Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Tengeneza Pdf moja kwa wale wanaotaka muendelezo kwa starehe wawe wanalipia. Acha kutafunia watu kila kitu, fata huu ushauri wangu mchumi mwenzangu.Bhasi inakubali, nitafanya hii kazi.
JINSI YA KUTENGENEZA LINKNielekeze jinsi ya kutengeneza hizo link maana naona kama inakupeleka kwenye web
JINSI YA KUTENGENEZA LINK
1. Kwenye kila post ya JF kuna alama (icon) ya "share" upande wa juu.
2. Principle ni kwamba "kwenye kila Episode ya nyuma utaweka link ya Episode ya mbele"
Kwa mfano, kwenye mwisho wa Episode 1 (kule chini) utaweka link ya Episode 2.
Kwenye Episode 28, utaweka link ya Episode 27, n.k
Tuchukulie mfano wa Episode 1 na 2
3. Nenda kwenye Episode 2, bonyeza hiyo icon ya share, then
utachagua ku_copy link.
4. Baada ya hapo nenda Episode 1, chagua sehemu ya ku_edit post. Click then utakuwa kwenye editing mode.
5. Hapo utaona icons za ku-format text mfano Bold, Italic n.k
Click icon ya "link" (utaijua tu, imekaa kama chain)
6. Utaona option ya kuweka link, utapaste ile link ya Episode 2 uliyocopy mwanzo (unaikumbuka eeh?).
Pia utaona sehemu ya kuandika text unayotaka ionekane na wasomaji, kwa mfano "BONYEZA HAPA KUSOMA EPISODE 2"
Save your post.
Done✓
SawaWe nawe ndio wale wale. Mi sijampigia wala kwa umri wangu sijamtafuta yule demu wako mbilikimo kama wanavyosema jamaa so wacha makasiriko kwangu bwana mdogo. We ndio ulikosea kuscreen shot ikatokea na namba yake. Tusamehe kwa kuiona ile namba maana dah si kwa hasira hizi.
Search kwenye searching......Hiyo stori ya konda msafi ni ipi chief?
Kama unataka dudu sema mbona unamushkeri hivyo kwenye nyuzi za watu
JIPIGE KIFUA SEMA MIMI NI MPUMBAVUUNawe acha Maringo na mikwara lete story usijifanye unaandika kitu cha maana sana mpaka ubembelezwe.
Kweli nimeamini huyu jamaa sasa ashakuwa na pigo za kidemu sasa mtoto wa kiume hatui hivyo Mr ww shusha story hata kwenye maisha maadui ni muhimu sana maana ndo wanatupa hasira za kutafuta sasa na kushangaa ww unayekataa usipingwe kama mitume iliyopita ilipingwa sembuse sisi au ww mr badilikaBefore we Proceed tomorrow, naomba kwa wale mamluki uliovamia uzi wangu naomba mfanye kuignore mapema.
View attachment 2736804
Kweli nimeamini huyu jamaa sasa ashakuwa na pigo za kidemu sasa mtoto wa kiume hatui hivyo Mr ww shusha story hata kwenye maisha maadui ni muhimu sana maana ndo wanatupa hasira za kutafuta sasa na kushangaa ww unayekataa usipingwe kama mitume iliyopita ilipingwa sembuse sisi au ww mr badilika
Umekuwa mdogoo! Kweli ulizinguaSawa
[emoji81][emoji81][emoji81]Acha kulalamika Mzee niliandika tutaendelea Jumapili au unafikir mimi sina majukum yan kufanya ni kuandika story tu. Sometimes muwe matured
[emoji23][emoji23]Acha kulalamika Mzee niliandika tutaendelea Jumapili au unafikir mimi sina majukum yan kufanya ni kuandika story tu. Sometimes muwe matured
Search kwenye searching......
Ila bro unaonekana ni mshamba sana. Huyo kwenye profile picture naye ni demu wako. Aiseeeeeee, bro wewe ni wa kienyeji sana. Pole na byeee nimekupuuza. Nakuweka kwenye ignore listSawa
Dogo wa bush sana huyo. Angalia Profile Picture yake kaweka demu wake mwingine. Aiseeee, ni wa kumuonea huruma.Umekuwa mdogoo! Kweli ulizingua
@jbourne57Kuna story ya "KUMBU" nimesahau msimuliaji nani