MUAJEMI: “Ila bro kwa lile sakata la jana, Iryn ni mrembo sana. Sipati picha watoto atakao nizalia, hahahahahah”
MIMI: “Ni hatari sana kazi kwako tu.”
MUAJEMI: “Ulinambia kuna ishu tutaongea ni ipi?”
MIMI: “Bro nina uhitaji wa pesa kama million 5 na nimekwama sana naomba unikope.”
MUAJEMI: “Bro! hio pesa mimi nitakupa huna haja ya kunirudishia.”
MIMI: “Ahsante sana Bro!”
Tuliondoka pale kurudi kulala tukipiga story na muda huu ilikuwa saa 5 tayari.
Baada ya kurudi niliingia bafuni kuoga na nilikaa kwenye kiti nikiandaa report maana kuna mizigo ilikuwa imetolewa nimepewa taarifa, sikutaka kulaza report na nilikuwa makini sana toka nipate mkataba mpya.
Wakati nikiendelea na kazi yangu mlango uligongwa na baada ya kufungua alikuwa ni Iryn.
MIMI: “Nambie unashida gani usiku huu.?”
IRYN: “Insider naogopa kulala peke yangu nimekuja tulale wote.”
Ilibidi nishangae toka lini Iryn anaogopa kulala peke yake wakati anakaa peke yake pale kwake.
MIMI: “Leo ndo umeanza kuogopa kulala alone?”
IRYN: “Hamna nimejisikia tu kuja kwako au kama hutaki mimi nitaondoka.”
MIMI: “Kesho tunaondoka sangapi?”
IRYN: “Nahisi mchana au jioni Muajemi ndo ana ratiba zote.”
MIMI: “Sawa haina shida.”
IRYN: “Mama Junior anakusumbua sana?”
Na muda huu alikuwa akielekea washroom, na mimi sikumjibu kitu niliamua kunyamaza.
Mimi niliendelea kuandaa report taratibu na muda huu Iryn alikuwa amejilaza kitandani kizembe na alikuwa very sexy. Muda huu alikuwa akiningalia sana na mimi kila nikimwangalia tuliishia kugongana macho tu.
Baada dakika kadhaa nilisikia mlango ukigongwa na nikaenda kufungua muda uleule, na mimi nilihisi anayegonga ni Muajemi. Na kweli baada ya kufungua alikuwa ni yeye na Iryn alikuwa bado kalala kitandani vilevile kama hana habari na mtu anayegonga mlango.
TO BE CONTINUED.
Hapana,ila msimuliaji huwa anakatisha scene hizo wenye usimuliaji wake ndio maana nikaona nitoe tahadhali asije akahisi hatuzihitaji sanaWew Jamaa mpenda mizagamuano [emoji23]
hapa ni kupambana coz najua arosto inayokuja apa siyo ya nchi hii, dadeq...Daaaaah sa itakuajeee?[emoji16]
Kabisa mkuu [emoji23]Na swala la muajemi kuto ingia kwa pool asinge mlaumu sana mana yeye sio mwafrika mana sisi tukikupa chance au tukiona upo kindezi tunakupa jicho moja tu bila kuongea hilo jicho ww mwenyewe unajua kbsa hili linasema "ww ms*ng$# hebu njoo huku acha ubwege" lazima uende tu.
EtiEPISODE 32

Me ningejipapasa niagize na kikali kbsa ili akili ziruke mana shetani ntamwambia acha nikuungishe kwa leo bwana mapembe🤣🤣🤣Eti
IRYN: “Insider naogopa kulala peke yangu nimekuja tulale wote.”
Ilibidi nishangae toka lini Iryn anaogopa kulala peke yake wakati anakaa peke yake pale kwake.
MIMI: “Leo ndo umeanza kuogopa kulala alone?”
IRYN: “Hamna nimejisikia tu kuja kwako au kama hutaki mimi nitaondoka.”
[emoji39][emoji39] kwa Hali hii dada Iryn kwa insider analika kiulanini kbs tumpe muda tu