Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Unaenda kujibu kesi ila ulianza poa sana maana Prisca alikubali kuwa sidechick so haina kwereeeeeee sana..... I can see
 
Muajemi ilikuwa halali yake maana alifanya mambo ya kiwaki kuniharibia kwa Iryn, alishindwa kuwa mstaarabu na alifanya vile tukose wote.

Nimempa assist kabaki yeye na kipa tu kapaisha na bado akaniharibia kwa kusema maneno ya uongo.
Mkuu, ulipopewa hela na jane kipindi ametoka msibani ulisema utalipa deni lako kwa mama wawili, ila hujagusia kama ulilipa deni
Vipi kuhusu ujenzi wako pia
 
Adhabu uliyompa Muajemi ni ndogo Sana fala Yule, lakini angalau hivyo vibunda ulifuta machozi.
 
Yaaani Iryn na mikwara yake yote ya kumuumiza mwenetu lakini naamini, INSIDER man Ni mtoto wa mjini Sana, na Iryn atakuja tuu kujileta mwenyewe kwa mwamba, Mana hata Iryn mwenyewe anaamini mwana Ana RAM kubwa, atakuja tu kumuomba msamaha kwa yote na blah blah nyingine nyingi. Ni suala la muda tu
 
Kweli wewe ni sikio la kufa bado hujakoma tu unaendelea kumpiga hela Mwarabu kwa kutumia mgongo wa mtu ambaye amekufanya familia yake, amekupa kazi hata kama mshahara sio mkubwa sana bado unaweza kuendelea na mishe zako zingine, kwanini usimuheshimu hata kidogo nilidhani utajikita kwenye kutengeneza wewe na Iryn ndo unazidi kuharibu aisee kweli hela ni shetani
 
Kiufupi story imeanza kukosa msisimko iliyoanza nao tokea mwanzo.
Sina baya na msimuliaji,bali ni mtizamo wangu tu.
Kiufupi amefikia mahali pa kutembea kwenye snow bila viatu hahaa tumvumilie....kampoteza mzee pama, iryn ndo uyo kaenda, muajemi na ndoto za biashara ya lubricants inaelekea kuyeyuka, uber imekata, kiuhalisia hakuna maisha yasokuwa na ups n down
 
Tahadhari Chief insider man. Achana na muajemi achana nataman ungeleta story kabla hujachukua hela zake nikuambie achana na hizo hela una value kuliko hiyo ten. Muda ni mwalimu sahihi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…