Nimesoma hii story na bado naendelea nayo. Asante sana mkuu
INSIDER MAN kwa kushare basi na kuchukua muda wako. Hakika kitu kimeshiba unastahiri tuzo mkuu.
Kweli JF ni mchanganyiko wa mitu mingi,kila mtu na zake. Cha kushangaza mtu anai-dis story mara ya kutunga mara vile. Pamoja na hayo mwamba hakuchoka kuchukua muda wake kuendelea kuwaelimisha.
Ajabu jitu linaponda linaponda halafu bado nalo lipo ubaoni linaendelea kusoma kimya kimya. Mitu kadri muda unavyoendelea mbele kuweni wastaarabu. Kama kitu umekiona hakifai kwako jikate kimya kimya sio mpaka uonyesha upumbavu wako wa kuponda ili uonekane mjanja. Hata kama umezoea kutukanwa tukanwa,badirika nenda na wakati. Hukipendi kitu fulani jikate kimya kimya kama ulivyokuja. Ifanye dunia mahala Salama pa kuishi,sio pa chuki chuki zisizo na maana.