Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Dah! Watu mbona wakali hivi. Dkt. Punguza matumizi ya pilipili.Acha ujinga fanya kazi muda wa story Ni week end tu
The guy is very strategic. Ana kitu atafika mbali.Nimependa ukauzu wake wa kutokushobokea K kiuroho uroho !! Angekua fisi angeshatrombaa hao wote!
Bado sanaBado tu
Done [emoji358
Usifanye hvyo mkuu,We tupia tupia kila unapopata nafasi!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
wapi amepangiwa mzeeINSIDER MAN kwanini unakuwa ni mtu wakupelekeshwa na kupangiwa na watu, mwanzoni ulikuwa unaleta story kadiri ulivyopata muda, lakini baadae wakaja watu wakatibua mambo mwisho wa siku ukasema utakuwa unaleta story ijumaa, jumamosi na jumapili halikuwa na pingamizi hilo lakini kadiri muda ulivyokuwa unasonga ukawa unaleta story kulingana na muda unaopata kufanya hivyo na hatukuwa na shida sasa leo hii anapotokea mtu na kukupangia ulete story weekend na wewe unakubali, je itakuwaje ikifika hiyo weekend alafu ukawa na mwingiliano wa ratiba inamaana hutaweza kuleta story, maana utakuwa na ratiba nyingine,
Ushauri wangu kwako embu jitahidi kufanya vile ambavyo umepanga kufanya toka hapo awali ulipoamua kuanzisha story hii ili jamii ijufunze kupitia wewe na nikuombe usipangiwe na mtu, utakapopata muda hata kana ni jumanne wewe leta story yako na siyo kuwa mtu wa kupangiwa ndg,
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ndg
Ukisoma post za watu utaelewa vyema ndg, mwacheni afanye kama ambavyo alipanga kufanya kuanzia hapo awali wakati analeta uzi huu ili watu tujifunze kupitia kwake,wapi amepangiwa mzee
Pia hiviMaelezo yasiyo na msingi ni mengi. Na huwa waandishi hawa ahidi kuwa huko mbele ni kutamu zaidi. Story ina bore. Not interesting
sawa kiongoziUkisoma post za watu utaelewa vyema ndg, mwacheni afanye kama ambavyo alipanga kufanya kuanzia hapo awali wakati analeta uzi huu ili watu tujifunze kupitia kwake,
Tupia kila upatapo muda pleaseDone [emoji3581]
Nakazia...INSIDER MAN kwanini unakuwa ni mtu wakupelekeshwa na kupangiwa na watu, mwanzoni ulikuwa unaleta story kadiri ulivyopata muda, lakini baadae wakaja watu wakatibua mambo mwisho wa siku ukasema utakuwa unaleta story ijumaa, jumamosi na jumapili halikuwa na pingamizi hilo lakini kadiri muda ulivyokuwa unasonga ukawa unaleta story kulingana na muda unaopata kufanya hivyo na hatukuwa na shida sasa leo hii anapotokea mtu na kukupangia ulete story weekend na wewe unakubali, je itakuwaje ikifika hiyo weekend alafu ukawa na mwingiliano wa ratiba inamaana hutaweza kuleta story, maana utakuwa na ratiba nyingine,
Ushauri wangu kwako embu jitahidi kufanya vile ambavyo umepanga kufanya toka hapo awali ulipoamua kuanzisha story hii ili jamii ijufunze kupitia wewe na nikuombe usipangiwe na mtu, utakapopata muda hata kana ni jumanne wewe leta story yako na siyo kuwa mtu wa kupangiwa ndg,
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ndg
Hakika atafika mbali!!The guy is very strategic. Ana kitu atafika mbali.
Wacha tusubirie episode inayofuata tuone!Asante sikuwa nimeisoma tuombe Iryne apatikane
Mambo si mamboo bossi kubwa hajulikani alipo uduguuu !Ahsantreeee udugu wangu [emoji3059][emoji3059]
NakubaliMoja kati ya selfie ya iryn aliyopiga na simu yake iPhone 14 Pro max hii alipewa na mhispania mmoja ambae alikua bongo.View attachment 2727265