Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,449
Iryn alishamwambia insider kule Zanzibar kabla hawajarudi Dar kwamba "anataka abadilishe muundo wa maisha" [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nyaipu imeenda iyo
Kwa uchuu huu nipate jini mkali na anaela mi naunga humoππππDuh iryn ni jini[emoji2304]bora insider hukumla [emoji28][emoji2094]
Sahihi kabisaMnaosema Iryn ni jini mnaa maana gani ikiwa historia yake tunaijua kwa uchache, kama mama yake alikuwa mkuu wa Organization "X", Baba yake yake yupo South, pia mama Janet anamsimamia kwenye baadhi ya mambo.
EBU FIKIRIENI HILO
Lol amekuaje tena jamani ngoja niendelee nilipoishia kwanza!!
pamoja mkuuSanto sana mkuutangu jumapili nilikua sijaendelea pale wavogongewa mlango na Muajemi ngoja nisome vizuri sasa!!!
huna haja ya kutumia jicho la ndani kung'amua pisi kali, pisi kali ni pisi kali tu boss. Hata kipofu anaonaUzuri wa mtu upo machoni ukute huyo Iyrn anayesifiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Hivi hio bado inaendelea??? Sikumbuki hata niloishiaga wapi kwenye hio story!Story zinazonishika kwa wakati huu ni hi na ile ya "utajiri wa magofu ya Rapta" ni hatari
Lol huko imeendaa enda sana sis mambo yashakua siooo Iryn kapoteaa kusikojulikana!Ccy bora umeniita nliishia pale alivirudi nyumbani akamkuta Lyn
kutunga na kupata mtiririko husiokuwa na maswali sio kazi rahisi mkuu.Kwahiyo insider ukaona bora utudanganye kuwa "KUNA MTU ALISHUGHULIKIWA KISAWA SAWA MLIPOKUA ZANZIZAR" halafu hollah!!!
Mwambie na yeye atunge yakekutunga na kupata mtiririko husiokuwa na maswali sio kazi rahisi mkuu.