Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Muendelezo saa ngapi mkuu
 
Naona IRYN anampango wa kukupunguza kwenye maisha yake Cha kwanza ilitakiwa uitafune mbususu yake hata akikupunguza uwe ushaweka alama ya kumvua bikin ayaani ungetumia ile ofa ya yeye kukufanyia massage ndio umkandamize hapohapo
Huu uzi unanifurahisha jinsi Me mnavyopeana mbinu yaani mko bega kwa bega na Insider [emoji1787]
 
kwa ninavoona iryn hajainjoy penzi jipya au ana hasira venyee ndugu yetu kamlia buyu[emoji23][emoji23] sasa anakasirika nini kwa mfano?? kinachomuuma ni nn?? kwakweli siku insider akimla iryn itakua ndo basi tena[emoji3064][emoji3064]

Insider endelea kuwa busy na mama kijacho tumpotezee chaurembo zaidi
 
Ina Mana kihisia ama kimapenzi ndio anazidi kuiva fulani kwake.
 
Kwa Stori hii INSIDERMAN umepitia mengi sana, lkn Stori zote Sijaona maahali unaongea na mamety wako wa Chuo wakikupa michongo ya kazi, au ushauri wa maisha unayopitia..zaidi ni Dereva wa Uber na wale wateja wako wa Uber....ndo unawasimulia apa.
 
Naona IRYN anampango wa kukupunguza kwenye maisha yake Cha kwanza ilitakiwa uitafune mbususu yake hata akikupunguza uwe ushaweka alama ya kumvua bikin ayaani ungetumia ile ofa ya yeye kukufanyia massage ndio umkandamize hapohapo

Sex sio alama ya kuweka kwa mtu kuna mambo mengi ya kufanya mtu na ikawa alama tosha mfano nimemfanyia mambo mengi ambayo kwake ni alama tosha.
 
MR Insider fanya utue episode moja basi saa mbili usiku mbali sana weekend leo unawez jikuta umefika kidimbwi kurud saa 7 usiku( JOKE). Ila arosto ya weekend inanambia uweke episode moja.
 
Kwa Stori hii INSIDERMAN umepitia mengi sana, lkn Stori zote Sijaona maahali unaongea na mamety wako wa Chuo wakikupa michongo ya kazi, au ushauri wa maisha unayopitia..zaidi ni Dereva wa Uber na wale wateja wako wa Uber....ndo unawasimulia apa.

Mkuu kama tulianza pamoja nilisema story itabase kwa watu waliokuwa na impact kwangu, sijataka kugusia maisha yangu binafsi.

Kwa upande wa marafiki wa chuo nilikuwa nao wachache sana kama Aggy nilimwongelea, na pia kuna mmoja nitamgusia mbele kidogo. Hawa ndo walikuwa partners wangu, marafiki zangu wengi walikuwa niliosoma nao Advance na olevel ila hawa wa chuo wengi ni wanafiki tu.

Tyna - Tumekua naye japo alikuwa ni rafiki wa dada yangu.

Aggy- Tumesoma wote Olevel mpaka chuo

Dav- Huyu tumepiga wote Advance mpaka chuo alikuwa anasoma Finance utamkuta mbele.

Sijataka kuweka maisha yangu binafsi kwenye hii story ila marafiki ninao napia wa Taasisi X kuna moja nilimgusia alikwenda Europe kusoma kwasasa yuko Canada.

Kwa upande wa chuo hakunaga rafiki na mimi nilikuwa mtu wa mambo yangu. Pia nina zile sifa za “ANTI-SOCIAL.” [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…