Au kifupi ni kutomb* moto😂 😂 😂 Hapo si kutwanga maji kwenye kinu asee
Miss u mkuu rafiki mwema,Tujiandae Hii Wiki yote bilabila asee!
Bas .maliza storyUnachopenda wewe mwingine hapendi ndo binadamu tulivyo
Uko mbali Sana mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23] Hadi ufike huku una Kaz siyo kidgKishamba[emoji23]
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.
Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.
Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.
Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.
City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.
Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.
From no where muajemi anakupa million 3.
From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.
Ofa unapata wewe tu.
Hadi umemsahau mke wako.
Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Kwa mara ya kwanza umeonesha ushamba wako tena watu kama nyie hata zawadi ya boksa hamjawahi pewa na mademu.NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.
Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.
Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.
Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.
City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.
Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.
From no where muajemi anakupa million 3.
From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.
Ofa unapata wewe tu.
Hadi umemsahau mke wako.
Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
SteveMollel unaitwa huku upate darasa😂Kuna mmasai mmoja hapa jf alijifanya anajua kuandika story.. wanaojua kutag wamtag aje ajifunze kuandika story
MBONA WATU MNAKOSA UVUMILIVU?? UNAVYOMWAMBIA INSIDER SIJUI HISANI IJUMAA WAKATI IJUMAA NDIO MAKUBALIANO YENYEWE KWANI UNAFIKIRI YEYE HAJUI KUWA IJUMAA NISIKU YA EPISODE? TENA NI IJUMAA 19:00hrs, YANI BINADAMU BANA, NA HAPO IJUMAA ATAWEKA EPISODE 2 WATU WATASOMA UTAONA JUMAPILI MTU ANAANZA TENA "INSIDER TUPE MOJA TENA MKUU" WAKATI IJUMAA KASHAWEKA KAMA MAKUBALIANO YASEMAVYO, WAKIKAA TENA UTAONA JUMANNE "INSIDER TUNAOMBA MOJA TU" WATU NIWAPUMBAFU SANA WANAKOSA UVUMILIVU. INSIDER STORY NI IJUMAAA TO IJUMAAA HAKUNA KUVUNJA MAKUBALIANO USIJE UKALETA STORY NJE YA MAKUBALIANO. PATA MUDA WAKUFANYA SHUGHULI ZINGINE MKUU ACHANA NA MARIOO WAPO BED HAWANA SHUGHULI ZA KUFANYA WAO MUDA WOTE WAMEPAKATWA MAPAJANA WANAINGIA JF MUDA WOTE KAZI KUSHAWISHI SIKU YA J3, J4, J5 UWEKE STORY USIWASIKILIZE HATA NUKTA.mkuu INSIDER MAN tufanyie kahisani kidogo hata ijumaa, jpili kama uvumilivu unatushinda hivi.
kama ikikupendeza lakini.
Alisema j2MBONA WATU MNAKOSA UVUMILIVU?? UNAVYOMWAMBIA INSIDER SIJUI HISANI IJUMAA WAKATI IJUMAA NDIO MAKUBALIANO YENYEWE KWANI UNAFIKIRI YEYE HAJUI KUWA IJUMAA NISIKU YA EPISODE? TENA NI IJUMAA 19:00hrs, YANI BINADAMU BANA, NA HAPO IJUMAA ATAWEKA EPISODE 2 WATU WATASOMA UTAONA JUMAPILI MTU ANAANZA TENA "INSIDER TUPE MOJA TENA MKUU" WAKATI IJUMAA KASHAWEKA KAMA MAKUBALIANO YASEMAVYO, WAKIKAA TENA UTAONA JUMANNE "INSIDER TUNAOMBA MOJA TU" WATU NIWAPUMBAFU SANA WANAKOSA UVUMILIVU. INSIDER STORY NI IJUMAAA TO IJUMAAA HAKUNA KUVUNJA MAKUBALIANO USIJE UKALETA STORY NJE YA MAKUBALIANO. PATA MUDA WAKUFANYA SHUGHULI ZINGINE MKUU ACHANA NA MARIOO WAPO BED HAWANA SHUGHULI ZA KUFANYA WAO MUDA WOTE WAMEPAKATWA MAPAJANA WANAINGIA JF MUDA WOTE KAZI KUSHAWISHI SIKU YA J3, J4, J5 UWEKE STORY USIWASIKILIZE HATA NUKTA.
Sent using Jamii Forums mobile app
MAKUBALIANO NI IJUMAA MKUU TAZAMA TEXT ZA NYUMA, JUMAPILI LABDA AWE AMETOA UDHURU TUU KUWA HATAWEKA IJUMAA, NJE NA HAPO KAMA HAKIJABADIRIKA KITU BASI NI IJUMAA 19:00hrs.Alisema j2
TO BE CONTINUEDMAKUBALIANO NI IJUMAA MKUU TAZAMA TEXT ZA NYUMA, JUMAPILI LABDA AWE AMETOA UDHURU TUU KUWA HATAWEKA IJUMAA, NJE NA HAPO KAMA HAKIJABADIRIKA KITU BASI NI IJUMAA 19:00hrs.
Sent using Jamii Forums mobile app
YEAH HAPO SAWA MKUU HAPA KATOA UDHURU NI SAWA KABISA.TO BE CONTINUED
“Sorround yourself with People that love you for you and love them back. Because love is the one thing in this world that’s worth fighting for.”
Week hii sitakuwepo tukutane Jumapi.
Ref. Episode #40