Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

HIyo statement ya watu wengi hasa vijana kutoijua JF nilikutana nayo humu humu mtu akisema bas na mimi nikajipa assignment kila napokua katika social groups huwa najitahid sana kuuliza "unaijua jamii forum?" Wengi wanasema hapanaa..
Ila mkuu Kila mtu na machaguzi yake....mfano Mimi binafsi tiktok sijawahi ielewa kabisa
 
Sijajua policy yao ya kuji publicise ikoje maana haiwezekan kila mtu aijue instaa,facebuk, twitter and the likes halaf JF yetu pendwa iwe kama siri
Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
 
Unge Kua na kazi za kufanya ungejua ni kwa nini. Ila kwa sababu hauna huwezi jua kwa nn na hadi hapo jamaa kajitahidi sana
 
LUCY aliamua kunichana live kwamba nazingua nifanye kweli kwa mrembo Iryn.

Suala la Muajemi kama wewe ungekubali kulala na demu vyumba tofauti??
Hapo Muajemi atakuwa alikuwa anaogopa, si unaona hata "kumPiga verse mtoto" alikuwa hajampiga...na pia na wewe maneno yako ya yeye kuPlay smart[emoji23]...

Huyo ilitakiwa ampige voko mtoto kabla hata ya kwenda Zanzibar, na wangeenda wawili tu.
 
Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
😂😂😂😂 kwenye hii sehemu humu ndani wamejaa ma master!?ukiwasikiliza huwez ku fail.Sema ndio hivyo za kuambiwa changanya na za kwako
 
Sema ilipoishia balaa (ingawa pia niko nyuma ya muda[emoji23])...najitahidi kukimbizana nayo..Hapo mfano Muajemi akiingia room, akimkuta Iryn! Itakuwa noma balaa...hapo sijui Insider atakuwa na neno gani kwa Muajemi!
 
Ugentleman Ulibaki story ! [emoji23]

Sasahivi ni Umafia tu!
 
Umefanya vyema sana
 
Mm nimekuelewa sana mkuu ikiwezekana njoo week end kbsa as usual , junior Ni muhimu kutuzwa kuliko kitu chochote [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…