JINSI YA KUTENGENEZA LINK
1. Kwenye kila post ya JF kuna alama (icon) ya "share" upande wa juu.
2. Principle ni kwamba "kwenye kila Episode ya nyuma utaweka link ya Episode ya mbele"
Kwa mfano, kwenye mwisho wa Episode 1 (kule chini) utaweka link ya Episode 2.
Kwenye Episode 28, utaweka link ya Episode 27, n.k
Tuchukulie mfano wa Episode 1 na 2
3. Nenda kwenye Episode 2, bonyeza hiyo icon ya share, then
utachagua ku_copy link.
4. Baada ya hapo nenda Episode 1, chagua sehemu ya ku_edit post. Click then utakuwa kwenye editing mode.
5. Hapo utaona icons za ku-format text mfano Bold, Italic n.k
Click icon ya "link" (utaijua tu, imekaa kama chain)
6. Utaona option ya kuweka link, utapaste ile link ya Episode 2 uliyocopy mwanzo (unaikumbuka eeh?).
Pia utaona sehemu ya kuandika text unayotaka ionekane na wasomaji, kwa mfano "BONYEZA HAPA KUSOMA EPISODE 2"
Save your post.
Done✓