Trimmer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 2,443
- 4,007
Hii story niliisoma mwanzoni kabisa nikaipotezea maana niliona mambo sijui ya kariakoo kwa wachina sijui vipi nikaitema,, lakini nashangaa uzi unataradadi tu kila ukifungua JF uko juu pale nikasema ngoja niishi nao,, asee nimesoma story nyingi sana nyingi mno ila hii tayari nimeiingiza top 3 ya story zangu of all time,, ni noma....