Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Irene baadae atakuja kufa, ukisoma maelezo ya mleta story utaskia “IRENE ALIKUA NA ROHO NZURI" kaulizia kama hizo znaonyesha Irene nae kesha enda kwa baba mda huu.
Acha mawazo hasi ww.......alikuja (wakati ulopita) irene mzimah tu
 
Irene baadae atakuja kufa, ukisoma maelezo ya mleta story utaskia “IRENE ALIKUA NA ROHO NZURI" kaulizia kama hizo znaonyesha Irene nae kesha enda kwa baba mda huu.
Irene ni mzima kuna sehemu alisema kuwa irene anampenda junior mpaka sasa
 
Hata mimi ninge baki nayo kama kitu cha kumuenzi mzee pama
 
Tatizo MNA dwell Sana kwenye doubts just take it as an entertaining story. Mengine atajua mwenyewe insider kama uongo au ukweli mi nampa maua yake.binafsi nahsi yaweza kuwa modified true story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…