Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

HIyo statement ya watu wengi hasa vijana kutoijua JF nilikutana nayo humu humu mtu akisema bas na mimi nikajipa assignment kila napokua katika social groups huwa najitahid sana kuuliza "unaijua jamii forum?" Wengi wanasema hapanaa..
Ila mkuu Kila mtu na machaguzi yake....mfano Mimi binafsi tiktok sijawahi ielewa kabisa
 
Sijajua policy yao ya kuji publicise ikoje maana haiwezekan kila mtu aijue instaa,facebuk, twitter and the likes halaf JF yetu pendwa iwe kama siri
Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
 
Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
Unge Kua na kazi za kufanya ungejua ni kwa nini. Ila kwa sababu hauna huwezi jua kwa nn na hadi hapo jamaa kajitahidi sana
 
LUCY aliamua kunichana live kwamba nazingua nifanye kweli kwa mrembo Iryn.

Suala la Muajemi kama wewe ungekubali kulala na demu vyumba tofauti??
Hapo Muajemi atakuwa alikuwa anaogopa, si unaona hata "kumPiga verse mtoto" alikuwa hajampiga...na pia na wewe maneno yako ya yeye kuPlay smart[emoji23]...

Huyo ilitakiwa ampige voko mtoto kabla hata ya kwenda Zanzibar, na wangeenda wawili tu.
 
Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
😂😂😂😂 kwenye hii sehemu humu ndani wamejaa ma master!?ukiwasikiliza huwez ku fail.Sema ndio hivyo za kuambiwa changanya na za kwako
 
Eti

IRYN: “Insider naogopa kulala peke yangu nimekuja tulale wote.”

Ilibidi nishangae toka lini Iryn anaogopa kulala peke yake wakati anakaa peke yake pale kwake.

MIMI: “Leo ndo umeanza kuogopa kulala alone?”

IRYN: “Hamna nimejisikia tu kuja kwako au kama hutaki mimi nitaondoka.”


[emoji39][emoji39] kwa Hali hii dada Iryn kwa insider analika kiulanini kbs tumpe muda tu
Sema ilipoishia balaa (ingawa pia niko nyuma ya muda[emoji23])...najitahidi kukimbizana nayo..Hapo mfano Muajemi akiingia room, akimkuta Iryn! Itakuwa noma balaa...hapo sijui Insider atakuwa na neno gani kwa Muajemi!
 
Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
Ugentleman Ulibaki story ! [emoji23]

Sasahivi ni Umafia tu!
 
niombe radhi kwa watu niliowakwaza kwa kupost muendelezo ilihali mimi sio mhusika. niombe radhi pia kwa mkuu INSIDER MAN maana naweza kuchanganya wasomaji wake, lakini nia yangu ilikuwa njema tu ya kuchangamsha wasomaji na hakuna kingine zaidi ya hapo.
tuwiane radhi wote tuna arosto kwa niliowakosea am very sory kwa waliochangamka na muendelezo wangu ndio wabongo tunavoishi kwa utani ambao unalengo la kutuweka pamoja.

AM VERY SORY TO EVERYONE.
Umefanya vyema sana
 
Ndugu zangu hii weekend ilikuwa tough sana kwa upande wangu ila niliwapa Episode 4. Kesho nitawapa Episode 2 then ratiba itaendelea kama kawaida, mimi pia namajukumu ya kufanya. Junior anahitaji matunzo na Pesa so lazima nichacharike kama mzazi.

Kitendo cha kuwapa epsode kila weekend ili niwe na muda wa kutosha wa kuwapa story nzuri huku nikihakikisha siruki matukio.

Insider niko jikoni kuweni na subira,
Mm nimekuelewa sana mkuu ikiwezekana njoo week end kbsa as usual , junior Ni muhimu kutuzwa kuliko kitu chochote [emoji41]
 
Back
Top Bottom