Mkitoka huko vijijini kwenu kuja hapa mjini mpunguze viherehere mnakera sana,mnasoma story kama kuku anatafutia vifaranga vyake chakula[emoji35]Watu wamekushtukia. Unadanganya sana. Wewe kila msichana uliyekutana naye alikuwa mzuri sana , ana pesa na anakutaka. Kila msichana. Inafikia hatua watu wanaona hizi kamba. Na unasoma wasomaji maoni yao kisha una twist story namna ya kufanya wafurahie. Unakoelekea kuna demu utagonga maana wasomaji wengi wanataka ufanye hivyo au utaamua kuwapa ushindi wale wanaosema jamaa una msimamo.
Hata mbinguni kuna watu wataleta kiherehere 😅Mkitoka huko vijijini kwenu kuja hapa mjini mpunguze viherehere mnakera sana,mnasoma story kama kuku anatafutia vifaranga vyake chakula[emoji35]
Hapa umetumia ID nyingine bila kujua ukiwa una comment kwenye uzi wako mwenyewe. Inabidi uwe makini unapokuwa na IDs nyingi.
Mnapopambana kutafuta wanaume muwe makini. Hapo tayari unaona kama hizo habari tayari atakuwa na pesa nyingi... So unaanza kujikomba komba kwake... Angalia sana huwa mnaumizwa baadaye mnasema wanaume wabayaMkitoka huko vijijini kwenu kuja hapa mjini mpunguze viherehere mnakera sana,mnasoma story kama kuku anatafutia vifaranga vyake chakula[emoji35]
Oooh... Huwa inatokea mtu anadhani anatumia Id a kumbe bado yupo kwenye b so anapokuwa kama anajisupport anasahau anatumia id a badala ya bNina ID moja JF hio nimeandika kwa kilichotokea jana, niliona vijana hawako serious na kazi
Tumvumilie tu kuna watu always wanapenda matatizo hawapendi amani kwaiyo lazima wachafue hali ya hewaMkitoka huko vijijini kwenu kuja hapa mjini mpunguze viherehere mnakera sana,mnasoma story kama kuku anatafutia vifaranga vyake chakula[emoji35]
🚮We mchepuko wa mwandishi? Mbona umepaniki hivi? Acheni watu watoe maoni yao. Wewe ulipakizwa nawe kwenye uber?
Uwe unapunguza makasiriko ukiwa jf, unaonekana una wenge sanaHapa umetumia ID nyingine bila kujua ukiwa una comment kwenye uzi wako mwenyewe. Inabidi uwe makini unapokuwa na IDs nyingi.
Wapi ameandika kila dem alikua anamtaka, alafu mbona kama ni hao wanawake aliowataja kwenye stori hawazidi nane, ina maana mleta mada yeye kati ya abiria wake tuseme tu ndani ya mwezi mmoja alibeba wanawake nane tu ambao ndo umesema wanawake wote aliowabeba ni wazuri, au ulitaka ataje kila abiria aliyembeba tokea anaanza kaziWatu wamekushtukia. Unadanganya sana. Wewe kila msichana uliyekutana naye alikuwa mzuri sana , ana pesa na anakutaka. Kila msichana. Inafikia hatua watu wanaona hizi kamba. Na unasoma wasomaji maoni yao kisha una twist story namna ya kufanya wafurahie. Unakoelekea kuna demu utagonga maana wasomaji wengi wanataka ufanye hivyo au utaamua kuwapa ushindi wale wanaosema jamaa una msimamo.
🚮Mnapopambana kutafuta wanaume muwe makini. Hapo tayari unaona kama hizo habari tayari atakuwa na pesa nyingi... So unaanza kujikomba komba kwake... Angalia sana huwa mnaumizwa baadaye mnasema wanaume wabaya
Tuliza mshono Khadija hapa ni mjini punguza shobo na utulie.Mnapopambana kutafuta wanaume muwe makini. Hapo tayari unaona kama hizo habari tayari atakuwa na pesa nyingi... So unaanza kujikomba komba kwake... Angalia sana huwa mnaumizwa baadaye mnasema wanaume wabaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mbinguni kuna watu wataleta kiherehere [emoji28]
Na anajua kupangilia matukio. Lakini pia ni mwandishi mzuri sana, anatumia lugha sahihi.Sema jamaa anajua kusimulia.
We mchepuko wake?