Story zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.Hii story niliisoma mwanzoni kabisa nikaipotezea maana niliona mambo sijui ya kariakoo kwa wachina sijui vipi nikaitema,, lakini nashangaa uzi unataradadi tu kila ukifungua JF uko juu pale nikasema ngoja niishi nao,, asee nimesoma story nyingi sana nyingi mno ila hii tayari nimeiingiza top 3 ya story zangu of all time,, ni noma....
Tafuta "MTUHUMIWA" na "MKIMBIZI" za Hussein Tuwa,, hutajutia muda wakoStory zako pendwa nyingine ni zipi hizo mkuu, Nifatilie nisome huenda nkazipenda pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkimbizi ndio balaaaTafuta "MTUHUMIWA" na "MKIMBIZI" za Hussein Tuwa,, hutajutia muda wako
Mi mwenyewe nilisoma kipande cha kwanza nikaachana nayo, ila now naona ipepea tu nashawishika kuisoma.....Ila nimeamua kupitia kwanza comments za mwisho huku nione kama watu wanaisifia ama kuiponda,...kwa comment yako nafikiri niisome sasa.Hii story niliisoma mwanzoni kabisa nikaipotezea maana niliona mambo sijui ya kariakoo kwa wachina sijui vipi nikaitema,, lakini nashangaa uzi unataradadi tu kila ukifungua JF uko juu pale nikasema ngoja niishi nao,, asee nimesoma story nyingi sana nyingi mno ila hii tayari nimeiingiza top 3 ya story zangu of all time,, ni noma....
Tambaa nayo,, hutojutia ni bonge moja la story,,Mi mwenyewe nilisoma kipande cha kwanza nikaachana nayo, ila now naona ipepea tu nashawishika kuisoma.....Ila nimeamua kupitia kwanza comments za mwisho huku nione kama watu wanaisifia ama kuiponda,...kwa comment yako nafikiri niisome sasa.
Kwangu bado haijapata mpinzani,, story yangu bora kabisa,, Hussein Tuwa ni noma,, ngoja tumpe muda INSIDER MAN huwenda akapita mule muleMkimbizi ndio balaaa
Naomba Link ya huyo mkimbizi nami Nikamsome. Aksante.Kwangu bado haijapata mpinzani,, story yangu bora kabisa,, Hussein Tuwa ni noma,, ngoja tumpe muda INSIDER MAN huwenda akapita mule mule
Tupe mkeka tucopyJumapili ndio kesho msijali…Leo kuna odds nzur mbeti mpate Hela..
Naziomba nijilipueJumapili ndio kesho msijali…Leo kuna odds nzur mbeti mpate Hela..
tupe code mzee.Jumapili ndio kesho msijali…Leo kuna odds nzur mbeti mpate Hela..