Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna wimbi kubwa sana la wanawake wenye fursa za kipesa. Kama wewe ni mtafutaji hakikisha unacheza miguu yote .


Real recognize real ...Lucy alisha kuambia na kuku onya kuwa ukizembea utakosa vyote.

Wewe na Lucy..Lucy ndio alikua wa kwanza kufahamiana na irene hivyo basi Lucy anamjua vyema irene.

Irene anakuvutia upepo tu na anakupenda kweli ....ila ndugu yetu insider ni mbinafsi sana kwa mwamvuli wa utafutaji. Huyu irene alikujali hata nje ya mkataba wa kazi lakini wewe kumpa dudu tu ambayo hupungukiwi kitu uliona kazi.

Kifupi hadi hapa irene akikutafutia mwanaume mwingine ndio awe boss wako ndio akili itakukaa na huyo jamaa awe anakutuma kama mtoto ndio mzani utabalance
 
Hahahaha......Dudu Au sio
 
Nadhani hii simulizi haihusiani na matukio yaliopo bali yaliopita ... hapa hata tushauri vipi kama INSIDER MAN hakumla mrembo Iryn aandike hivyo hivyo bila kubadili ukweli kwa kuogopa kusemwa
 
Kwa misalaba unayo ibeba kwa huyo muajemi itakubid wewe na muajemi muende kwa mganga ili jamaa awe nae hata mwezi mmoja.

Guys hizi mishe za kuwa kuwadi sitaki nijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…