Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
 
Una nyege mshindo hii mada.iliisha muda mbona
 
Umeongea ukweli wote mkuu. Serious ndio mambo yako hivyo kwa sasa JF
 
Mkuu INSIDER MAN wiki iliyoisha umeenda kinyume na utaratibu/mkataba wetu maana haukufikisha episode 3 kama tulivyoahidiana kabla. Basi naomba utulipe fidia ya episode yetu ya wiki iliyopita pindi ukiwa na muda au wikend hii kwa kuandika episodes 4.
Pia nashauri kutokana na ufinyu wa muda,siku utakayokuwa unapata muda weka zote 3 halafu utuachie alosto ya siku 6 mbeleni au kama itakuwa inakupendeza utakuwa unatupatia na bonus.
Shukrani.
 
Aisee najiuliza hii simulizi sio ya muda mrefu ni mwaka huu tu hawa akina prisca, maggy,maw2 na wengineo hua hawaiingii jf wakashtuka hata kufungua code kujua ni wao jamaa anawasimulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…