Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nitakupigia video call wakati wa lunch timeHapana nalipendaga tu hilo neno la kisukuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupigia video call wakati wa lunch timeHapana nalipendaga tu hilo neno la kisukuma!
Ndio natia maguu saii sis akeee... hata matukio ya mwisho nayakumbuka vizuri sasa uwiii!!
Na wewe uacheAchen kujifanya ma director
Summaryshukrani sana mkuu fanya kunipa samareee kidogo naona sijazisoma episodes kama nne hivi kwa hewa!!
Wee sema kweli!!!??!Nitakupigia video call wakati wa lunch time
Ni kweli kabisaWee sema kweli!!!??!
Asantiiiiiiii😚
Nadhan episode ya 50 uliishia .....anzia 51 kipande ambacho hiko ndipo cha ijumaa pale Iryn anatoka anaenda Kwenye gari na another manLife lilinila kibogaaa rafikii🤭 !!
I Thank God all is wellooo nimerudiiiii!!
Ebu nikumbushe episode niloishia wiki ile tuloambiw mpaka ijumaa kwanii sio kwa ukilaza wangu huuu🤠
Dah..hapa hata mimi nimejisikia aibu kwa niaba ya INSIDER MAN . Kwel mkuu huyu dereva uber kafanya kitu mbaya sana. Yan kawa kama Yuda kumuuza Messiah the Christ. Bila shaka hii laana ilimtafuna huko mbele ya safariMi namuonea tu huruma dada wa watu Iryn na sijui kwanini kila mtu humu anamuona kama alikuwa anakosea sijui kisirani, mtu ambae hana ndugu wala rafiki zaidi ya mama Janeth akampata insider akamuamini na kumpenda kwa moyo wake wote akaamua kumfanya mtu wake wa karibu kabisa kama ndugu sijui pengine ndo hivyo labda alikuwa na hisia nae za mapenzi sina uhakika sana, maana kwa ninavyojua mwanamke amtake mwanaume kabisa na jinsi walivyokuwa close kulikuwa hamna cha kumzuia wala Insider sio kwamba alikuwa hamtaki bali alikuwa tu anashindwa jinsi ya kumuingia kwa kifupi alikuwa anamuogopa, kinyume chake akaona bora hata apate hela kupitia yeye bila kujiuliza kama Iryn atagundua itakuwaje
Hivi mlitegemea Iryn areact vipi kwa huyu mtu ambae alimthamini sana lakini yeye hakumrudishia hata nusu ya thamani ya utu wake, yaani kwamba anaweza kuchukua hela kwa Muajemi ili Iryn aliwe akititokea Muitaly nae akatoa hela atampeleka na huko pia, jarìbuni kuvaa viatu vyake muone kama haviumi
Dada wa watu alijaribu angalau alijua amepata familia hapa na ndio maana mara ya mwisho alienda kuishi nao lakini aliambulia usaliti mkubwa ingawa pia insider hakuwa na nia mbaya wala hakumfikiria kwamba ni malaya ila sasa Muajemi jinsi alivyojieleza na kumbuka Insider alikuwa msiri anaficha mambo mengi na hata mara ya mwisho alivyopewa hela aliona na akamuuliza akamdanganya. Wakati mwingine sio hela ni kila kitu unaweza kupata hela sawa na ukapoteza kitu chenye thamani kuliko hiyo hela uliyopata INSIDER MAN
Santoo sanaaaa walau nimepata mwanga!!🤩Summary
1.Iryn kapata mshkaji mpya hatumjui vzr(fishy things going on) .....boss lady kavurugwa anamwendesha insider man balaa
2.Familia ya prisca ishafahamu anaujazito na inataka kumuona mleta ujauzito.....mzee kajam huko
Vipo viingi soma tu slowly ...ila bab kubwa ni kuwa Boss Iryn kabadilika kama rambo(Haeleweki ,hasomeki )
Sauwaaassauwaa!! Naisubiriaaa !Ni kweli kabisa
Nitakucheki ASAPSauwaaassauwaa!! Naisubiriaaa !
Yeah nadhani niliishia hapo! Asante sana dear furendi😘!Nadhan episode ya 50 uliishia .....anzia 51 kipande ambayo ipoo ndoo ya ijumaa pale Iryn anatoka anaenda Kwenye gari na another man
Eagerly waiting!Nitakucheki ASAP
Miss youSauwaaassauwaa!! Naisubiriaaa !
Ng'ombe wangapi walitolewa kama mahari?Mama J alishatolewa mahari
NotedEagerly waiting!