Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
kesho wapi mkuu haya yalishapita bwana, hapa siyo kwa BM X6...Kukata mzizi wa fitina kesho INSIDER aombe afanyiwe masaji
code nyingi za kibiashara zitafunguka ngoja tuenjoy ngoma yako ni ya moto mno.Ambao hawajapitia huu msoto hawawezi elewa. Inabidi utupe hii story mkuu.
Ogukaya gashiWabheja sana mkuu nasikia kumenougaaaa ngoja nijioneeee!!! Barikiwa sana!!
Ukomee fala wewe INSIDER MAN ..acha wakutombeee Iryn we si ulijifanya gud boy..roho inakuumia nini sasa jinga we
Nilishtuka kumuona Iryn kaongozana na mshikaji wakija usawa wangu na walisimama. Muda huu macho yangu yalishuhudia wakikumbatiana na jamaa live na wakiwa zero distance.
Umepigwa na kitu kizito mi nimeumia na siku ya leo naimaliza vibaya japo nahisi tukio ni drama aliyoicheza Iryne akuumize kwa makusudi na amefanikiwaHahahah acha tuone nini kiliendelea ila ile siku nilipigwa na kitu kizito sana.
Tusubiri episode ijayo tutajua mbivu na mbichi.Ngumu kumesa hii kuna Vitu they need to discuss and settle kwanza
Nimeshaiona mkuu. ShukraniEpisode 17. Page 1313 au hizo link hazifunguki? Niambie kama kuna shida
pamoja sana best japo inachelewa sana.nikajua haupo hewani,haya twende mwendo wakufukuza mwizi kimya kimya
Mzee watu wana ishi haya maisha Wala usilete ujuaji kisa umekaliliWatu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Ha ha ha mwache churchboy bhanaUkomee fala wewe INSIDER MAN ..acha wakutombeee Iryn we si ulijifanya gud boy..roho inakuumia nini sasa jinga we