Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

shukrani sana mkuu fanya kunipa samareee kidogo naona sijazisoma episodes kama nne hivi kwa hewa!!
Summary
1.Iryn kapata mshkaji mpya hatumjui vzr(fishy things going on) .....boss lady kavurugwa anamwendesha insider man balaa
2.Familia ya prisca ishafahamu anaujazito na inataka kumuona mleta ujauzito.....mzee kajam huko


Vipo viingi soma tu slowly ...ila bab kubwa ni kuwa Boss Iryn kabadilika kama rambo(Haeleweki ,hasomeki )
 
Mama J alishatolewa mahari hivyo ni wazi kuwa ni MKE halali wa INSIDER MAN
 
Life lilinila kibogaaa rafikii🤭 !!

I Thank God all is wellooo nimerudiiiii!!
Ebu nikumbushe episode niloishia wiki ile tuloambiw mpaka ijumaa kwanii sio kwa ukilaza wangu huuu🤠
Nadhan episode ya 50 uliishia .....anzia 51 kipande ambacho hiko ndipo cha ijumaa pale Iryn anatoka anaenda Kwenye gari na another man
 
Dah..hapa hata mimi nimejisikia aibu kwa niaba ya INSIDER MAN . Kwel mkuu huyu dereva uber kafanya kitu mbaya sana. Yan kawa kama Yuda kumuuza Messiah the Christ. Bila shaka hii laana ilimtafuna huko mbele ya safari
 
Kitakachofuata kwenye kikao ni termination tu na siyo inshu nyingine, Irene ashaona mwamba ameanza kupoteza umakini na kwamba hawezi tena kuipush forward Kampuni maana amekuwa na mambo mengi.

Kingine muajemi baada ya kuona kimya kwa ule mchongo hewa wa bwana Insider, atampigia Irene kuhusu yeye kutoa 12M za maandalizi kwenda mbuga ya wanyama huko, na hapo sasa ndio vita itakuwa kubwa zaidi maana Irene atamfuata tena this time mambo yatakuwa makubwa na mabaya mno, tena hata Mama J atajua jinsi Insider alivyokuwa anamfanyia Irene.
 
Santoo sanaaaa walau nimepata mwanga!!🤩
Ngoja nikitulize nizipitie astee astee naona Iryn anataka kumletea masta zakuleta!!
Barikiwa sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…