Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haya ni mapito tu ...ila ule msemo malipo ni hapa hapa duniani nauona,tutamponda iryn sawa ila scenario nyiiingi za insider zilikuwa zinamuumiza na hataki kusema mara Sumaiya kwenye party , mara Mary akiulizwa majibu short cut tu (iryn anaweka moyoni tu ) na kuskia anachota hela KWA Muajemi kisa yeye ndoo kabisa taa nyekundu ilimuwakia iryn kichwani Hili ni balaa..

Ila hayo yote ni tisa insider alikuwa na mke connection alizopata KWA iryn ndoo la muhimu Sana amshkuru Mungu sana KWA kutengenezea njia na mtu kama huyo,hivi vingine ni extra vimetokea KWA sababu(not priority japo ina uma )
 
Hata mie nilinote hii kitu
 
Ukweli ni kua INSIDER MAN hajawai kuila hii pisi (Iryn), ndo maana title ya hadithi iko ivo, loose ball nyingi alipoteza na haezi pata tena..

Iryn yuko hai na anadate na uyo bwana mpya adi sasa, prisca bado hajajifungua pia up to know.


90% kashahadithia naamini, imebaki conclusions tu ya maisha yake baada ya uber yuko na mishe gani saa hii
 
team insider watakuja kukupopoa😂
 
Jamaa ni jongoo kalala
Alishaletaga uzi humu
Anakojoooa mapajani 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…