Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Unahoja ya msingi mkuu, nimekuelewa vyema.
 
Iryn hajafa, bali ametulia mahali anamchora Insider Man anavyohaha kumtafuta. Kumbuka alishatoa hint kwamba anataka kubadili mfumo wake wa maisha.

Kama angelikuwa ametiliwa sumu, basi wakati wa kukaribia kufa ni lazima angejisikia vibaya na kumjulisha aidha Insider Man ama Jirani yake ili kuomba msaada. Pia hata kama angezidiwa na kufariki ghafla, simu yake ingelikuwa hewani inaita bila kupokelewa kabla ya kuisha chaji.

Tusubiri tu Come back ya Kibabe kutoka kwa Iryn.. Yajayo yanafurahisha..
 
Sheikh siku hizi imebadilika ni yajayo yanastaajabisha
 
.....INSIDER MAN na wenzake baada ya kuingia ndani Kwa wasiwasi mkubwa na kwa kunyata wakichungulia ndani, kama watoto wa darasa la Tano waliochelewa kufika shule na kumkuta Mwalimu mkali wa Hisabati akipiga pindi.

Baada ya kuwasha taa La haura kutupwa jicho juu ya meza wakakutana na karatasi nyeupe imekandamizwa na glass ya wine iliyo nusu, hii glass ilikuwa na Alama za makopa kopa ya lips 👄 yaliyo dhahili kabisa Hata ungekuwa MITA 29 ungeweza kuyaona.

Ndio wote Kwa pamoja wakaikwapua Ile paper na kuizunguka, ungewaona ni kama wale watoto wa form four watukutu waliopata paper FAKE Siku ya mtihihani wa NECTA, wakiamini desa Hilo litawavusha. Kuigeuza Ile karatasi ilikuwa na maneno machache sana Yaliyosomeka, " Insider Man, Kwa nini unautesa moyo wangu, lokote litakalo nipata ni kwasababu yako......"


Wadau nawaza tu Kwa sauti. Hi story ukiwaza negative things never happen.😁 Let us wait for the next episode 🙌
 
Mimi nahisi Mama Janeth somehow anahusika na kupotea kwa Irene.

Its not a conciendence na yeye amehama pale anapoishi, Ni ghafla sana.

Kumbuka anaejua mali za marehemu mama yake Irene ni Mama Janeth.

Something fishy is going on here.
 
acha uboya mbwa ww
 
Mimi nahisi Mama Janeth somehow anahusika na kupotea kwa Irene.

Its not a conciendence na yeye amehama pale anapoishi, Ni ghafla sana.

Kumbuka anaejua mali za marehemu mama yake Irene ni Mama Janeth.

Something fishy is going on here.
Mama Janeth hawezi kufanya hivyo sababu hakuwa na tamaa ya mali, alitaka Iryn aweke majina yake kwenye Saloon kama business partner na mmiliki wa nyumba za mama yake.
Pia alikuwa ana simamia urithi wa hela ya Organization X na kumpatia Iryn makaratasi yake.

Hapa naona Organization X imempatia Iryn kazi nae Iryn kaikubali kazi location nje ya Tanzania. Ndio maana Iryn kaona ampatie Insider Man Assistant Manager huyu ndie anae muamini zaidi.
Kumbuka Kijitonyama ni sehemu tulivu kwa Iryn kwanini atake ahame si angekubali kupanga hapohapo tu kwa Mama Janeth.
Siku Insider Man alipokwenda na kumkuta Iryn anapanga nguo ndio alikuwa anamuaga. Soma hii lyrics 👇🏾 utanielewa.

You say it would be better
If we stopped seeing each other
If you had only met me first
When you were free
'Cause now you've got commitment
I should not expect things from you
That you can't give to me
Oh, but baby, can't you see?
I can't say goodbye to you
No matter how I tried, you're such a part of me
Without you, I would die deep in the heart of me
I know that you and I were meant to be forever
I can't tell you goodbye
Neither of us planned
That we would fall in love this way
But since we did, why should we be apart?
Sometimes, something's happen
That can never be explained
Now, it's too late for me
I've already given you my heart
I can't say goodbye to you
No matter how I tried, you're such a part of me
Without you, I would die deep in the heart of me
I know that you and I were meant to be forever
I can't tell you goodbye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…