Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wewe INSIDER MAN umekuwa mstaarabu sana, gentleman na smarter irylin si mstaarabu. Haipashwi kumuonesha mtu waziwaz. Nilikereka zaid alivyomchukua junior.

Nadhani uhame pale kwako. Na mkataba ukiisha achana na kazi hio.. tabia aliyoonesha, sio mke bora.

  • Kukiss mbele yako.
  • Kukuletea mume mwenzio.
  • Kukukwepa kwake na seat ya mbele.
  • Sio mstaarabu. Mbaya Zaid unamjua Gziezman

Kingine muajemi ni mshamba sana. Kwa usalama wenu hakuna hatasuala la kurudia kama zamani hapo Kuna usaliti
 
Hapo alitakiwa akae mbali na Iryn na Muajemi, yabaki mahusiano ya kikazi tu Kwa vile Kuna mkataba.
 
Unawachumba wengi alafu wakali, nipunguzie mmoja mkuu hata huyo dada wa kazi 😄😄😄😄
 
Aiseee, najiskia vibaya, nahisi kuumia Kama unavyoumia wewe man, duuuuh pole Sana mkush
 
Iryn anampenda INSIDER MAN kweli toka moyoni. Hizo ni drama tu anampitisha INSIDER. Kwanza pamoja na kujaribu kila njia INSIDER ampitie,jamaa kuzingua. Pili kuna swala la Muajemi japo hatujalijua bado ila like kama ilionekana kwa Iryn anakuwadiwa na INSIDER.

Kwa hiyo anaona pamoja na juhudi zote za kumuonyesha wazi INSIDERS anamzimia,lakini mwamba anajifanya kauzu. Hivi sasa anajaribu kupima mwamba kama atapa maumivu. Kweli amefanikiwa kwa hilo na katambua tayari mwamba anapitia maumivu.

Huko mbele watapeana. Na ndio maana Iryn alienda kumchukua mtoto kwa mwamba. Kwa sasa ni vizuri mwamba anachokifanya kujifanya hana time wala habari.
 
I bet huyu jamaa ni Grizzman.
 
Irene alikua Malaya tu,sema ni wale wa bei mbaya business kibao hamna chochote ila anawapiga tu hao mabeberu.
Nilikua na mmoja akaingia king
Kamuacha mtu wake Grizzman sijui muajemi huko kahamia gheto mazima,
Ndo pale niliona ndoto zote duniani zinatokea.
Anna,alikua mzuri,tall cheusi km Naomi Campbell na walikua wanamuita hivyo.
Ilibidi kumkimbia nihame mji,
Hapo hakukubali,kumbe ana mashetani.
Nimepigwa mawe,imbiwa nyimbo mpk leo naona watu wanachora tattoo ,mi ninayo original Anna aling'ata mshipa na akanyonya damu akaacha pale alama ya meno ipo mpk leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…