Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asanteee
 

Duh this story is unpredictable yani. Pole yake Irene na pole yako Insider. Hadi nakuonea huruma. Ni msala juu ya msala.

Wanaadamu tunapitia mengi sana kabla ya kuingia kaburini. Kuna msemo mmoja niliwahi kuusoma mahali unasema hivi: "MAISHA NI MTIRIRIKO WA MATATIZO NA CHEMBECHEMBE ZA RAHA"

Hata uwe tajiri kiasi gani utajikuta kwenye matatizo tu hata kama sio ya pesa yanaweza kuwa ya afya au family issues n.k Starehe tunazopata kwenye maisha ni ndogo sana ukilinganisha na matatizo.

Ukiambiwa kua uyaone ndio haya sasa. I wish Irene apatikane akiwa hai.

Thanks a lot for today but unatubania sana ungetuma walau 2 hivi.
 

Umetisha Insider! Hizi coincidences zinaeza fanya watu wafikiri ni story ya kutunga[emoji16].. Binafsi naamini in coincidences, zinatokea, so please guys msikosoe…..Hizi mambo zipoo [emoji3526]
 

Bira shaka Muajemi na mama janeth watakua wameshilikiana by 80%
 
Sasa mam Janet amtekaje iryn Tena ??ili apate nn

Hi ngoma imechezwa na muajemi

Ova
 
Muajemi ana mke huko kwao sasa muda wa kuulizia ishu ya mchepuko Iryn ataipata wapi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…