blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Mkitoka huko vijijini kwenu kuja hapa mjini mpunguze viherehere mnakera sana,mnasoma story kama kuku anatafutia vifaranga vyake chakula[emoji35]Watu wamekushtukia. Unadanganya sana. Wewe kila msichana uliyekutana naye alikuwa mzuri sana , ana pesa na anakutaka. Kila msichana. Inafikia hatua watu wanaona hizi kamba. Na unasoma wasomaji maoni yao kisha una twist story namna ya kufanya wafurahie. Unakoelekea kuna demu utagonga maana wasomaji wengi wanataka ufanye hivyo au utaamua kuwapa ushindi wale wanaosema jamaa una msimamo.